MAHABA NIUE (20) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA ISHIRINI ILIPOISHIA... "Usi jifanye hujui na ume nisikia sana, huyu ume msave sijui dada Eve ndo nani?" "aaaah dada angu fulani hivi"? "aaaah Ramsey mimi sio mtoto bwana, huyu sio dada yako, dada yako ndo akutukane hivi, dada yako mimi namjua ni Loydah peke yake, huyu nani Ramsey" KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Esta eeeh, niache niendeshe gari mpaka nigonge?" "siikia paki gari pembeni unieleze vizuri kama una ona utagonga" "nita kuelezea nyumbani tuki fika ESta wangu, yaani kuja na kuja tu, unaanza ukorofi wako" "nahisi huko mikocheni ndo kuna kuchanganya sasa nili kua nakutania, leo nalala kweli kwa taarifa yako" "ukorofi tu" "sio ukorofi habari ndo hiyo, na kama una kidemu chako kiambie kitoke mwenye nyumba nime rudi, nadhani una nijua vizuri" waliendelea kubishana bishana ambapo jioni ina fika bado ina wakuta njiani kuto…