MUUZA CHIPS (31)
Sehemu ya Thelathini na Moja, ya mungu chidi, juu ya mdogo, kaka yake chidi, kaka yake na, maskini ya mungu, ya mdogo wake, akilia kwa uchungu
Zephiline F Ezekiel
6 min read
Mwandishi: MoonBoy
SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
Chidi alikuwa akiangaza macho huku na kule ili achukue toyo imuwahishe kule kibandani ili akachukue visalfeti au mfuko wa kwenda kuchukulia viazi sokoni… Sasa kuangalia huku na kule, haoini toyo, ikabidi atembee mwenyewe ili awahi,.. Kulikuwa na imbali mkubwa sana hafi kufika kibandani huko…….
KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI
SASA ENDELEA...
Sasa kijana chidi kufika eneo flani hivi akaona mtu mbele yake kama vile anamfuata, kucheki kushoto na kulia aliona watu wengine,… Na wote walikuwa wakifuatilia chidi,.. Chidi alijua tu hapa imeshakuwa balaa,
Ile anarudi nyuma kakutana na mwingine kashika kisu,. Chidi akawa hana ujanja maskini ya mungu, chidi alishikwa na kukatwa kidogo kwenye mkono, huku wengine tayari wameshachana mifuko ya suruali, simu yake ile kubwa alionunuliwa na mama huyo iliibiwa, pesa ya mtaji wa chipsi iliibiwa,.. Pesa iliobaki kama laki mbili yote iliibiwa, yani hapo alipo alipo aliachwa kama alivyo, tena mbaya zaidi chidi alikuwa na simu zote mbili ile ndogo na ile kubwa,… Maskini ya mungu chidi alijiamsha taratibu huku mkono wake ukivuja damu…
Tukija huku kwa Ibrahim aliokuwa ndio anarudi sokoni, lakini leo alikuja kwenye hiki kibanda cha zamani ambacho alimuachia mdogo wake chidi,…
"yaani huyu mtoto msenge kweli, mpaka saa hizi hajaja"
Aliongea kijana Ibrahim huku akiendelea kumenya viazi,..
Ghafla anasikia kishindo cha mtu aliedondoka chini, ikiwa ni nyuma ya nyumba hio, Ibrahim alizunguka kwenda kuangalia, kufika kamkuta ni chidi mdogo wake, tena alikuwa akitiririka damu huku nyma kubwa ya mkononi ikiwa imeachia,
"we fara kuma mame umetoka wapi saa hizi"
"broo… Sasa badala unipe huduma ya kwanza, ndio kwanza unanitukana"
"tena kimya mbwa wewe,.. Nani akupe huduma ya kwanza mi nakujua, wewe… Afu kwanini umtukane mke wangu mwanakumanina wewe"
"haaaaaaaaaa nimemtukana mke wako,… Lini mimi nimefanya hivyo"
Hajakaa vizuri Kapigwa kibao, tena bao bao haswa.. Kabla mkono haujapoa ukarudi na kelebu moja matata iliomdondosha chidi mpaka chini,.. Chidi aliudondokea ule mkono uliokatwa na wale waizi…
"yaani mke wangu unaenda kumtukana,.. Sasa skia, kuanzia leo sitaki kukuona kwenye haya madhingira yote ya hapa bandani, na kuanzia leo nataka urudi kijijini ukawaseidie wazazi kulima.. Pumbafu wewe"
"kaka, yaaani nirudi kijijini kufanya nini tena"
"nimekwambia, sitaki kukuoba ndani ya huu mji… Kwanza nipe pesa ya mauzo ya jana.. Msenge wewe, unaleta mambo ya kisenge senge.. Mjini hapa mbwa wewe"
Chidi alianza kulia kwa uchungu… Huku akiuangalia mkono wake uliokuwa ukimiminika damu,.. Yaani Ibrahim hakuwa hata na chembe ya huruma juu ya mdogo wake,..
"nasema nipe pesaaaaa"
Aliongea huku akimpiga teke la pale kwenye mkono, chidi alipiga kelele kwa maumivu makali alioyasikia…
"Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa"
Kelele hizo zilimboa sana Ibrahim na kuzidi kumpiga mdogo wake, ambaye hata kimabavu alikuwa hamuwezi, yaani chidi alikuwa na mwili mdogo ila kaka yake alikuwa mnene afu mrefu, hivyo kubishana nae kimabavu hawezi…
Lakini chidi kuangalia pembeni, aliona shoka ambayo wanaitumiaga kwa kupasulia kuni,… Aliiangalia ile shoka huku akimuangalia kaka yake, bila kaka kujua,… Ibrahim alikuwa akiongea maneno makali yaliozidi kumuumiza chidi…..
Katika maisha kuna mateso mengi sana hapa duniani, japo ya chidi sio makali lakini lakini ukweli ni kwamba mateso kama haya yapo katika dunia hii,.. Mtu ni ndugu yako lakini anakutesa sana kisa ni mwanamke au mali alizonazo,… Kijana chidi alikuwa akiumizwa sana na maneno yaliokuwa yakimtoka kaka yake, kana kwamba alikuwa anahisi labda huyu sio kaka yake,…
Lakini maneno hayo yalipokuwa yakitoka kutoka katika kinywa cha kaka yake,.. Chidi alipoangalia pembeni aliina shoka ambayo huwa wanaitumia kuchanjia kuni, chidi aliiangalia sana ile shoka huku akimwangalia kaka yake akiwa anaropokwa na maneno makali yaliomuuma sana katika moyo wake,.. Yaani hakutamani kabisa kuendelea kuwa na kaka kama huyo.. Na happ alipo chidi ana kidonda kikubwa alichokatwa muda mfupi uliopita…
Sasa chidi akaishika ile shoka ila hajainyanyua, hivyo hata Ibrahim hakuona kama chidi kaigusa ile shoka,.. Lakini chidi kabla hajataka kufanya lolote, alifikiria mbali sana
"Eeehh mungu naomba nizuie hasira zangu, mana kama nitamtupia hii shoka naweza kumuua nami nikapotelea jela,… Eehh mungu wangu niokoe na hili"
Aliongea kijana chidi huku akiiachia shoka ile,..
"nipe pesa yangu"
Aliongea Ibrahim huku akimpiga teke mdogo wake huyo,
"broo samahani, nimeporwa sasa hivi tu, huoni hata nilivyokatwa hapa"
"kukatwa kwako mimi hakunihusu, nipe pesa yangu mbwa wewe"
"Kiukweli sina hata kitu, kwani hata ile simu yangu imeibiwa"
"nimekwambia mimi sihusiki na hilo, ninachohusika nacho ni pesa yangu ya mauzo, na lazima itakuwa kubwa kwasababu hujaituma ile pesa"
"nimeporwa zote broo"
"we kuma mako, unajua usiniletee mchezo na pesa ujue"
Ibrahim hakuwa na hata chembe ya huruma juu ya mdogo wake huyo,… Chidi alizidi kujitetea sana kwa kaka yake huku akilia kwa uchungu na maumivu ya kile kidonda alichokatwa na wale waizi….
"sasa sikia,… Sitaki kukuona eneo hili lote hapa shule, yaani nikikuona tu nakuitia mwizi, na licha ya hivyo, mimi nataka urudi nyumbani ukalime msenge wewe"
Chidi hakutaka kubishana na kaka yake, na ile hali ya kumkata na shoka ilishapotea na hakuwa na hasira yeyote juu ya kaka yake,.. Chidi aliondoka taaratibu huku Ibrahim akimsukuma ili aondoke haraka,.. Lakini chidi kabla hajaimalizia hatua yake ili kuondoka, alimgeukia kaka yake na kumwambia kuwa,
"sawa, wacha niishi mbali na wewe,. Lakini nakupa ukweli wote kwamba,.. Yule mwanamke hana mimba wala hana mtoto, kama huamini mchunguze,.. Anakulia hela zako na nilimsikia kwa maskio yangu anasema hana cha mimba wala nini… Mimba gani ya miezi minne haionekani, unadanganywa halafu unakubali,.. Kaka unaliwa hela zako, na huo ndio ukweli wangu na ndio mana kanichukia kwasababu nimeijua siri yake,.. Ww endelea kulea watoto wa wenzio tu, wakwako ndio mimi unanifukuza kisa ni huyo mwanamke,.. Ila nakuapia mbele ya Mwenyezi mungu kama utaendelea na huyo mwanamke, hakiamungu vile hutoboi na haya maisha… Naondoka, lakini utanikumbuka tu"
"we kuma mae unasemaje wewe,… Ati mke wangu hana mimba… Wewe ni dokta, we msenge nakuuliza wewe ni dokta"
"mimi sio dokta,.. Ila katika maisha haya hakunaga mwanamke anaekula elfu 30 kila siku, na kama yupo, basi huyo ni mlaghai, hakupendi bali anataka pesa"
"we kuma mako toka.. Ofisini kwangu mbwa wewe"
"sawa, naondoka ila utanikumbuka"
"nikukumbuke we Nyerere bwana, kwenda uko kuma nina wewe"
Maskini ya mungu chidi aliondoka huku akilia kwa uchungu wa matusi anayotukanwa na kaka yake,.. Chidi alikuwa akitembea taratibu kuelekea nyumbani kwake ambako amepangisha hivi karibuni, maskini ya mungu chidi hakuwa hata na senti ya kumuwezesha mupanda pikipiki, hivyo alikanyaga wamguu mpaka nyumbani kwake, ikiwa ni mida ya saa 2 asubuhi tayari kumeshakucha na hata watu walikuwa ni shamra shamra za kwenda makazini,.. Chidi aliingia ndani na kuchukuwa hakiba aliokuwa kaiweka huko,.. Ilikuwa kitu kama laki na nusu hivi,.. Aliichukuwa kisha akawahi hospitali, alupofika hospitali aligomewa kutibiwa mana kidonda kilikuwa ni kikubwa na kulihitajika PF3 kwa ajili ya matibabu, chidi na kidonda chake alianza tena kuhangaika katika vituo vya polisi ili kuweza kupata hio PF3,.. Haikumchukuwa muda akawa keshaipata na kurudi hospitali, Matibabu yaliendelea vizuri na kupewa dawa za kila aina zitakazomseidia kukausha kidonda hicho,.. Chidi alitoka hapo hospitali akiwa kafungwa bendeji mkononi, na dawa nyingi sana,.. Kuangalia kiasi kilichobaki alishangaa sana kuona kabakiza elfu kumi na tano yaani laki na nusu sasa kabakiwa na elfu kumi na tano… Aliwaza mambo mengi sana huku akijiuliza kuhusu maisha yake,…
Chidi alirudi nyumbani huku akiwa na chakula chake alichonunua huko mjini,..
Alipomaliza kula ilibidi apumzike hapo ndani,…
BAADA YA WIKI MOJA KUPITA
BAADA YA WIKI MOJA KUPITA
Na leo ni siku nyingine tena chidi akiwa katika makazi ya ajabu huku akiwa kachafuka sana,.. Maisha ni kutafuta na wahenga walisema kuwa mchagua jembe si mkulima, na sasa tunamuona chidi akisukuma mkokoteni,.. Kwani alipoona kazi hana aliona ajichanganye na watu wenye hali hio ili aweze kupata chochote cha kuingiza mdomoni,.. Chidi akiwa kabeba mizigo ambayo kapewa kazi na wahindi, mizigo hio aifikishe sehemu fulani kisha aweze kulipwa… Na hapo chidi alikuwa peke yake na mkokoteni wake, huku mizigo ikimuelemea sana…
Tukija huku kwa Ibrahim ambae ni kaka yake na chidi, alikuwa akiyafikiria sana yale maneno ya mdogo wake yaliosema kuwa,
"uliona wapi mimba ya miezi minne haionekani"
Alifikiria sana yale maneno huku akijiuliza
"huyu mtoto ni mshenzi au inakuaje hapa"
Alikuwa hapati jibu juu ya mdogo wake kusema kuwa mke alienae anamdanganya ili amlie pesa zake,
"kweli, mwanamke kila siku 30, anakula nini"
Alisema Ibrahim huku akishika kichwa, na wakati huo kibanda kimoja kimekufa kwasababu hakukuwa na mtu wa kukisimamia, hivyo hapo alipo alikuwa pale kwenye kibanda kipya, na kile xha zamani alichokuwa akisimamia chidi kimekufa, na hakipo tena… Labda Ibrahim kaona hapaingizi pesa kama kule kwenye kibanda kipya….
Tukija huku kwa chidi aliokuwa akiteseka na mzigo wake, mara ghafla anasimamishwa na wale askari wa pikipiki, tunawaita VODAFASTA walimsimamisha
"heeeee ndugu kwani mimi ni gari aisee"
Aliongea kama utani mana alishangaa kuona hata mkokoteni unazuiwa kama gari
"unaleta utani"
"aahhh nisameeni wandugu"
"umebeba nini humo kwenye mifuko"
"pumba za kuku"
Chidi alitaamka hivyo huku akijiamini mana anajua hana kosa bali wanamchelewesha tu,
"pumba gani hizi laini hivi"
"ahahahahahaha broo siku hizi mashine za kidigitali yaani kuku washindwe wenyewe kutaga"
Sasa ghafla afande mmoja kakoki bunduki yake huku akiwaambia afande wenzake kuwa
"afande kaeni tayari hapa kuna hata, huu mzigo unalindwa kisiri siri"
Afande mwingine hakuelewa alichoongea afande mwenzie…
"una maana gani afande"
"afandeeeeee, huu mzigo sio pumba ya kuku, huu mzigo ni madawa ya kulevya"
Chidi aligeuka nyuma kwa mshangao huku akiwa katoa macho, kwa hofu ya maisha yake…
Maisha ni misuko suko na haikosi uonevu, chidi na maisha yake magumu alikuwa akifanya kazi ya mikokoteni iliokuwa ikimuingizia buku buku za kukidhi maisha yake, kwani uzuri ni kwamba nyumba aliopangisha alikuwa kalipa kodi ya mwaka mzima, alafu ni nyumba ya lakshari,…
Mama huyo aliompangishia chidi, alimpenda sana kijana huyo japo kwa sasa hampati tena kwani hata simu yake haipatikani, kwani hata chidi kwa sasa hakuwa na simu…
INAENDELEA...
Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni