MUUZA CHIPS (26)
Sehemu ya Ishirini na Sita, alikuwa akimenya viazi, aliongea hivyo huku, chidi huku akishika, hata sijui kakumbuka, ivi una mpenzi, katika hali ya
Zephiline F Ezekiel
6 min read
Mwandishi: MoonBoy
SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
Kidole hicho kilikuwa kikiloa kila wakati, huku rehema anarusha miguu utafikiri kifo kilikuwa kikimkabiri,
"aaaah hhhhhhmmmm hhhmmmm Nnnnnhhhhh Aiiiiiiiiii yesu wangu mie uuuuuuuuwwiiiiiiii"
KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI
SASA ENDELEA...
Rehema alijikuta Akitaja neno yesu bila kupenda
Chidi alimuacha kisha akakaa sawa tayari kwa kumvua uchupi wake,… Jamani rey alikua ana uchupi haswa, na ni kutokana na umbo lake lilivyo, chidi alianza kuivua huku akilia kimapenzi
"ssssssiiii Ahhhhhhh…. Siiiiiiiiiiiii aaaaaaaa"
"ivi boy unaitwa nani"
"naitwa Rashidi… Wewe je"
"naitwa rehe… Hhhhmmmm aaaaiiii chidi, nipe basi"
"unaitwa nani"
"rehema"
Rehema alijibu lakini huku akiwa amefumba macho…..
Chidi hakuchelewa kuianza kazi yake ya kumshughulikia dada huyo,…
"jamani chidi taratibu wewe"
Rehema kutokana na uzoefu wake wote lakini kashindwa kuizuia heshma ya chidi,.. Lakini huwa chidi yeye hapendi kuumiza mwanamke bali anapenda kutoa raha kwa mwanamke, hivyo alianza kumfanyia taaratibu kabisa,… Mtoto alikuwa anarelux huku raha nyingi zikimpitia
ASUBUHI MIDA YA SAA MOJA HIVI,
Jasu akiwa bado yupo pale kaunta, na disco lilishaisha ila yeye alibakua hapo kwakuwa rafiki yake bado yupo humu ndani, hivyo Hakupenda kumuacha rafiki yake,… Lakini saidi yeye alishaondoka toka usiku ule
Wakati huo huku kitandani, Chidi ndio anaamka, saa moja…
Akimuangalua rehema bado kalala tena akiwa kachoka, kwani mlalo aliolala uliashiria kuchoka sana.. Mana hata shuka hajajifunika… Chidi alimfuata na kuanza kumvalisha chupi yake huku akiwa kalala, baada ya kumvalisha alimlaza taratibu na kumfunika vizuri..
Chidi aliingia bafuni na kuanza kuoga, Dakika kumi baada chidi akawa yupo tayari kwa kila kitu hata kuvaa keshavaa tayari,.. Chidi alitaka kutoroka rehema hivyo akawa ananyata nyata taaratibu ili asije akamshtua, mana pesa ya kumlipa hapo hana, alikuja na pesa kidogo na ndio imeishia kwenye kulipia chumba…
Sasa chidi ile anagusa tu mlango aliskia akiitwa
"chidi"
Mmmhhh alinata kwanza huku akigeuza shingo kikomedi komedi, kitu kilichomfanya rehema kucheka akiwa yupo pale kitandani…
"yaani una vituko wewe,.. Sasa mbona wataka kunikimbia"
Daaahhh ishu ya kutoroka ikashindikana,
"aahhh unajua rey, mimi sina pesa ya kukulipa hivyo nikaona nikutoroke tu"
"kwani nimekudai"
"hapana hujanidai ila kutokana na mazingira niliokupata, niliona unahitaji kitu kidogo"
Rehema aliamka akiwa na chupi tu, na kumfuata chidi pale alipo na kumkumbatia,
"chidi.. Yaan hata kama ungelikuja na begi la pesa, nisingetaka hata shilingi yako"
Aliongea rehema huku akiwa kamlalia chidi kifuani…
"kwanini"
Aliuliza chidi huku akishika shika chupi ya rey
"penzi ulionipa chidi, Kiukweli naapa kwa Mwenyezi Mungu, sijawahi kulipata… Chidi yaani leo ndio nimeusikia utamu wa mapenzi,.. Chidiiiii… Ivi una mpenzi kweli"
Tukija huku kwa Ibrahim aliokuwa kafungua kibanda kimoja tu, kile kipya ila kile cha zamani hakijafunguliwa kabisa,
"mtoto msenge huyu,… Toka jana mpaka saa hizi hajarudi"
Ibrahim alikuwa akimenya viazi hapo kazini kwake huku akilalamika kuhusiana na mdogo wake kuondoka toka jana bila kurudi nyumbani, na mbaya zaidi chidi hakufungua banda la chipsi,..
Hasira alionayo ibra sipati picha itakuaje kwa chidi
Tukija huku gesti kwa chidi akiwa na rehema wake waliokesha nae usiku kucha, na kumfanya rehema kumpenda chidi bure bure tu,.. Wakati mwanzo aliona kapata buzi
"chidiii… Ivi una mpenzi kweli"
Rehema alimuuliza chidi huku chidi akijibu kuwa
"hapana"
"waooo safi,.. Vip na unategemeo la kuwa na mpenzi"
"hapana"
"kwanini… Au unaona nitakudai pesa"
"hapana"
"chidiiiii… Nakuahidi nitakupa mwili wangu wote buuure kabisa, ila naomba niwe mmoja kati ya uliowaweka moyoni mwako, Please chidi.. Sijawahi kumtongoza mwanaume ila leo siwezi kukuacha chidi"
"ngoja nifikirie kwanza, nitakujibu"
"ok staki kukufosi, we nifikirie but ngoja niagize chipsi tule"
Sasa kitendo cha rehema kutaamka neno chipsi, kilimfanya chidi awe kichaa wa mbio, yaani alitoka hapo mlangoni kama upepo vile…
Alipita pale kaunta kama chizi mbio mbio mpaka jasu akashangaa, kwa kumuona chidi anakimbia…
Jasu ikabidi apande juu kwenda kumwangalia rafiki yake kapatwa na nini mbona mtu aliokuwa nae katoka mbio..
Wakati huo chidi akiwa mbio mbio huku akijiuliza,
"kudadeki, yule Ibrahim kule itakuaje, aisee atakuwa kanuna"
Chidi aliongeza spidi mpaka kibandani kwa ibra, ambae ni kaka yake,… Kufika tu cha kwanza aliomba msamaha kwa kaka yake mana anajua lazima atakuwa kachukia..
"broo nisamehe kwa kuchelewa"
"ulienda wapi we fara"
"disco"
Hakumficha kaka yake alimuambia ukweli kuwa katoka disco
"toka lini wewe ukaenda disco"
"nilianza jana broo"
aliongea huku akimwogopa sana kaka yake,.. Ibrahim alitoa pesa na kumrushia, kana kwamba keshamsamehe mdogo wake hivyo kamrushia pesa ya kwenda sokoni kuchukuwa mazaga ya chipsi.. Chidi aliamka fasta na kwenda sokoni kununua viazi na nyama bila kusahau kuku, mana bado hawajafikia kuchinja kuku wenyewe huwa wananunua kuku watano waliochinjwa tayari, kisha wanakuja kuwauza huku kwenye banda lao,…
Tukirudi huku gesti, tunamkuta jasu ndio anaingia chumba alichokuwa rafiki yake, jasu kwanza kamkuta rafiki yake yupo na kanguo hako tu,
"vp shost.. Mbona katoka mbio"
"Kiukweli hata sijui kakumbuka nini"
"mmmhhh ivi kakulipa kweli"
"mmmhhh shost, kwani hata nina hamu ya kumdai"
"ooohooooo, umeshatorokwa hivyo"
Aliongea jasu na kudhani labda rafiki yake katorokwa
"wala hajanitoroka, sema kuna kitu labda kakumbuka… Nilipotaja tu chipsi, yaani nilishangaa tu mlango umefungwa"
"nakuambia kashuka pale kwenye ngazi,.. Alipita pale kaunta kama upepo vile"
"hhhhh hata sijui kakumbuka nini"
"ok… Kikubwa upo hai tu shost wangu mana nilikuwa nawaza kakufanya nini huku"
"wala tu shost nipo vizuri"
"ila.. Hujampa huko"
"mmmhhh shost jasu, vile alivyo dudu lake si angeniumiza"
"we si konkodi wewe"
"hhhmmm ni kweli lakini sio kwake,… Na staki ajue kama mimi nina tabia hio, mana naskia wanaume hawaoi wanawake wenye michezo yote"
Walikuwa wakiongea kimkato mkato hivyo hata kuelewa huezi kuwaelewa kuwa wana tabia gani mbaya ya kucheza kote kote
"ila shost rey"
"nini jasu… Mi mwenzio sijaingiza hela leo"
"sawa sikatai… But leo sijapata mwanaume afu nina hamu mwenzio"
Jasu aliongea hivyo huku akijishika matiti yake mazuriii
"jasu jamani mie nimechoka eti, nimesulubishwa na yule boy"
"bora yako wewe… Sasa mimi utaniseidiaje rehema wangu"
"jasmini, hebu jikaze tu"
"nooo Nataka sasa hivi"
Mmmhhhhh hata mimi sielewi hapo, mana hakuna mwanaume lakini kama vile wanatakana…
Jasu alianza kumshika shika mschana mwenzie, huku rey akiwa hataki mana kachoka kutokana na kichapo kutoka kwa chidi….. Sasa jasu sijui alikuwa anataka nini kwa rehema…
Rehema kushikwa tu kidogo kalegea na kujilaza kitandani huku jasu akifuata juu yake…..
Ama kweli dunia imekwisha Jamani, katika hali ya kushangaza sasa wanaume hawana lolote juu ya wanawake wetu,… Hapo ndani hakukuwa na mwanaume lakini wanawake walikuwa katika hali ya kama kulikuwa na mwanaume,.. Hali hiii imekithili sana katika ulimwengu huu wa sasa kitu ambacho ni laana kubwa sana katika ulimwengu wetu wa sasa,
Miaka ya nyuma ilikuwa inajulikana hali hii ni wanaume tu, lakini sasa mpaka wanawake wapo, 5ena kwa takwimu zangu nadhani ndio kwa asilimia kubwa..
Rehema alilegea tepe tepe baada ya kushikwa na mwanamke mwenzie ambae ni jasu, Rehema hapo alipo alikuwa ana kachupi tu tena ni pale alipovalishwa na kijana chidi…
Jasu nae taaratibu alivua nguo zake na kubakiwa na chupi kama mwenzie rey, Kiukweli walichokuwa wakikifanya kilikuwa kikishangaza sana mana hhhhmm hata havisemeki Kiukweli…
Iliwachukuwa nusu saa nzima wakawa wamechoka mno, haswa haswa rehema, mana rehema katoka kuchezea zakaria ya chidi muda si mrefu,..
"ahsante shost yangu"
Jasu aliongea hivyo huku akimbusu rehema,…. Walivaa nguo zao kisha wakaondoka zao,
Tukija huku kwa kijana chidi aliokuwa kesharudi sokoni, hivyo alikuwa akimenya viazi lakini mwili wake ulikuwa umechoka sana,
Rafiki yake ambae ni saidi alikuja pale na kuanza kumseidia kumenya viazi mana kuchelewa huko kulisababishwa na saidi kumchukuwa mwenzie mpaka disco.
"asee nimechoka mno rafiki yangi"
Aliongea kijana chidi huku akishika kichwa kuashiria kuchoka mno,..
"pole sana, inaonekana ishu kama hizi hujazizoea chidi"
"kabisa, yaani jana ndio kwanza nimeanza jana, sijawahi kuingia disco hata siku moja"
"daahhh sorry bwana nikajua unapendaga ishu kama hizo"
"aahhh wapi bhana, hatuna uzoefu tu"
"ok… Sasa, kile chumba nimeshakipata ila kwa mwezi ni elfu 60, kina tailizi kina choo na bafu humo humo alafu ina kachumba kadogo kama kajiko au kastoo hivi,.. Elfu 60 kwa mwezi"
Aliongea kijana saidi mana ndio alipewa kazi ya kutafuta chumba,..
"aahhhh side mbona bei ghali hivyo"
"baba we acha tu ni balaa, yaani hicho chumba ukikiona, utatamani hata ulipe laki moja kwa mwezi"
"mmmhhhh kina madini nini"
Chidi alitoa kasimu chake kisha akapiga hesabu za kulipia chumba hicho mana anatakiwa atoe kwa mwaka…
"khaaaaa, Elfu 60 mara 12 ni laki 720… Kudadeki"
Aliongea baada ya kupiga hesabu zake, kwani chumba hicho kinatakiwa kilipiwe kwa mwaka,…
"mi pia nilikushangaa sana, unawezaje kutafuta chumba cha aina hio na wakati hali yenyewe ndio hii"
Aliongea saidi bila kujuwa kuwa mwenzie kuna ufadhili kaupata na ndio mana kaamua kitafuta chumba chenye hadhi,..
"we acha tu side, nitajitaidi nikipate"
"mmmhhhh laki saba chidi, utaitoa wapi"
"nitaipata tu"
"eehhhh basi we sio mwenzangu tena"
"ahahahahahah waapi bhana side kawaida tu"
Basi ilipita muda mrefu sana, na kijana side alimwahidi chidi kuwa jioni akitoa waende kukiona chumba hicho,…
Na sasa ni mida ya mchana, chidi akiwa katulia katika kiti chake, huku akiwa tayari kwa huduma kwa wateja wake,.. Ghafla mama yake yulee kaja,..
"chidi mbona umekaa kiupole hivyo una nini"
Aliongea mama huyo ambae ni mama yake na sarah,
"kile chumba nimekipata lakini kina bei sana mamy"
Chidi aliongea hivyo, lakini sio kweli kuwa upole wake au kutulia kwake ni sababu ya kusikia bei ya chumba,
"ni kiasi gani wanataka"
"wanataka kulipia kwa mwaka"
"shilingi ngapi sasa"
"laki 8, lakini si ulinipa laki 6 hivyo bado laki mbili tu"
"aaahhhj hio isikupe tabu,… Sasa nataka Twende tukanunue vitu vya ndani"
"sasa hivi"
"ndio"
Chidi alinyanyua simu yake na kumpigia saidi
"oya side, ebu njoo hapa mara moja"
Alimwita rafiki yake saidi…. Punde si punde saidi alifika na kumuacha pale kibandani kisha chidi wakaenda katika duka la fenicha ili kununua kila kitu cha ndani,… Kiukweli chidi alinunuliwa vitu vya gharama sana, yaani vitu vya bei ghali mno…
INAENDELEA...
Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni