FUPI TAMU (8) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumanne, 14 Februari 2023

FUPI TAMU (8)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
📖 KUSOMA SIMULIZI
🎬 FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
😂 VIDEO za KUCHEKESHA
📑 MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa

Jina: FUPI TAMU
Mwandishi: Edgar Mbogo

SEHEMU YA NANE
ILIPOISHIA...
Aliuliza kaka, na hapo mama mdogo akavuta punzi ndefu, na kuishusha, “Denis, kwanza usinichulie kama vile mimi napenda sana wanaume, au nimetembea na wanaume wengi, ukiachilia mume wangu ambae tumefunga ndoa miaka miaka mitatu iliyopita kwa mkuu wa wilaya, wewe ndie mwanaume wangu wapili kuonda uchi wangu”

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI

SASA ENDELEA...
Aliposema hivyo mamdogo, nikaona kaka akishtuka nakuinuka kabisa, kisha akaa kitandani, “inamaana wewe ni mke wa mtu?” aliuliza kaka kwa mshangao, wa kuogopa, “ndiyo, lakini….” alitaka kuongea mamdogo, lakini kaka akamuwai, “hapana mamdogo, kwanini sasa ume fanya hivi, unajuwa nizambi kubwa sana kutembea na mke watu” alisema kaka huku ana inuka toka kitandani, na kuanza kuitafuta nguo yake ya ndani, pale kitandani, japo mimi niliiona hipo chini,

“tulia kwanza Denis, mpenzi wangu, naomba unisikilize kwanza” alisema ma mdogo kwa sauti ya kuomboleza, ambayo ilianza kutia huruma, “akuna kitu utaniambia kiasi cha mimi kujisamehe kwa kutembea na mke wa mtu” alisema kaka ambae baada ya kuona kuwa ameshindwa kuiona chupi yake akaanza kuvaa suruali yake, “Denis, naomba uwe mtulivu, na unisikilize kidogo” alisema ma mdogo sasa akiinuka kitandani na kwenda kumzuwia Denis asivae suruali yake, “sikudanganyi mamdogo, sipo tayari kutembea na mke wamtu, na sikuwai kufikilia kama nitakakuja kufanya hivyo katika maisha yangu, alisema kaka huku ana mshinda nguvu mama mdogo, alie kuwa uchi kabisa, nakumalizia kuvaa nguo zake, kisha akamalizia shati, sasa mamdogo alikuwa amekaa kwenye kitanda amejiinamia,

“ulisema kuwa autopenda kuni udhi” alisema mama mdogo, kwa sauti iliyo ambatana na dalilizote za kulia, “ni kweli lakini machozi yako ya leo ni bola sana kwa ndoa yako, kuliko tabasamu ambalo litakuletea kilio kikuu kwenye ndoa yako” alisema kaka Denis, ambae baada ya kumaliza kuvaa viatu aka ni nyayua pale kitandani na kuanza kutoka nje kile chumba, huku mama mdogo akivuta shuka na kujitanda kisha akatufwata,

“Denis, silii sababu, unaniacha usikuu wa kwanza kukutana na wewe na kunipa penzo ambalo sikuwai kulipata mwanzo, nalia sababu nimekukwanza na kukuchukiza mwanaume niliekuona kuwa ndie sahihi kwangu” alisema mama mdogo, kwa sauti iliyo jaa husuzini kubwa, huku akitufwata kwanyuma, “sahihi wakati una mume, unazani mimi nitakuwa mgeni wanani, watu watakapo gundua kuwa nime tembea na mke wamtu, nita mtzamaje mama Eva na shemeji yako, baba na mama watanielewaje?” ukweli licha ya upole alionao kaka, lakini leo nilimwona alivyo kasilika,

“Denis unapaswa kutulia kidogo, ili …….” alitaka kusema mama mdogo na kaka akamdaka juu kwa juu, “ili nini?.... ili nini? unataka tualalishe zambi au unataka usema kuwa ulitaka tufanye mala moja, tena unasema utaka kuzaa nje ya ndoa” sasa kaka aliongea huku sauti yake ikinusulika kuangua kilio, hapo nikamwona mama modogo ana fungua mlango, na sisi tuka toka nje kisha safari ya nyumbani ikaanza, kaka akugeuka kumtazama mamdogo, alie kuwa amesimama mlangoni anatusindikiza kwa macho, mpaka tulipo toweka, huku kaka akijisonya sonya njia nzima, ikionekana akupendezewa na kitendo chake cha kutembea na mke wa mtu. ……

Yap ukweli mpaka siku ya pili jumamosi ya pasaka, asubuhi nilisha sahau kilicho tokea jana kwa kina Eva, ila nakumbuka mida ya saa tano mama alimtuma kaka kwenda maduka, kuulizia mchele ambao, wakina mama walitaka kwenda kuununua, ili kupelekea kimara, kama maandalizi ya ubatizo, wa shangazi, mke wa kaka yake, yaani wifi yake, ambae alikuwa anabatizwa, ukubwani ni baada ya kubadiri dini kwaajili ya kufunga ndoa, na mimi nika liunga, kufwwata nakumbuka pia tulipokuwa tuna pita nyumbani kwa kina Eva, tulimwona Eva ana kimbilia ndano ya nyumba yao, mala tu baada ya kutuona, huku anaita “mamdogo……. ma’mdogo, kaka Denis yuleeeee” atukujuwa kilichoendeleanyumbani kwa kina Eva, maana kaka alizidi kuongeza mwendo, ili tuwai kupita eneo lile.

Nakweli tulipita, na hapo mimi nika kumbuka matukio ya jana usiku, japo sikujuwa ni kwanini kaka alichukia kuwa mama mdogo alikuwa na mume wake, siku tilia uzito wa kaka kuchukia juu ya ilo, ila nilitafthiri kama wivu tu!, ukweli nilianza kuumia sana, nilipenda kuwaona kaka na mamdogo wanapendatena, “kaka mbona atuja enda kwa kina Eva?” nilimwuliza kaka ikiwa ni swali la kujaribu, na kutafuta jibu, kama bado anamchukia mamdogo,

“tutaenda baadae” alijibu kakaDenis lakini kwa mkato, akionyesha wazi kuwa alikuwa na mawazo mengi, sana yaliyo uhumiza moyo wake, hapo nikaona bola nitulie na kuacha maswali, lakini kaka mwenyewe akaendelea kuongea, “yani mwanamke mzuri sana yule, lakini anafanya mambo ya kijinga kabisa, kama siyo mke wamtu” alisema kaka Denis, kwa sauti ya uzuni kubwa, “lakini si anakupenda peke yako tu!” nilimwuliza kaka, ambae alishindwa kijibu kwa haraka, “lakini, ni mke wa mtu, anawezaje kuwa na mapezi ya kweli na mimi?” alisema kaka wakati tumesha fika madukani.

Kama kawaida pale madukani palikuwa na watu wengi sana, kaka akujiangaisha kutazama watu waliokuwepo eneo lile, sababu wengi wao akuwa anawajuwa, ila mimi nilimwona mpemba, ambae alikuwa amevimba vimba sana usoni, nazani nikutokana na tukio la jana usiku, alipokuwa anapigana na Wakwetu, kaka aliwasalimia tu! na kuelekea moja kwa moja kwenye duka la mpemba,nazani pia akuwa analifahamu, ila aliliona kuwa lina mifuko ya mchele kwa na maharage, kwa nje, nilimwona mpemba anatutazama, kwa jicho la pembeni, wakati tunaingia dukanikwake, ambako nilizania angeingia kuja kutuhudumia.

Naam, ndani ya duka la mpemba, tulimkuta mwanamke mmoja mdogo mdogo, alie valia gauni jeusi la baibui, na kujitanda kanga kichwani, akiziba nywele zake akibakiza uso pekee, ukweli alipendeza, “asalam aleikum karibu” alisalimia yule mama muuza duka, mwenye rafudhi ya kipemba, ambae umri wake, ni kati ya miaka kumi na nane mpaka ishilini na moja, kwa mwonekano ni mzuri sana, “santé habari za leo” alisalimia kaka” huku akitazama tazama mle dukani,

“salama karibu” aliitikia yule mwana dada, ambae na mfahamu, kuwa ni mdogo wa bwana mpemba, ambae watoto wa bwana mpemba wale tunao somanao, wanamwitaga shangazi, ambae niligundua jambo la kushangaza juu yake, yani muda wote alikuwa anaongea huku anamtazama sana kaka, na tabasamu lime tawala usoni kwake, “mchele bei gani?” aliuliza kaka, ambae kwa mala yakwanza toka tumeingia mle dukani, akamtazama yule mschana, ambae pia alikuwa ana bado anamtazama huku anatabasamu, nikamwona kaka akitoa macho ya kustaajabu, kwa uzuri wa mschana huyu,

“mchele kilo shilingi sabini na tano, kama unanunua kuanzia kilo tano, nakuuzia kwa kilo shilingi sitini” alisema yule mschana, huku anakwepesha macho yake yasi tazamane na macho ya kaka, tabasamu likiendelea kushamili, usoni mwake, na hasilimia nyingi za aibu usoni mwake, “ok! kwahiyo naweza kupata kilo ishilini?” aliuliza kaka Denis, ambae sasa alikuwa anamtazama yule mwana dada, ambae nilikuwa na mfahamu anaitwa Fatma, ambae kabla yakujibu aliinua usowake na kumtazama kaka usoni, na macho yao yalipo kutana, nikamwona Fatma ana tabasamu tena huku anatazama chini kwa aibu ya kike,

“unapata ata ukitaka hamsini” aliji Fatma akijichelesha chekesha, hapo nikamwona kaka anacheka kidogo, “sasa dada yangu kama unaaibu hivi, wateja uwa unawahudumiaje?” aliuliza kaka na hapo ndiyo kama alizidisha aibu usoni kwa Fatma, ambae aliziba uso kwa mkono wake, “ata mimi nashangaa sijuwi kwanini naona aibu” alisema Fatma, huku anajichekesha chekesha, “ok! basi kuna watu watakuja kuchukuwa mchele baadae” alisema kaka kisha tukataka kuondoka, “mtu gani au baba yako?” aliuliza Fatma, hapo kaka akatoa macho ya mshangao, “mh! kwani una mfahamu baba yangu?” aliuliza kaka kwa mshangao, huku anarudi kariu na meza ya mauzo, (counter) “we! si Denis, kaka wa huyu mtoto, nakufahamu sana” alisema Fatma, huku anajichekesha chekesha, wakati huo anafungua kopo la pipigolori (kama unazifahamu nizile zenye rangi rangi nyingi}, na kunipatia tano.

Ukweli niliona wazi kuwa Fatma ana mpenda kaka, kama angekuwa yeye ndie mwanaume basi angesha mweleza kuwa anampenda, inamaana ata mimi unanifahamu?” aliuliza kaka Denis kwa sauti ya kustaajabu, “ndiyo nakufahamu, ata jana nilikuona mbezi, ulikuwa na yule dada mnene” alisema Fatma, akiendelea kujichekesha, “ok! basi baadae tuta fwata mchele” alisema kaka Denis, kisha tukaanza kutoka nje ya duka, “karibu tena” alisema Fatma kwa sauti iliyo jaa furaha.

Naam baraha la kwanza likatokea mala baada ya kutoka pale dukani, maana ilikuwa kama wakati tunaingia, kaka akuwajari wale waliokuwa wamekaa pale nje ya maduka, wakiwa na mpemba, kaka alitoka bila kuwaangalia wale watu ambao walikuwa na shughuri mbali mbali, wengine walikuwa wana cheza draft, wengine walikuwa wanacheza bao, wengine walikuwa wanaendelea na biashara zao, nilimwona mpemba na bahadhi ya watu wengine walikuwa wana tutazama, wakati tunaondoka.

Lakini atukufika mbali, wakati tupo eneo lile lile la madukani, ghafla tuka mwona Eveline, akiwa ana kuja mbio mbio mbele yatu, mkoni ameshika kitu kilicho viligwa kwenye gazeti, kwa haraka haraka nilihisi kuwa ni kitumbua, na niliamini kuwa ananiletea mimi, maana kupeana vitu ilikuwa ni moja ya tamaduni yetu.

Lakini ilishangaa kuona Eva ana mfwata kaka moja kwa moja na kumkabidhi ile ilgezeti iliyo fungwa, hapo nilishikwa na kitu kama wivu, kuona kitu ambacho nastahili kukipata mimi anapewa kaka, niliamini kitumbua, hivyo basi ile kaka anapokea tu! nika mkwapua kwa ghafla, “we Pross acha bwana ya kaka yako hiyo” alipiga kelele Eva, huku watu karibu wengi pale madukani walikuwa wanatutazama, mimi sikutaka kukubariana na Eva, nivuta kile kitu, lakini kaka ambae nazani alikuwa anajuwa kwenye gazeti kuna nini, alikuwa amesha ishika vizuri, hivyo tukawa tumeshika wote wawili, nika vuta kwanguvu, na gazeti gazetu likachanika, na kwa macho yangu nika ona kitu ambacho sikuwa na kumbu kumbunacho toka jana usiku, tuka jikuta tumeshika nguo ya ndani ya kaka ile ambayo jana usiku alishindwa kuiona nyumbani kwakina Eva……….…

na kiukweli watu waliokuwa wanatutazama waliweza kuona vyema kile tulicho kishika, sijuwi na mimi nilikwama wapi, maana nilijikuta nacheka kwanguvusana, huku napiga kelele, “ulisahau chupi kwa mamdogo” nilisema kwa sauti ya juu huku ninaangua kicheko, hapo kaka aliivuta kwanguvu ile nguo yake, na kuiweka mfukoni, kisha akaanza kutembea haraka kuelekea njia ya nyumbani, na mimi nikimmfwata pasipo kujuwa kuwa ayari watu waliokuwepo eneo lile wamesha gundua jambo kutokana na tukio lile,

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Usisahau Kunipa Sapoti kwa Kuyabonyeza ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Burudani

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni