MUUZA CHIPS (27)

Sehemu ya Ishirini na Saba, huku kwa akina, mama yake na, chidi na saidi, hapo kwenye hio, hotelini kwa akina, huko kwenye hicho, huku hotelini kwa
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (27)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA ILIPOISHIA... "oya side, ebu njoo hapa mara moja" Alimwita rafiki yake saidi…. Punde si punde saidi alifika na kumuacha pale kibandani kisha chidi wakaenda katika duka la fenicha ili kununua kila kitu cha ndani,… Kiukweli chidi alinunuliwa vitu vya gharama sana, yaani vitu vya bei ghali mno… KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Walinunua kila kitu mpaka tv, yaani hakuna kitu kimeachwa hapo,…. Chidi alitoka kwenda kutafuta gari kwa ajili ya kuvipakia,… Walipata gari na kuvipakia vyote, Lakini wakati wanataka kuondoka, ghafla mama huyo akapigiwa simu ya kikazi, na nia yake ni kuelekea huko kwenye hicho chumba "sasa, we peleka tu mi ngoja niwahi kazini sawa" "sawa mamy" Basi mama huyo akaondoka na kumwacha chidi akiwa anataka kupeleka vyombo hivyo huko kwenye hicho …