KUTI KAVU (4)

Zephiline F Ezekiel
KUTI KAVU (4)
Jina: KUTI KAVU Mwandishi: Changas Mwangalela SEHEMU YA NNE ILIPOISHIA... Alivuta mikupuo ya haraka haraka halafu akaruhusu moshi mwingi utoke nje kupitia tundu za pua yake. Kwa jinsi moshi ulivyokua ukitokea puani kwa mzee Masaka, nilizifananisha pua zake na bomba la kutolea moshi kwenye pikipiki au trekta WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Baada ya kuwa amepiga mikupuo kadhaa, mzee Masaka alimgeukia tena mkewe, “Mbona hujaniuliza yaliyojiri huko nilikokuwa nimeenda?” “Nilikuwa nasubiri upumzike kwanza baba Domi, enhe mmefikia wapi?” “Huyu Mzee Tungu anazidi kunichokoza, si unakumbuka sehemu ya shamba letu aliyokkuwa ameimega?” “Ndiyo nakumbuka.” Mama Domi alijibu huku akijiweka tayari kusikiliza mumewe anachomwambia. “Basi amemega tena, na safari hii ameingia kwa hatua mbili zaidi. Nimejaribu kumuelewesha lakini anajifa…