KUTI KAVU (14) Jina: KUTI KAVU Mwandishi: Changas Mwangalela SEHEMU YA KUMI NA NNE ILIPOISHIA... Baada ya salamu na mazungumzo mafupi baina yao hatimaye Zai alimweleza Doi shida yake. “Shosti…. Mi sina mengi naomba tu unisindikize Uchumi Supermarket , kuna mtu nataka kukutana naye pale. Naomba unisindikize shoga, jipale nakusubiri.” WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... “Jamani Zai… mwenzio nilikuwa nasoma hadithi hapa umenikatisha uhondo wangu, nivumilie basi nijiandae.” Saa moja baadaye Zai na Doi walikuwa kwenye viwanja vya ‘ Quality Centre ’, mahali ambapo lipo duka la Uchumi Supermarket. Zai alikwenda pale kwa minajili ya kuonana na hawala yake ambaye alimwambia waonane ili amfanyie shopping ya vitu ambayo Zai aliomba anunuliwe na hawala yake huyo. Hawala yake Zai alijitambulisha kwake kuwa anaitwa Marcus japo jina lake halisi halikuwa…