MAHABA NIUE (20)
Zephiline F Ezekiel
6 min read
SEHEMU YA ISHIRINI
ILIPOISHIA...
"Usi jifanye hujui na ume nisikia sana, huyu ume msave sijui dada Eve ndo nani?"
"aaaah dada angu fulani hivi"?
"aaaah Ramsey mimi sio mtoto bwana, huyu sio dada yako, dada yako ndo akutukane hivi, dada yako mimi namjua ni Loydah peke yake, huyu nani Ramsey"
KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII
SASA ENDELEA...
"Esta eeeh, niache niendeshe gari mpaka nigonge?"
"siikia paki gari pembeni unieleze vizuri kama una ona utagonga"
"nita kuelezea nyumbani tuki fika ESta wangu, yaani kuja na kuja tu, unaanza ukorofi wako"
"nahisi huko mikocheni ndo kuna kuchanganya sasa nili kua nakutania, leo nalala kweli kwa taarifa yako"
"ukorofi tu"
"sio ukorofi habari ndo hiyo, na kama una kidemu chako kiambie kitoke mwenye nyumba nime rudi, nadhani una nijua vizuri"
waliendelea kubishana bishana ambapo jioni ina fika bado ina wakuta njiani kutokana na foleni. na kuwafanya waingie usiku wa saa mbili,
Ramsey aliingiza gari ndani na kumfungulia ESta mlango na kumfanya ESta azidi kuushangaa mjengo huo mkubwa.
"baby hapa ndo ulipo panga au tume kuja kumsalimia mtu"?
"embu acha zako, mnyamwezi ndo naishi humu"
"eti mnyamwezi, aya basi tuingie ndani"
Ramsey alifungua mlango na kuwasha taa za ndani pamoja na za nje . ambapo Esta anazidi kusha ngaa vitu vya kisasa vilivyo kua ndani ya nyumba iyo,
"hiii ! baby humu sitoki kama uzunguni vile"
"hahahaha twende ukaoge"
waliongozana mpaka bafuni ambapo ESta alijimwagia maji na kutoka na kwenda sebleni akionekana kuta futa movie huku akimuacha Ramsey chumbani,
ila baadae ana hisi mlango una gongwa na kuuwendea baada ya kuufungua uso kwa uso ana kutana na Josephine mlangoni, ambapo sura ile haiku mtoka ali kumbuka sana kuwa wali kutana hospitali kipindi Ramsey ana umwa
"Mama niku saidie nini"?
swali hilo lina onekana kumshangaza sana Josephine.
"mwenyewe nime mkuta"?
"mwenyewe ndo mimi niku saidie nini?"
bila kujua aliye kua ana ongea nae ndie aliye mpa Ramsey nyumba hiyo, Esta ana jikutaa ana zidi kukaanga sumu bila kujua .
"Naomba niingie ndani"
"uingie wapi wewe Mama au nikuitie mwizi, embu toka huna kwako, usiku usiku majumbani kwa watu"
ESta aliongea huku akimnyali Josephine na kumfanya azidi kupandwa na hasira........
maneno yale yana mfikia moja kwa moja na kumfanya asimame kwenye kordo huku jasho likianza na kumsikiliza Esta alikua ana mpa mashushu JOsephine......
"hivi binti una jua una ongea na nani? au huyo aliye kua humo ndani ana kuongopea?. wote mtalala nje msipoangalia, sawa naona ana kudanganya na kukupa kiburi"
"weeee .! hivi wewe Mama huna mume?, maana nakushangaa usiku usiku, Watu wame pumzika wana taka kupeana raha, alafu nili kuona hospitali kule, embu niambie Ramsey nani yako"?, naona mpaka huku ume mfuata "
"sikia siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa"
"hallooo haloooo. kantangazeeee"
Esta alipayuka huku akiendelea kurusha maneno makali, alicho fanya Josephine alichukua simu na kuanza kumtafuta Ramsey hewani ila alipiga na kukuta simu haipokelewi.
"sikia nipishe nipite"
Josephine alimsukumiza Esta pembeni na yeye kuingia ndani
Ramsey kuona purukushani ile ya JOsephine kaingia ndani haraka haraka alizunguka uwani na kuruka ukuta na kutokomea nje ili kuuwa noma aliloliacha ndani maana asingeangalia usiku huo ange fungashiwa virago vyake na kuaibika mbele ya Esta ,
alitembea umbali kidogo na kutafuta moja ya baa na kupumzika, huku akiagiza bia .
simu yake iliita tena aliye kuwa ana piga alikua ni Josephine kutokana na noma aliloliacha haku taka kupokea simu ile.
alianza kutingisha kichwa hasa baada ya nyimbo ya Fally IPupa kuanza kupigwa inayo itwa associe na kuanza kutikisa kichwa huku glass yake ikiwa mkononi
"associe na ngai. tala ndenge monoko e boyi lokuta e refoule epayi ya miso, miso pe lokola ye alobaka te.a tangisi be mayi. moyibi mabimba a koteli ngai na midi ayibi kaka mbeto nasala nini"
Ramsey ana jikuta ana pandwa na mzuka na kuinuka kwenye kiti huku akienda katikati ya baa hiyo na kuanza kucheza bolingo amapo alianza kukizungusha kiuno hiko kama Fally ipupa,
kweli aliweza maana alicheza kuendana na mziki huo,
huku bia yake ikiwa mkononi na kufanya watu wa kwenye baa ile waanze kumuangalia mpaka wahudumu wote walisitsha zoezi la kuhu dumia wakiwa wana mshangaa Ramsey.
Dada mmoja aliye valia kimini cheusi kili chombana na kumchoresha umbo alionekana nayeye kupandwa na mzuka sana na kupendezwa na kucheza kwa Ramsey aliji kuta nayeye ana simama na kwenda kucheza na RAmsey pale mbele.
Ramsey bila aibu alimshika kiuno na kuanza kwenda nae mpaka chini.
kweli dada huyo alikua ana yaweza mauno walienda wote mpaka chini na kupanda juuu.
"Mama iii maama iii maama maaamaa twende chini"
Ramsey alikua akiongea huku akiimbia na kutoa agizo lile na dada yule kufuata maagizo ambapo walienda mpaka chini aste aste wakienda na biti la nyimbo hilo.
"Dada nime penda kampani yako"
"hata mimi nime penda sana una jua kucheza kaka, angekua FALLY IPUPA hapa ange kuchukua"
"una jua kucheza sija pata ona"
"sija kuzidi wewe"
"una itwa nani"?
"naitwa Naike,"
"Naike.! una jina zuri kama mwenyewe ulivyo"
"twende hapo hapo, mpaka chini turudi juu, geuka ayaaa yaaaa ahaaaaa twende, hapo hapo, geuka MOKOLO NAYO"
Ramsey alikua akitoa maagizo hayo huku Naike akifuata, katika hali ya kushangaza kufumba na kufumbua watu walikua wame wazunguka wakitengeneza duara huku wakiwa tazama.
mziki ule uliisha na watu kuwa pigia makofi wakiiomba warudie tena kucheza.
"jamani mmecheza vizuri sana, rudieni tena"
"siku nyingine,"
"mtu na mke wake mmebarikiwa kuwa na kipaji cha kucheza aisee, kwa kweli mpaka nime simama hapa si mchezo aisee. mmh"
aliongea mzee mmoja ambae alioneakana kufurahishwa sana na bolingo aliokuwa akicheza RAMSEY NA Naike ambao muda mfupi wali fahamiana kupitia mziki huo wa bolingo,
mwishowe Ramsey na Naike walibadilishana namba na Ramsey kurudi kwenye kiti chake, baada kuangalia tena simu yake vizuri ana kuta missed call zisizo kua na idadi kutoka kwa ESta na nyingine kwa Ramsey.
hapo hapo tena simu ya Esta inaita na Ramsey kuipokea,
"we mwanaume upo wapi"?
"uyo Mama keshaondoka hapo nyumbani?"
"ndio kwani ni nani?"
"Mama mwenye nyumba huyo yaani msumbufu balaa, ana nidai pesa yake sija m-malizia"
"tooba..njoo basi kwani upo wapi,? mimi nime mtukana kama nini"
"nakuja sasa hivi"
Ramsey alikata simu na kuanza safari ya kurudi nyumbani kimnya kimnya. ambapo alivyo fika alichungulia ndani na kupita huku akinyata,
aliingia ndani na kufunga mlango na funguo ambapo alimkuta Esta yupo bize na kuangalia movie.
"nipo chumbani ukimaliza movie kuangalia, njoo"
"nisha maliza nakuja sasa hivi"
Ramsey aliingia na kuoga tena huku akiji tupa kitandani kama mzigo na Esta kuja juu yake ambapo alianza kuvua nguo moja bada ya jingine na kuanza kunyonya mdomo wa Ramsey,
kwa kuwa Ramsey alijiua Esta ana kiu na nayeye hakuacha kumshughulikia akitumia. utundu ule ule anaoupendaga esta, kweli alimfikisha kwenyewe tena kumridhisha ila ilipo fika usiku Esta ana muamsha tena Ramsey na kutaka apewe tena penzi.
kweli aliimaniisha sababu alianza na kuichua mashine ya Ramsey mpaka ikapata chaji na kumfanya Ramsey ampindue na kuipanua miguu yake huku akianza kumla denda,
purukushani ilianza huku esta akitoa miguno ya hapa na pale na kumfanya RAmsey aendelee na kasi ile ile,
baada ya hapo alipanda kwa juu na kuikunja miguu yake ambayo alitumia mikono yote miwili na kumfanya Esta awambe na kukaa vizuri staili hiyo ya kifo cha mende,
na Ramsey kuendelea kumpelekea kasi ya ajabu huku akikatika kiuno, kwenye kiuno kuki kata kusema ukweli RAmsey alikua vizuri kweli alikizungusha huku Esta nayeye akijaribu kukizungusha kiuono chake taratibu patashika lile liliendelea na baada ya hapo kila mtu alijitupa upande wake baada ya kufika kwa pamoja.
"enhee yule aliye kua ana kutukana mchana ni nani"?
"Esta usiku huu naomba tulale bwana"
"kulala uta lala, ila unijibu kwanza"
"yupi kwanza"?
"yule kwenye simu yako mchana, au ndo huyu mama mwenye nyumba"?
"esta eeeh, embu tulale kwanza.saa tisa hii"
"ili uzidi kutunga uongo, alafu siku izi una jifanya mjanja mjanja"
"baby usiku mwema au hutaki nilale, mi nita kuacha niende seblen ujue,"
"basi yaishe"
Esta alisogea karibu na kuweka kichwa chake juu ya kifua cha Ramsey huku mkono mmoja ukiwa juu ya mashine ya Ramsey na wote kulala,
*********
baada ya kukucha Ramsey aliingia kuoga na kujiandaa ambapo Esta alikua jikoni akiandaa chai na vita funio baada ya kuwa tayari wote wana jumuika na kula kwa pamoja,
Ramsey ana muaga Esta huku akimpiga busu la mdomoni, ambapo pale pale mlango una funguliwa, na Ramsey kubaki kutoa macho hasa alipo muona Josephine ame tanda mlangoni,
wasi wasi mwingi ulianza kumtanda sana.
"Ramsey nyumba yangu una ifanya dangulo"?
aliongea josephine akimsogelea hasa baada ya kukerwa sana na kitendo kile cha kumkuta Ramsey ana mpiga denda Esta ukizingatia usiku wa jana alimtukana,
hasira zilizo changanyika na wivu zilizidi kumfanya Josephine awe mwekundu sana....
"Nakuuliza Ramsey nyumba yangu una ifanya dangulo ?'"
aliuliza JOsephine huku akizidi kuwa fuata walipo
"josephine naomba tuongee nje"
"No just DONT, nachokuomba utoke humu ndani na huyo mwanamke wako sasa hivi, kabla sija badili maamuzi ya kuwa peleka polisi, Ramsey mimi hunijui vizuri, nina roho mbaya kuliko kawaida, naomba utoke sasa hivi"
"Ramsey mbona sielewi Mama kama pes...."
ESta aliongea kutokana na kutokuelewa maongezi hayo ila Ramsey ana mnyamazisha.
"ESta embu nyamaza kwanza"
"ninyamaze kivipi baby, wakati nasikia habari za polisi, ? kwani huyu ni nani?"
"Ramsey nakupa dakika kumi tu, only ten minutes. kumbuka hukuja na kitu humu ndani kwaio utaondoka kama ulivyo"
"wewe Mama lak.."
"siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa so shut up, sito deal nawewe na deal na huyo anaye kupa kiburi, nataka nikuoneshe kuwa yeye mpumbavu tu kwangu,"
Ramsey katika maisha yake jambo dharau hakutaka kulipa nafasi hata siku moja. ki ukweli alikasirika sana kwa kitendo kile cha Josephine kuongea maneno yale mbele ya ESta japo kua ndio kulikua kwa Josephine, alichofanya
aliingia chumbani na kutoka na funguo za gari na kumtupia josephine chini , alitoa simu mfukoni na kuweka mezani ambayo aliyo nunuliwa na josephine,
ki ukweli ali kasirika sana hakuta ka kuongea chochote hasira ile ili mfanya mpaka macho yake yawe mekundu huku mishipa ya shingo iki msimama.
"Baby mbona siku elewi?"
"nawewe niache,"
"lakini"
esta alizidi kumsumbua Ramsey ambae alionekana kuwa na hasira sana.
"nime kwambia niacheeee"
Ramsey aliropoka kwa sauti na kumfanya ESta akae kimnya sababu hakuwahi kumuona Ramsey akiwa katika hali kama hiyo tanguu aanze kumjua na kujua angeweza hata kupigwa ngumi ya pua ivyo alichofanya ESta alikaa kimnya na kunyamaza.
USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni