KUTI KAVU (6) Jina: KUTI KAVU Mwandishi: Changas Mwangalela SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... Wakati huo mzee Vioja alikuwa ametumbukwa na jicho la mshangao na fadhaa. “Ni kweli, mimi sijatuma pesa” alisema Domi kwa sauti iliyojaa masikitiko makubwa. Mzee Vioja alimtazama Dominic kwa umakini halafu akamuita, “Dominic,” WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... “Naam baba,” “Hebu nieleze kila kitu bila kuficha mwanangu…” Mzee Vioja alisita kidogo na kuruhusu fundo kubwa la mate lipite kooni mwake kuelekea tumboni, halafu akaendelea. “Kulikuwa na mgogoro wowote baina yako na na Doi ?” “Hapana, hatukuwa na mgogoro wowote,” Mzee Vioja alitulia kidogo akawaangazia macho kwa zamu, wote Dominic na mama Doi aliyekuwa ubavuni kwake upande wa kushoto, halafu akamalizia kwa Dominic aliyekuwa amekaa kinyonge mbele yao, akaendelea, “Labda…kuna tofauti yoyote ul…