KUTI KAVU (9) Jina: KUTI KAVU Mwandishi: Changas Mwangalela SEHEMU YA TISA ILIPOISHIA... Mapunda alisema na maneno yake yalisikika sawia masikioni mwa Zai aliyekuwa pembeni yake. Maneno yale yalimchoma moyo kiasi cha kumfanya aangue kilio cha sauti. Akajiona kama mjinga na mpumbavu wa mwisho chini ya jua, akaliona kuti kavu alilolikalia likidondoka na yeye akiwa juu yake. Alilia sana. WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Mudi aliiweka helmet yake ubavuni, kisha akachapa mwendo. ***** SIKU ya Jumapili Domi aliamka asubuhi, aliamka asubuhi na mapema akafaya maandalizi yake kisha akaelekea kanisani. Siku hiyo alipanga kusali misa ya kwanza ambayo huanza saa 12:30 asubuhi. Alipanga hivyo kwa lengo la kurudi mapema nyumbani ili ajiandae na kazi za kesho ofisini kwao. Baada ya ibada Domi aliwasha gari kurejea nyumbani, kabla hajafika nyumban…