ROHO MKONONI (11)

Zephiline F Ezekiel
ROHO MKONONI (11)
JINA: ROHO MKONONI Mwandishi: Zuberi Maruma SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... Butu mwenyewe binafsi alishangaa kesi yake ilivyopelekwa haraka haraka mpaka kuhukumiwa kwake,hapakuwa na uchunguzi,wala nini,sasa anaelekea gerezani,hakuwa na ndugu wala familia wa kumpigania,hakuwa na rafiki wala hata mpz wa kumfariji,akaingizwa katika karandinga tayari kwa kwenda kuya anza maisha mapya ya gerezani. KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 SASA ENDELEA... *'NA AHIDI NITATOKA MR X SITOKUACHA HAI,SAFARI HII UMESHINDA ILA SAFARI NYINGINE UTOSHINDA NASEMA'*. Huku akiwa kaji inamia,ndani ya karandinga lile Butu alijiwazia safari ikiendelea. *** SURA YA TANO LANGO LA JEHANNAMU : Lango la geti kubwa likafunguliwa na wanajeshi walovaa nguo za magereza,karandinga lile lililobeba wafungwa likapita. Lango likafungwa!... Karandinga lile ilitembea kama dakika kumi na tano katika njia ndogo huku pembeni…