Notifications
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…

MAHABA NIUE (21)

Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA ISHIRINI MOJA
ILIPOISHIA...
Ramsey aliropoka kwa sauti na kumfanya ESta akae kimnya sababu hakuwahi kumuona Ramsey akiwa katika hali kama hiyo tanguu aanze kumjua na kujua angeweza hata kupigwa ngumi ya pua ivyo alichofanya ESta alikaa kimnya na kunyamaza.

KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII

SASA ENDELEA...
"Sikiliza josephine nikwambie kitu kimoja, naondoka ila usije ukanita futa tena mahali popote pale, naomba nikwambie kitu kimoja, ulinikuta naishi kwangu kwa mapenzi yako uka amua kunileta huku, leo hii una nitoa kama mbwa, sikia tena nakwambia UNIKOME na nina maanisha"
"Ramsey jamani"
"sitaki achana na mimi"

Ramsey akiwa nje ana ongea na josephine baada ya hapo aliliendea geti na kulifungua huku akimuacha Josephine akimshangaa,

kwa kuwa alikua ana pesa mfukoni alitafuta bajaji na kuelekea k,koo ambapo moja kwa moja, aliingia ndani ya duka lake na kumkuta Prosper kasha fika tayari.
"oya gari umeacha wapi bratha?"
alihoji Prosper huku akichungulia nje kuangalia kama kweli kuna rav 4 nje.
"aaah nita kwambia Prosper sasa hivi niache kidogo, dukani kuna shilingi ngapi?"
"yaani mauzo yote"?
"ndio mauzo yote"?
"laki sita na ishirini"
"nipe laki mbili sasa hivi"

Prosper alimkabidhi Ramsey pesa zile na ramsey kuondoka zake ambapo moja kwa moja alienda duka la simu na kuta futa simu nyingine mpya
'anadhani mimi sina uwezo, nanunua simu ingine shenzi sana'

aliongea mwenyewe Ramsey na kumfanya dada yule muuza simu aliyevaa ushungi abaki kumshangaa
"kaka, vipi upo sawa"?
"ndio nipo sawa dada angu usijali"
"hapana haupo sawa kaka"
"dada ngoja nikwambie kitu, hapa duniani hakuna kitu kibaya kama umaskini, umaskini ni m-baya sana. dada angu kama una dharau acha, maana hakuna kitu kibaya vile vile kama dharau Afrika Mashariki na kati"
"kwanini unasema ivyo kaka angu, mimi mbona sija kudharau?"
"basi achana na hayo, nipatie hiyo simu basi ndio iyo SAMSUNG umesema bei gani"?
"hii laki mbili na tisini"
"punguza dada nina laki mbili tu hapa izi hapa,"
"aaah jamani ongeza basi hamsini"
"noo sina dada, ninge kuongeza"
"weka kumi"
"dada jamani, sina"
"poa leta, ichaji masaa matatu"
"alafu nipe namba zako za simu ili ikileta shida niku pigie"
"poa nita kuandikia kwenye risit"

Ramsey alichukua simu ile na kurudi dukani ambapo aliiweka kwenye chaji baada ya hapo alitoka na kwenda kurenew line yake ya TIGO aliyokua ana tumia zamani.

baada ya kila kitu kuisha alirudi dukani na kuanza kumuadithia prosper kila kitu kili chotokea na kwanini hakuja na gari,

prosper alimuangalia swaiba wake kwa umakini machoni na kugundua kweli alikerwa na kitendo kile alicho fanyiwa.
"pole mwana, ila sio inshu we piga chini, mi naamini ata kutafuta yule maza"
"hawezi kuni pata popote hawezi , "
"piga chini bratha, isiwe kesi, kama vipi uta kuja kukaa geto kwangu, huku uki tafuta taratibu chumba, alafu nilitaka kusahau, Doreen alikuja juzi hapa ana kuta futa vibaya mno"
"mmmh nae anataka nini embu mpigie nimcheki"

kweli Prosper aliitafuta namba ya Doreen kwenye simu yake na kumpigia simu, baada ya kupokelewa alimkabidhi Ramsey ili waweze kuongea.

"unaongea na Ramsey"
"Ramsey baba upo wapi nakumic sana jamani wangu"
"wewe kwani uko wapi"?
"sasa hivi nipo kurasini, fanya basi tuonane jioni"
"wapi tena?"
"njoo kwangu"
"kwako siwezi kuja tafuta sehemu nyingine"
"kwanini tena sema hakuna tabu, tuku tane sinza baadae DAGAA DAGAA pale"
"okay okay ila nita kupigia mimi kwanza, ili nijue ita kuaje"

kweli baada ya maongezi hayo kuisha alimkabidhi Prosper simu yake huku akiendelea na wateja wa mule ndani.
"kaka nita pata shati black, la kiume"
alikua ni binti wa kike aliye valia miwani nyeusi ya jua huku chini akiwa amevalia jins lililo mchora vizuri umbo lake,
"namba ngapi?"
"nipe large, ila size kama mwili wako huo,"
"yapo yapo"

Ramsey alivuta shati na kumkabidhi dada yule na kuonekana kuli kagua shati lile.
"hili lita mfaa, bei gani?"
"elfu thelathini hilo"
"hiiiii kaka, mbona bei sana"?
"ndo bei zake, tena nime kufanyia kwa bei ya jumla hapo"
"punguza basi"
"dada hilo halipungui labda nikupe lingine, iyo cotton"
"iii jamani, nataka nimnunulie boyfrend wangu leo birthdei yake"
"ndo ivyo sasa"
"ila nataka kuacha kitu hapa ili nichukue hili shati then kesho nakupitishia pesa yako"
"kitu gani"?

dada yule alitoa simu na kumkabidhi Ramsey
na kumuomba achukue shati lile

"sasa una itwa nani ili nikuandike jina lako."?
"naitwa Martha,"

Ramsey alichukua simu ile na kumpa lile shati akimsisitiza kuwa kesho apeleke pesa la sivyo bei itapanda, upande mwingine wa Ramsey katika biashara alikua makini sana, hakutaka kuweka mapenzi na kazi hata siku moja,

baadae ilivyo fika jioni alichukua shilingi elfu thelathini dukani na kumuaga prosper na kuta futa bajaji,

"we dereva nita futie baa moja nzuri sana yenye mziki mzuri"
"ahaaa okay poa poa, ngoja twende pale buguruni pale, kuna kibaa fulani hivi kina bamba sana"
"buguruni tena, kuna baa gani pale?"
"we si unataka mziiki twende"

bajaji ilianza safari ya kuelekea buguruni na mwishowe kusimama Rozana na kweli RAmsey alisikia mziki mkubwa sana. alimpa dereva yule pesa yake na kuelekea kwenye baa ile,

alitafuta siti moja iliyo kua gizani na kukaa huku akiagiza kinywaji.

taratibu alianza kunywa na kumuona mwana mke mmoja mrefu mweupe sana kama mwarabu yupo mbele yake akiwa amevalia kimini huku mapaja yake yakiwa nje, sio ivyo tu hata sehemu ya matiti nusu yali kua nje,

alishindwa kuvumilia hali ile na kuji kuta akimwita akae pembeni yake,

"enhee kaka nambie show time au mpaka asubuhi"?

dada yule alimuhoji Ramsey ambapo alimshangaza sana na kugundua kuwa yule ni dada poa anae jiuza,
na kubaki kumwangalia akijishauri amnunue au amwache, alibaki akimtazama na macho yake kuganda juu ya maziwa ya dada POA huyo aliye kua amekaa pembeni yake.,.

"show time"

Ramsey alishindwa kuvumilia kutokana na damu kumuenda kasi huku mashine yake ikiwa ndani ya suruali ikianza kufurukuta hasa macho yake yalivyogonga juu ya maziwa ya dada poa huyo na ndo huo ulikua udhaifu wake

Kusikia ivyo dada yule alisimama na Ramsey kumfuata nyuma kama mwana kondoo,
dada huyo aliingia nae mpaka gest iliyo kua nyuma ya eneo hilo na kuingia nae chumbani.
"pamoja na gest elfu kumi"
"poa"

Ramsey alivuta wallet yake na kutoa noti ya elfu kumi

na kumkabidhi dada yule ambae wakati huo alikua akichana kifuko cha kondomu
"nataka niende kavu bila kondom"
"kavu siendi"

Ramsey hakua na jinsi zaidi ya kuvua suruali yake na kubaki kusimama kama mlingoti ambapo dada poa yule alimvisha kondomu ile nayeye kujilaza kitandani huku akivua nguo, RAmsey bila kuchelewa alipanda juu na kuanza shughuli pevu,

pata shika ilianza huku akichanganya na mawazo ya hasira za Josephine, vili fanya afanye rafu, huku akimpelekea dada poa huyo moto wa spidi mia tano tisini na mbili,

na kumfanya dada poa yule ahangaike huku na kule,
"kaka mwaga basi muda ume kwisha,"

Ramsey alijisahau kama ana fanya mchezo yule na dada poa, ivyo alifanya chap chap na kumaliza mechi ile na kutoka zake nje, huku akiiendea meza aliyo kua amekaa mara ya kwanza,

alikumbuka kuwa ana mihadi na Doreen na kumppigia simu Prosper ili aweze kumtumia namba ya Doreen kweli baada ya muda mfupi ana ipata namba ya Doreen na kumtafuta hewani ambapo wali panga wakutane SINZA dagaa dagaa,

Ramsey alitoka nje na kuta futa boda boda ili kuwahi sehemu hiyo,
kweli baada ya dakika arobaini na nne tayari alikua amefika sinza na kumlipa Dereva yule,

kwa mbali aliweza kumuona Doreen sababu alikua ana mpungia mkono alivyo muona alita basamu na kuifuata ile meza aliyo kua amekaa Doreen.
"Ramsey nime kumis sana, we hujui mpenzi wangu"
aliongea Doreen kimahaba huku akilegeza macho yake
"ushaanza yaani izo REDS ndo zinaanza kukupeleka ivyo"
"yaani natamani hata ninyonye mdomo wako sasa hivi, nime agiza kitimoto kilo moja na ndizi...muuhudumu we dada psii psiiii, njoo njoo"

Doreen alipaza sauti na muhudumu yule

kufika kumsikiliza Ramsey ana chokunywa baadae vinywaji vina kuja na Ramsey kuanza kunywa bia aina ya SERENGETI ambayo huipenda sana.
"alafu Ramsey, sipendi uwe na mazoea na yule Mama"
"Mama yupi huyo"?
"Yule Mama Enock"
"ndo nani huyo"?
"si yule uliye kuja nae siku ile, pale kwangu,. ukajidai una uza dhahabu"
"aaaaaaah, Josephine"
"huyo huyo, "
"ndo Mama Enock"?
"ndio ana mwanae ana itwa E....."
"DADA niweke kila kitu. kitimoto kipo tayari"

alikua mtu wa jikoni aliye kua amesimama pembeni yao.
"weka kila kitu"

baada ya muhu dumu yule kuondoka waliendeelea na story huku wakiongeza bia nyingine ambapo muda mfupi kitimoto kina letwa na wote kuanza kula,
"Ramsey, naomba uni samehe, kuna kitu nili kua nataka kuku fanyia mpenzi wangu, naomba nisamehe baba"

Ramsey ili bidi atoe mimacho na kumuangalia Doreen ambae ana dai kuna kitu alitaka kumfanyia.
"kitu gani hiko tena?"
"nipromisi uta nisamehe kwanza"
"yaah nita kusamehe"
"siku ile ulivyo kua bich na Mama Enock nili mtuma mtu awa fuatilie akawa piga picha, nia yangu picha zile nimpelekee mume wake, ila nika sita kutokana nili hofia uhai wako Ramsey, Ramsey nakupenda sana, sikupenda jambo lile litokee mpenzi wangu"

kwa mara ya kwanza Ramsey ana mshuhudia Doreen akitoa machozi na kulia kwa uchungu sana huku akisugua sugua pua zake

"sasa unalia nini Doreen wangu sogea karibu"
ramsey alimvuta DOreen karibu na kumuweka begani huku akimfuta machozi yake akitumia vidole vyake.
"nina wivu RAmsey, wivu Ramsey, n a...kukukupenda sana. nakujali pia, ila Ramsey hunitendei haki, mimi nina wivu sana nina wivu Ramsey, sipendi kukuona ukiwa na wana wake wengine, japo kua nina mume sawa, ila usi tumie iyo kama fimbo"

Ramsey alikua na kazi moja tu kutumia busara ili kumbeleza Doreen asiendelee kulia, alicho fanya alianza kumlisha nyama ile huku akimbembeleza
"Doreen nakupenda sana, nime kuelewa mamii,"

baada ya kumaliza kula wali tafuta chumba ili waka pumzike tayari ili kua ime timu saa sita za usiku.

kitendo cha kufika tu Doreen alimrrukia Ramsey mdomoni na kuanza kunyonya mdomo wa Ramsey huku akianza kutoa nguo ya juu mwenyewe kwa nia moja tu kuanza mechi mbeleni, Doreen aliendelea kucheza na mdomo huo huku mkono mwingine akiupeleka ndani ya suruali ya Ramsey na kutoa mashine ya nguli uyo na kuanza kuichua kwa kasi,

Ramsey hakutaka kufanya makosa nayeye alimtupa Doreen kitandani na kuvua shati amabpo alimpandia kwa juu na kuanza kumnyonya maziwa huku mkono mmoja ukiwa kwenye ikulu ya Doreen na kumfanyaa aanze kupiga kelele na miguno ya raha sana,

purukushani iliendelea kwa staili ilie ile na kumfanya Ramsey amwage oil na ndo zili kua hesabu za Doreen kabla ya mechi kuanza bila kujua kuwa kabla ya hapo RAmsey alicheza mrechi na dada poa

USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE TAZAMA VIDEO HII KAMA MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA

KWA TELEGRAM👇BONYEZA HAPA
40 Mahaba Niue Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni