Notifications
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…

MAHABA NIUE (28)

Mwandishi: Emmanuel F. Kway

SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE
ILIPOISHIA...
"Unielewi kivipi, alafu ki ukweli kaka, sura yako sio ngeni kwangu ila nime sahau tulikutana wapi, naomba nikumbushe"
"ha! Ha! ha! ha! mi nakukumbuka sana Naike, tulicheza wote nyimbo ya Fally ipupa siku fulani ivi kwenye ba..."

KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII

SASA ENDELEA...
"Shhs shhssss"

Naike aliweka kidole chake kimoja juu ya mdomo wake kuashiria kua asiendeleze mazungumzo hayo.
"wewe unataka kuni haribia, mjomba angu ni mzee wa kanisa hili"
"sikia, nipatie namba zako, alafu mimi nita kutafuta Naike"

Ramsey aliongea huku akitoa simu yake na kumkabidhi Naike ambapo bila kipingamizi alichukua simu ile na kuandika namba zake za simu na kumrudishia Ramsey simu yake.

dakika mbili mbele tayari ibada ili kua imeisha na Prosper kutoka nje ambapo waliingia na Ramsey ndani ya Range iyo aliyo pewa na Josephine atembelee siku iyo,

"sasa Prosper sikia nita kupa laki nne, uende kwenye kile kiwanja changu, uta fute watu wafyeke yale majani yote"
"poa haina noma"

Ramsey alikumbuka kitu na kutoa simu yake ya mkononi na kuandika namba za ESta juu ya kioo cha simu.
"ESta , esta, najua ume shtuka kuniona uraiani tena, ila nataka nikwambie kitu kimoja, hakuna mahakama ya mapenzi"
"ramsey naomba uni samehe zili kua ni hasira tu nakuomba"
"ume chelewa sasa hivi, usha chelewa mbona"
"mimi sitojali Ramsey wangu. nisamehe mwenzio nime kuzoea"
"wewe si una kale kajamaa kako, baki nacho, mimi siku taki"
"no Ramsey"

Ramsey alikata simu na kuendelea kuendesha gari hiyo taratibu sana huku akimkabidhi Prosper shilingi laki nne zile ili aweze kutafuta watu waku fyeka shamba lake, baada ya kila kitu kwenda sawa, ana mtafuta Naike hewani na kuanza kuongea ambapo wana panga wakutane kesho yake ili waweze kuongea viizuri,

alimshusha Prosper magomeni mapipa na safari ya kuelekea kwa josephine kuanza ambapo baada ya nusu saa anaingiza gari hilo aina ya Range ndani ya nyumba hiyo ya kifahari na kushuka na moja kwa moja kuingia chumbani kwa josephine na kumkuta amelala,

hakutaka kumuamsha alicho fanya alitoka na kwenda kukaa sebleni, kabla ya kukaa sawa ana muona Hamida akimpa ishara ya kumuita chumbani kwake, Ramsey anaangalia huku na kule na kumfuata chumbani, ambapo Hamida ana mrukia na kuanza kumpa mabusu ya mdomoni akimnyonya Denda,

Ramsey haraka haraka aliipandisha sketi ya Hamida na kuanza kumshika mapaja yake laini ambapo alipanda mpaka juu na kidole kuki tumbukiza ndani ya ikulu,pata shika ilizidi kuendelea huku Ramsey akiwa mdomoni mwa Hamida akiwa ana mla denda mwishowe Hamida afungua zipu ya Ramsey na kuitoa mashine na papo hapo kupiga magoti na kuitumbukiza mdomoni huku akiichua taratibu na kumfanya Ramsey anze kupata stimu.

mwanamke yule alimtupa kitandani Ramsey na kutoa chupi yake haraka haraka huku akiipanua miguuu yake ili aingize mashine ndani ya ikulu yake ila kabla ya kufanya kile ana hisi anaitwa,
"weee HAMIDAAAA"

ili kua ni sauti ya josephine ambayo ili penya ndani ya ngoma za Ramsey pamoja na Hamida na kuwafanya wote wakkurupuke kama waliotoka kwenye usingizi au askari aliye kua amelala kwenye lindo na kukurupushwa na mkuu wake, wote walishtuka na kubaki waki tazamana kwa woga hasa walivyo sikia Josephine ana kuja chumbani mule,
"WE Hamidaaaa, ina maana huni sikii"?
"Abee MAMA NAKUJA"
"Embu fungua mlango"
"navaa MAMA"

Ramsey kusikia garika lile haraka haraka alienda nyuma ya mlango na kujificha, mlango ule uli funguliwa na kumfanya Ramsey aombe mungu josephine asigeuze shingo
"huyu Ramsey yuko wapi"?
"ata kua kule nje, swiming pool"
"karudi muda mrefu?"
"sio muda mrefu sana"
"naomba nirudie tena kukwambia tena ole wako umwambie baba , kinachoendelea mimi na RAmsey, nita kukata hayo masikio yako"
"siwezi MAMA"

Baada ya hamida kuitikia vile JOsephine alitoka nje akielekea maeneo ya SWimming pool alipo ambiwa kuwa Ramsey yupo.

Ramsey alichungulia huku na kule alivyo taka kutoka Hamida alimshika na kumvuta mdomoni kwake na kumpa Ramsey Denda ila RAmsey ana msukumiza pembeni,

"acha wazimu wako wewe"
"wazimu gani sasa"?
"embu niache usini tafutie balaa hapa"

RAMSEY alimsukumiza Hamida na kutoka nje akielekea swiiming

**********

tayari Mr, Mwasha alikua katika uwanja mkubwa wa kimataifa wa mwalimu NYerere ambapo alikuja kimnya kimnya sana akitokea malasia kutokana na kusikia habari zili zomkera sana kutoka kwa Emma Raymond, kwamba mke wake ana mahusiano na kijana mwingine, ila hakujua ni nani kijana huyo,

alifika mwalimu nyerere uwanja wa ndege na kuingia ndani ya chumba kidogo na kuchukua bastola yake, hii ni kitokana na kuto kuruhusiwa kuondoka nayo nje ya tanzania kama sheria za nchi yoyote ile inavyo sema .

kimnya kimnnya kweli aliingia ili akamilishe upelelezi wake, aliye kuja kumpokea ni rafiki yake mume wa Doreen
"pole sana EMMA kwa msiba"
"asante nishapoa broo"

WAliiongea huku wakielekea kwenye maegesho ya magari ambapo Emma Raymond alili fuata gari lake na wote kuingia, kabla hajawasha gari alitoa baasha ile yenye picha na kumkabidhi Mr,Mwasha,
"nini hiki"?
"wewe fungua broo, fungua ujionee mwenyewe"

Mr,Mwasha alifungua baasha ile na taratibu kuanza kukunja sura na kumtazama Emma RAymond kwa jicho la hasira sana.
"namfahamu huyu kijana, mshenzi huyu, yaani nilianza kuhisi, washa gari nipeleke kwangu nika muoneshe kazi"
"noo Mr, mwasha, usiwe na papara, huyu tunamkamata kirahisi sana, na inavyosemekana siku iizi ana lala pale kwako, usikurupuke uta mkosa Mwizi, cha kufanya wewe tulia"
"wewe uliipata wapi izi picha kwani"?
"ndani ya kabati langu la nguo, itakua marehemu Doreen ndo aliyeziweka, sasa nashindwa kuelewa."
"ume sema ana lala nyumbani kwangu?"
"haswaa"
"subiri"

Mr, mwasha litoa simu yake ya mkononi na kumtafuta mtu kwenye simu yake na kuiweka simu sikioni
huku akiwa mwenye hasira sana.

**********

"baby dozi ya jana usiku si mchezo"
aliongea Josephine kwa uchovu asubuhi hio bada ya kufanya mapenzi na Ramsey usiku kucha bila kupumzika
"mbona kawaida"
"sio kawaida, thubutuuu"
"hahahahaha"

RAmsey alicheka na kumpiga busu Josephine mdomoni na kuingia bafuni kuoga, ambapo baadae josephine nayeyey anaingia kuoga na wote kuelekea sebleni kunywa chai.

baada ya hapo Ramsey ana muaga Josephine kuwa anaenda k,koo na kuingia ndani ya benz na kutoa gari nje, ila Josephine ana toka nayeye nje akikimbia akimfuata Ramsey.
"baby umesahau simu yako"
"oooh LAAZIZ asante sana."
alimpiga busu la mdomoni kama dakika moja nzima na kumruhusu Ramsey aende,

"ndio bossi nisha muona tayari"
"sasa mfuatilie mpaka anapoenda taratibu alafu, mlete nyumbani hapo mimi nakuja kudeal nao wote wawili, fanya upesi mimi nipo njiani"

yalikua ni maagizo kutoka kwa Mwasha upande wa pili ambapo gari ingine ili kua ina mfuatilia RAmsey bila yeye kujua.

"NAIKE USHA FIKA ROMBO HOTEL"?
"YAH MUDA SANA"
"OKAY NIPO NJIANI"

ulikua ni ujumbe mfupi waliokuwa wana chat na Ramsey ili wakutane ROMBO hotel maeneo ya shekilango bila kujua nyuma yake kuna watu wa Mr, Mwaasha wana mfuatilia,



RAMSEY alikua makini sana juu ya usukani akiendesha benzi hiyo aliyo pewa na josephne ambae alimdanganya kuwa anaelekea k,koo
kumbe haikuwa ukweli hata kidogo, alikua na nia moja tu kwenda kumvua chupi mtoto wa kilokole naike, iko ndicho alichokua akikiwaza kichwani kwake, baada ya dakika thelathini na tano tayari aliegesha benzi nje ya hotel IYO ambayo ili kua maalumu kwa ajili ya paking za magari yatakayo ingia.

baada ya dakika tatu verosa nyeusi nayo ilipaki pembeni ya Benz na watu watatu wa mr, mwasha kushuka huku

wakiwa wamevalia miwani nyeusi, walikua makini sana waki mfuatilia Ramsey kama walivyo ambiwa na Mwasha ndivyo walivyo fanya, walimuona amekaa kwenye meza
moja na mwana mke na wao kukaa pembeni yao, huku mara kadhaa wakiwa wana mpa taarifa mr, mwasha kile kina choendelea.

"sasa wewe Naike, mbona hukuagiza kinywaji chochote kile."?
alikua ni Ramsey akimuhoji mrembo huyo ambae alikua akionekana mwenye aibu muda wote, macho makubwa ya Naike na weupe wake ulizidi kumpagawisha Ramsey ambae wakati huo alikua ana fuatailiwa bila kujua chochot,
"nili agiza juice nime kunywa tayari, nikaone bora nikae tu, hata ivyo sikutoka na pesa nyingi sanaaa, alafu hii sehemu sio nzuri, unajua mimi si nili kwambia mjomba angu mzee wa kanisa"
"najua ume niambia sana, alafu kuhusu kinywaji, upo na mimi, wala usijali, kwani wewe hutumii kilevi chochote kile wangu"?
"aaah we noo, mwiko, mimi situmi kabisa"
"mmmh! acha utani, ila kitu kimoja nashindwa kukuelewa wewe NAIKE ilikuaje siku ile sasa, tukacheza ile ngoma ya Fally ipupa kwenye ile baa alafu leo una niambia sijui mjomba wako mzee wa kanisa, alafu nika kuona kwenye kwaya, ujue nyie mna cheza sana na Mungu"
"hahahahahahahahahahahaha Ramsey bwana, sasa kama mjomba wangu mzee wa kanisa nisicheze mziki, nipishe hapa, sema unajua siku ile niliaga naenda kwenye mkesha jangwani unajua, ndo ikawa vile, ukani kuta pale, "
"uko vizuri , lakini tuachane na hayo, una soma au una fanya kazi ?"
"yaah nasoma hapo ustawi"
"ustawi,? kuna binamu yangu mmoja pale ana itwa Pendo, upend Mranda, Mrangu sijui, kitu kama hiko"
"upendo mrangu, namjua sana, best yangu nipo nae pale kumbe binamu yako?"
"yah"

waliendelea kupiga stori huku Ramsey akizidi kudanganya , baadae ana msha wishi Naike waagize chumba maana sehemu hiyo haikuwa nzuri,

kwa Naike ana jaribu kuweka mkazo akiogopa na kuhofia sana, ila Ramsey ana mhakikishia kuwa hakuna kitu chochote kibaya kitakacho tokea.

***********

"heee Mume wangu jamani mbona ghafla ivyo, kimnya kimnya hata kuniambia, una taka kuni fanyia suprise"?
lili kua ni swali kutoka kwa josephine baada ya kumuona mume wake seblen.
"hapa ni nyumbani kwangu, Josephine muda wowote ule naingia, wala usiwe na wasi wasi"
"lazima niwe na wasi wasi maana sio kawaida yako"
"basi ita kua kawaida yangu kuanzia leo"

Mr, mWASHA alitoa bastola yake kiunoni na kuiweka mezani na kutoa simu yake mfukoni.
"ndio vijana, bado mpo nae?,"
"ndio, naona ameingia sijui chumbani hotelini"
"hapo ndo patamu sasa, mna weza kwenda kumchukua, mumlete hapa, wala musi mpige, nataka mwenyewe nimuadabishe"
"sawa bosi"

upande wa pili uli kata simu amabpo Josephine mpaka wakati huo hakujua nini kina endelea
"kuna nini lakini mume wangu"?
"una taka kujua kuna nini"?
"ndio mume wangu sababu una nitisha sana"
"oakay nisubiri hapo hapo"

Mr, Mwasha alisimama na kwenda chumbani, ila Josephine ana chukua mwanya ule na kuanza kuipekua simu ya mume wake ili ajue nini kinaendelea, aliingia kwenye uwanja wa meseji na kukuta sms walizo kua waki tumiana na watu wake juu ya mipango ya kumkamata Ramsey.

USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE TAZAMA VIDEO HII KAMA MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA

KWA TELEGRAM👇BONYEZA HAPA
40 Mahaba Niue Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni