ROHO MKONONI (15) JINA: ROHO MKONONI Mwandishi: Zuberi Maruma SEHEMU YA KUMI NA TANO ILIPOISHIA... Mwingine akatoa amri,Zidu alitaitika ikabidi atii haraka kijana mwingine akamsogelea na kuichukua silaha Kisha pale pale akapewa amri atoe mkono akachomwa sindano iloenda na fahamu zake.... Msafara ule wa gari za wagonjwa zilizidi kusonga mbele tayari Madamu Mery mwanadada hatari jasusi alisha mdokeza Agent Bray kilichotokea na walivyofanikiwa kumdhibiti Zidu kilaini tu.... KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 SASA ENDELEA... "Congrats comred nilijua sikukosea kukuacha na huyo mtu!" Agent Bray alimpongeza mwanadada yule,kwa kipindi hiki bilionea Max Arther Merly ndio aliyosadikika kulishika taifa la Marekani na yeye ndo alikuwa mdhamini mkuu wa chama tawala Cha American People 'AP' yeye ndo alopanga Raisi awe nani katika chama chake. Na toka chama hiko kiingie madarakani Miaka 15 Raisi ali…