MAHABA NIUE (28)

Zephiline F Ezekiel
MAHABA NIUE (28)
JINA: MAHABA NIUE Mwandishi: Emmanuel F. Kway SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE ILIPOISHIA... "Unielewi kivipi, alafu ki ukweli kaka, sura yako sio ngeni kwangu ila nime sahau tulikutana wapi, naomba nikumbushe" "ha! Ha! ha! ha! mi nakukumbuka sana Naike , tulicheza wote nyimbo ya Fally ipupa siku fulani ivi kwenye ba..." KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE BURUDIKA NA VIDEO HII SASA ENDELEA... "Shhs shhssss" Naike aliweka kidole chake kimoja juu ya mdomo wake kuashiria kua asiendeleze mazungumzo hayo. "wewe unataka kuni haribia, mjomba angu ni mzee wa kanisa hili" "sikia, nipatie namba zako, alafu mimi nita kutafuta Naike" Ramsey aliongea huku akitoa simu yake na kumkabidhi Naike ambapo bila kipingamizi alichukua simu ile na kuandika namba zake za simu na kumrudishia Ramsey simu yake. dakika mbili mbele tayari ibada ili kua imeisha na Prosper kutoka nje ambapo waliingia na Ramsey ndani ya Range iyo aliyo pewa na Josephine atembelee siku iyo, "sasa Prosper sikia …