KUTI KAVU (7) Jina: KUTI KAVU Mwandishi: Changas Mwangalela SEHEMU YA SABA ILIPOISHIA... Dominic alirudi kutoka kazini akiwa amechoka. Baada ya kuegesha kwenye maegesho yake, akaanza kupanda ngazi kuelekea kwenye Apartment yake ambayo ilikuwa ghorofa ya kwanza. Apartment ambayo amepangishiwa na kampuni anayoifanyia kazi kama mkataba wa ajira unavyoeleza. WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Kwenye makazi hayo mapya, yaliyokuwa maeneo ya ilala , Domi aliona angalau sasa ameanza kuishi kama ambavyo siku zote alitarajia kuishi; kazi nzuri, nyumba nzuri na kadhalika. Kutokana na uchovu uliosababishwa na kazi nyingi za kutwa nzima, Domi alipitiwa na usingizi muda mfupi baada ya kuwa amejiegesha kwenye kochi! *** Mnamo majira ya saa 9 alasiri, Doi alikuwa ndani ya Tax akielekea uwanja wa ndege tayari kwa safari ya Parris . Njiani aliwaza mambo…