MAHABA NIUE (21) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA ISHIRINI MOJA ILIPOISHIA... Ramsey aliropoka kwa sauti na kumfanya ESta akae kimnya sababu hakuwahi kumuona Ramsey akiwa katika hali kama hiyo tanguu aanze kumjua na kujua angeweza hata kupigwa ngumi ya pua ivyo alichofanya ESta alikaa kimnya na kunyamaza. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Sikiliza josephine nikwambie kitu kimoja, naondoka ila usije ukanita futa tena mahali popote pale, naomba nikwambie kitu kimoja, ulinikuta naishi kwangu kwa mapenzi yako uka amua kunileta huku, leo hii una nitoa kama mbwa, sikia tena nakwambia UNIKOME na nina maanisha" "Ramsey jamani" "sitaki achana na mimi" Ramsey akiwa nje ana ongea na josephine baada ya hapo aliliendea geti na kulifungua huku akimuacha Josephine akimshangaa, kwa kuwa alikua ana pesa mfukoni alitafuta bajaji na kuelekea k,koo ambapo moja kwa moja, aliingia ndani ya duka lake na kumkuta Prosper kasha fika tayari. "oya gari u…