MUUZA CHIPS (28)

Sehemu ya Ishirini na Nane, kijana chidi huku, na kaka yangu, wa kijana chidi, achana na kaka, akikaa vizuri kwa, baada ya kujua, chidi huku akikaa
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (28)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE ILIPOISHIA... "we jaribu tu utajua" "mmmhhh nitajaribu siku nikipata nafasi" Basi sarah na miriam waliendelea kupiga stori nyingi sana hususan za wapenzi wao jinsi wanavyowaona,… KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Wakati huo kijana chidi kafika M-pesa na yupo tayari kwa kutuma pesa, lakini kabla hajatuma alikumbuka hata jana kaja kutuma pesa, juzi pia alituma… Karibia kila siku lazima atume elfu 30 kila siku iendayo kwa mungu "broo, hivi ukizituma zile pesa unatuma kwenye namba tofauti tofauti au ni mtu mmoja tu" Aliuliza kijana chidi huku akionyesha msistizo wa hali ya juu sana "kwani vipi" "amna, nilitaka kujua tu broo" "natumaga kwenye namba moja tu" "samahani sana kaka… Naweza kuipata hio namba" "aaahhhh hapana, siwe…