MAHABA NIUE (25) JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO ILIPOISHIA... Kweli RAmsey alionekana kumamaanisha kiile ana chokiongea wakati ule ukichanganya na habari mbaya za msiba alizosikia ili mfanya akunje sura yake, watu wale walishuka huku wakiongea chini chini, KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... Ramsey alitoa mbio kwa nia moja tu ampeleke kijana yule hospitali. "anco" Kijana yule aliye kua na Ramsey amegongwa aliita, "naam" "mi nitoe tu, sija umia popote" "unasemaje"?' "nitoe tu" "una uhakika"? "ndio nitoe mi nisepe" Ramsey alimuangalia kupitia kioo cha katikati na kuweka gari pembeni, upande fulani alishukuru sababu alikua na hesabu nyingine za kuelekea nyumbani kwa Doreen ili kuhakikisha kweli amefariki au ili kua utani, ndani ya moyo wake alitamani iwe utani na kumkuta Doreen akimwambia kuwa ana mtania ivyo ana mfanyia suprise, Alitoa WAllet yake nyuma ya mfuko na kutoa noti za s…