KUTI KAVU (13) Jina: KUTI KAVU Mwandishi: Changas Mwangalela SEHEMU YA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... Lilikuwa ni swali gumu sana kwa Doi, kwa sababu katika maisha yake hakuwahi kulisikia jina hilo la Makeke . Alijaribu kuvuta kumbukumbu zake ni wapi amewahi kulisikia ama kuliona bila mafanikio. “Makeke?” Doi aliuliza baada ya kushindwa kulitambua jina hilo. WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... “Ndiyo, Makeke…yule anayefanya kazi KWITALE ADVOCATES & COMPANY, unajifanya humjui? “Hapana… simjui” “Na Dominic je?” Kutajwa kwa jina Dominic kuliyabadiri mapigo ya moyo wa Doi kwa kasi ya aina yake. Moyo wa Doi ulikuwa ukidunda kama moyo utakao kuchomoka kutoka mahali pake! Taswira ya Dominic Masaka ilimjia akilini mwake, mwili ulimuishia nguvu na kasi yake ya kutembea ikaanza kupungua kwa kila hatua aliyopiga. Hakudhani kama angeweza kuhimili kum…