MUUZA CHIPS (29)

Sehemu ya Ishirini na Tisa, ya mama huyo, kwa kijana chidi, mtoto wake wa, mapaja ya mama, na jimama lake, akaikuta chupichidi jamani, mama huyo
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (29)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA ISHIRINI NA TISA ILIPOISHIA... "hoteli gani" " mount Meru hotel " "ok.. Poa basi nikimaliza hapa nitakutafuta" "ok… Now am happy to meet with you" "usijali mamy" KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Basi chidi aliendelea na kazi yake huku akiwaza kwenda kulala na yule mama, mama yule alikuwa sii haba, ni bonge la jimama na lina sura kama mtoto wake sarah alivyo,… Tukija huki kwa rehema akiwa yupo na rafiki yake jasu, walikuwa wakipiga stori, huku rehema akimsimulia jasu kuwa alikutana na mdogo wake Ibrahim ,… "shost… Leo majanga shost" Aliongea rehema huku jasu akiwa na mshangao wa kujua kuna janga gani alilokutana nalo… "janga gani tena shost" "leo saa ngapi sijakutana na mdogo wake Ibrahim" "weeee… Lakini si shemu wako sasa kuna ja…