MAHABA NIUE (18)

Zephiline F Ezekiel
MAHABA NIUE (18)
JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA KUMI NA NANE ILIPOISHIA... Ramsey alitembea mpaka kwenye meza yake na kuchukua kinywaji chake na kuketi pembeni ya Joylah ambae muda wote alikua akimkagua Joylah kwa jicho la wizi, alianza kumkagua lips zake alishuka kwenye maziwa yake yaliyo kua madogo kiasi na jicho kutua juu ya kitovu cha Joylah kilichokua nje kutokana na Top aliyo vaa kuwa fupi , bado hakuishia hapo alishuka mpaka kwenye mapaja ya mrembo huyo ambae alikua amevaa kika mptura cha jins. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Shem ume kogaaa" "hahahahahahahaha acha zako Ramsey, Kway mzushi sana, leo ili kua twende kwenye show ya DIAMOND pale Darlive , kani fanya nivae ivi mwisho wake ana niambia eti ana mambo mengine, kanikera sana shemeji, katika maisha yangu mimi sipendi kufanywa kama mtoto, eti shem wewe una weza kumdanganya mtu wako?" "mimi siwezi hata siku moja huwa ni mtu wa kutekeleza ahadi, hasa kwa mtu ninae mpenda…