Notifications
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…

MAHABA NIUE (27)

Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA
ILIPOISHIA...
Baada ya dakika arobaini tayari alifika dukani kwake, ila katika hali ya kushangaza alivyotaka kuingia ndani ana ona polisi wanne wamemfuata na kumshika mkono

KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII

SASA ENDELEA...
"wewe ndo Ramsey?"
"ndi ndio ndio ndo mimi"

Ramsey alibabaika sana na kuishiwa nguvu kuliko maelezo.
"una hitajika kituoni sasa hivi"
aliongea polisi mmoja kati ya wengi


Ramsey alishusha pumzi nzito sana iliyo changanyika na uwoga, kweli alihisi haja kubwa imem-bana maana alijua kivyovyote vile yalikua ni mahojiano kuhusu kifo cha Doreen. Watu wa pale walianza kumshangaa na prosper aliyekua ndani dukani alitoka nje na kushindwa kuelewa nini kime tokea,

jasho jembamba lilianza kumtoka Ramsey na kuanza kupata picha jinsi gani atakavyo kwenda kuozea rumande au pengine jela kabisa,

ila alibaki akitoa macho na kushangaa baada ya kumuona ESta ana shuka kwenye piki piki huku mwendesha piki piki ile alikua ni yule mwana ume aliye muona kamshika kiuno siku chahe zilizo pita maeneo ya stendi, sura ile haikuweza kumtoka kichwani kamwe.

"baby mtu mwenyewe ndo yule pale"

ESta alikua akija upande alipo huku akiongozana na mwanaume yule aliye kuwa mweupe sana kama albino,
jamaa yule alienda pale mbele ya Ramsey na kumtandika ngumi ya tumbo
"wewe una mpiga huyu una mjua"?
aliongea jamaa yule kwa jazba na Esta kusogea karibu.
"tena askari, alinitishia na kisu kabisa, alitaka kuniua ni kawaida yake kunipiga kila siku, Dullah baby ume fanya vizuri sana kumuitia polisi"

Ramsey alianza kupata picha kumbe polisi wale walisababishwa na Esta, alitamani amfuate Esta na kumtandika ngumi moja ya taya ili atoe meno yake yote ili kama kufungwa aka fungwe vizuri, ila hakutaka iwe ivyo kutokana na angeongeza ukali wa kesi ile,
"yaani wewe una mpiga mwanamke?, una kesi kubwa sana, twende huku"
aliongea polisi huyo huku akimshika kwa nguvu.
"afande taratibu, usinishike ivyo, mi sio jambazi"
"una semaje wewe"?
"nasema ivi mimi sio mwizi usini shike ivyo"

Ramsey aliutoa mkono ule ambao ulikua juu ya shati lake na kuutoa kwa nguvu
ESta alimfuata na kumpiga kibao cha shavu Ramsey kilicholia kwa nguvu.
"ESta"
Ramsey aliita akiwa mnyonge sana
"koma wewe, wewe una nijua mimi?"
"sitaki kuamini kama wewe leo una nifanyia haya, wewe wa kuniitia mapolisi leo"?
"askari mpeleki huyo akanyee debe"

Aliongea Dulla akiwa na ESta pembeni, wakati huo prosper alikua ana shindwa cha kuongea, na kubaki akikaa kimnya huku akimuonea sana huruma Ramsey
"Prosper shika simu yangu hii mta fute Joylah . mpigie alafu amwambie Kway nipo polisi aje msimbazi pale"
"kwanini sasa Ramsey nimpigie yeye?"
"wewe mpigie nina maana yangu"

Kweli Prosper alichukua simu ile. na Ramsey kuingizwa ndani ya Deffender akiamini kuwa Kway ata msaidia kivyovyote vile sababu alikua ana ndugu yake mkuu wa mapolisi mkoa wa Dar es salaam IGP willson Kamuhanda. ivyo alitoa namba ile makusudi ili aweze kusa idiwa. hakutaka kumshirikisha JOsephine katika swala hilo sababu hakutaka ajue lolote lile .

wakati mwingine alitoa wasi wasi na kujua kesi hiyo haitokua nzito kuliko alivyodhani kuwa ni kuhusu kifo cha Doreen
"harooo una mpiga mwanamke yaani wewe ni kifungo tu bwana mdogo, jina lako nani"?
aliongea askari huyo huku akimwangalia Ramsey ambae alikua amekaa kimnya muda wote,
"huongei sio, uko unapoenda lazima ukakalie chupa, na utaongea tu"

kutokana na ukaribu wa kituo iko cha polisi kuwa karibu, walifika msimbazi na kushuka ndani ya Deffender na Ramsey kuingizwa ndani,
"vua mkanda"
"afande sija fanya kosa naomba, unge nisikiliza namimi upande wangu"
"embu vua mkanda wewe, fanya haraka weka mkanda hapo na suruali fanya haraka na shati hilo"
"lakini afande mimi"
"usilete ubishi fanya upesi"

mabishano yale yaliishia baada ya Kway kutokea akiwa na joylah na kumfanya Ramsey awa geukie kwa huruma
"bratha vipi nini tatizo"?
"kaka acha tu"
"wewe mtu humiwa embu vua mkanda kabla sija chukua hatua jingine"

alizidi kuongea askari yule,
"afande za kazi, naomba tuongee kuhusu huyu kijana mara moja, "
aliongea Kway huku akimsogelea askari yule
"uongee nini na mimi wewe, kwanza tokeni nje haraka sana, nawewe utaingia ndani, yaani huyu ndani moja kwa moja, hakuna mjadala"

Askari yule alionekana kukaza na kuanza kumfukuza Kway na Joylah nje ya kituo, ila Kway alitoa simu na kuiweka loud spika huku ikiwa inaita
"eeeh Kamuhanda ,"
"niambie Kway, ndo upo kituoni sasa hivi, ulisema binamu yako amekamatwa"?

askari ayule kusikia vile ili bidi atulie
"ndio Ndugu yangu, nipo hapa kuna askari ana niletea shida kidogo"
"jina lake nani nisomee namba yake"?
asakri yule kusikia vile alianza kubabaika na kuonekana mwenye wasi wasi mwingi kuhofia kupoteza kibarua chake.
"huyu hapa ongea nae"
Kway alimkabidhi ASkari yule simu na kuanza kuongea,
"una jua unaongea na nani?
"ndio mkuu najua"
"aya naomba uyo kijana atoke hapo sasa hivi, "
"sawa mkuu"

simu ile ili katwa na ASkari yule kutoongea chochote kutokana na aibu kubwa kumpata pale. alimruhusu Ramsey atoke mara moja na Ramsey kuachiwa huru.

alimshukuru sana Kway kwa kitendo kile ambapo bila yeye sasa hivi ange kua ananyea debe.
"twende nimepaki gari huku, Prosper alivyo mpigia simu Joylah, nili kua nae huku k,koo, ndo maana nika fika haraka, pole sana, bila shaka ni yule msichana aliye fanya fujo siku ile"?
"ndo huyo huyo ndio"
"nili jua tu, mi nakwambiaga kila siku yule mwanamke wako mswaili sana, achana nae Ramsoo"

walitembea mwendo wa dakika kama kumi na kuingia mtaa wa Agrey ambapo walipanda ngazi na kuingia ndani ya ofisi moja,

ambapo ndani yake alikua mwanaume mmoja mnene kiasi, mikononi alikua amevaa dhahabu hata cheni zilikua za dhahabu, na kuonekana kuwa hakuwa mtu wa mchezo,
"Ramsey huyu meneja wangu anaitwa Sunday John Muna, ndo katika kazi zangu za uandishi yeye ndo ananipangia kila kitu, ungewahi kuja ungeonana na Erick Shigongo hapa leo, na Marry wa Mamito nili kua nao wote"
Ramsey alimpa mkono Sunday Muna na kukaa juu ya kiti kile kilicho kua pembeni,
"kaka mambo yako sio madogo, shemeji una faidi sana"
Ramsey alimgeukia Joylah ambae muda wote alikua akichat
"hahahaha kawaida Ramsey si unajua tena, mke wa mtunzi, alafu haja kwambia very soon tuna enda Moshi?"
"hapana akuniambia bwana"
"aaaaah Ramsey , alafu nili taka kusahau kukwambia mwezi ujao naenda Moshi , kumtambulisha huyu shemeji yako, sasa naomba twende wote nataka kampani yako"
"poa hakuna shida tutaenda kunywa mbege "

"sasa Kway, hiii story ina bidi urushe kesho jioni tena, alafu naona tupandishe dau mwezi ujao, na kile kitabu chako kipya kisha toka, kesho uta kipata kwa Marry wa Mamito"

Aliongea sunday Muna akiwa makini sana juu ya komputa ile.

************

tayari msiba wa Doreen uliisha na kuzika kila kitu, ivyo Mume wa Doreen Emmanuel Raymond siku iyo akiwa na mawazo mengi ana muua kupanga panga kabati la nguo, kweli ili kua majonzi kwake kubaki mpweke,

akiwa ndani ya kabati aliona kitu kama bahasha kubwa na kuitoa, taratibu aliifungua na kuona picha na kukaa juu ya kitanda akiizidi kuta fakari juu ya mwana mke yule aliye muona juu ya picha,
"Mama Enock"!

aliji semea Mume WA Doreen akizidi kuangalia picha ile ambayo walikua wame kombatiana na RAmsey kimahaba. aliangalia picha ile hasa macho yake kuganda kwa mwana ume yule amabapo ana vuta kumbu kumbu kama alisha wahi kumuona lakini ana shindwa kuku mbbuka alimuona wapi.

"huyu izi picha alizitoa wapi?"

alijiuliza Emma Raymond na kutoa simu yake ya mkononi kitendo kile cha kuona Rafiki yake Mwasha ana ibiwa kina muuma sana na kuanza kuta futa namba yake kwa nia moja tu ampigie na kumueleza kila kitu

ila baada ya kupiga ana kuta haipatikani,
"lazima nimwa mbie hili swala, siwezi kuli fumbia macho"

aliwaza Emma Raymond na kuji tupa kitandani

*************

"bwana yesu asifiweeeeeeeee"
zili kua ni kelele ndani ya kanisa la magomeni ambapo watu wengi walifurika miongoni mwa WAtu hao alikua Ramsey baada ya Prosper kumuomba sana aende nae kanisani jumapili hiyo jambo ambalo lina mchukiza sana.

maana mara ya mwisho kwenda kanisani ili kua katika kipaimara chake alivyo kua darasa la sita,
"Ameeeen"

kelele za waumini zili sikika kutoka ndani ya kanisa hilo na kusababisha kama mti kisiko kutokana na mziki mkubwa ulio wekwa,

waimba kwanya ya vijana wali karibishwa kutoa burudani ya mziki, ila macho ya Ramsey yana ganda juu ya mwana mke mmoja ambae mzuri sana na alisha wahi kumuona sehemu fulani na kuto kuamini kama ni yeyey ana imba kwaya ya vijana alikua ni Naike mara ya kwanza kuku tana nae ili kua usiku Mikocheni tena walicheza wote nyimbo ya Fally ipupa, leo hi ana muona kanisani

"ndo maana mimi huwa sipendi kuja kanisani"

aliwaza Ramsey huku akizidi kumwangalia Naike ambaye alionekana kuvalia nguo ndefu kama wana kwaya wengine.

baada ya kwaya hio kuisha mchungaji alianza kutoa maombi na baadhi ya watu kuanza kudondoka, Ramsey alivyyona vile aliamua kutoka nje akitaka kumfuata NAIKE,
ila kabla ya kufika mlangoni bahati mbaya ana jikwaa na kudondoka chini baada ya kukanyaga kamba za viatu, na kufanya waumini wa pale kumfuata na kuanza kumuombea wakidhani ana mapepo,

"oooh BABA wa majeshi , naangamiza mapepo yote yaliyokua ndani ya huyu kijana,, katika jina la YESU KRISTO"
Ramsey alishindwa kuelewa hasa alivyoona kaekewa mkono kichwani.
"jamani eeeh mimi sina mapepo"
"shetani huna mamlaka ya kuji bishana na mimi, pepo la kiburi toka katika jina la YESU, huna mmlaka juu ya nguvu za Yesu"
"embu niacheni niende mimi sina mapepo bwana"

Waumini wa kanisa lile walizidi kumzunguka Ramsey na kuzidi kumshushia maombi...

Ilimbidi Ramsey atulie kimnya maana alijua angendeendelea kubishana nao wangezidi kujaa na kudhani ana mapepo sugu, kweli alitulia kimnya na mwisho waumini wale waliacha kumuombea,
"una jisikiaje kijana"?
"najisikia vizuri"
"hakika bwana YESU kafanya miujiza, jina lake liimidiwe, kijana ulikua una teseka sana na sasa uumetakaswa kwa damu ya Yesu"

alizidi kuongea muumini huyo kati ya watano aliokuwepo wame mznguka Ramsey,

Ramsey alitoka nje akiwa anaaangalia huku na kule akionekana akimtafuta mtu, kweli alikua akimtafuta Naike, ana fanikiwa kumuona akiwa kwa mbali kidogo na kuamua kumfuata huku akimuomba watoke pembeni waweze kuongea mawili matatu.
"una jua sikuelewi,?"
aliuliza Ramsey
"unielewi kivipi, alafu ki ukweli kaka, sura yako sio ngeni kwangu ila nime sahau tulikutana wapi, naomba nikumbushe"
"ha! Ha! ha! ha! mi nakukumbuka sana Naike, tulicheza wote nyimbo ya Fally ipupa siku fulani ivi kwenye ba..."

USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE TAZAMA VIDEO HII KAMA MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA

KWA TELEGRAM👇BONYEZA HAPA
40 Mahaba Niue Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni