KUTI KAVU (8) Jina: KUTI KAVU Mwandishi: Changas Mwangalela SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... Lilipita Njia panda segerea , Banana , Mombasa bila Zai kushuka huku Mudi akilifuata kwa nyuma gari hilo aina ya TOYOTA –DCM . Gari alilopanda zai lilipofika Gongo la Mboto lilisimama na Zai akashuka huku Mudi akimshuhudia kwa uangalifu ndani ya helmet iliyomfanya asiweze kutambulika na yeyote. WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Aliposhuka tu kwenye gari lile la Gongo la mboto ambalo lilikuwa limefika ukomo wa safari yake, zai alishuka akajisogeza kwenye gari zinazoenda Chanika akajitoma ndani. “Anaenda wapi huyu? Hajawahi kuniambia kama ana ndugu maeneo haya, sasa huku anaenda kwa nani?” Wakati Mudi anaendelea kujiuliza maswali hayo, gari alilopanda Zai likaanza kuchapa mwendo huku Mudi akilifuatilia kwa nyuma kwa umakini wa hali ya juu. *** Huku Ny…