KUTI KAVU (2) Jina: KUTI KAVU Mwandishi: Changas Mwangalela SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... Akauendea mkoba wake na kutoa bulungutu la noti la dola za kimarekani na kuliweka pale chini ya mto sambamba na ile barua kisha akaichukua picha ya Domi ambayo aliipiga siku ya mahafali yake ya kuhitimu shahada yake ya kwanza, picha ambayo huwekwa kwenye meza iliyoko chumbani mule. Kwenye ile picha Domi alionekana akiwa mwenye furaha kupindukia kwa sababu ya tabasamu mwanana alilokuwa nalo kwenye picha ile. WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Doi aliishika ile picha kwa mapenzi mazito, kisha wazi wazi akaia nafsi yake ikimsuta! Machozi yakaongezeka zaidi, akaibusu ile picha na kuitazama tena kwa mara nyingine kisha akairudisha pale ilipokuwa awali. Akaufungua mkoba wake na kutoa leso kwa ajili ya kufutia machozi yaliyoenea mashavuni mwake. Doi a…