MUUZA CHIPS (31)

Sehemu ya Thelathini na Moja, ya mungu chidi, juu ya mdogo, kaka yake chidi, kaka yake na, maskini ya mungu, ya mdogo wake, akilia kwa uchungu
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (31)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA ILIPOISHIA... Chidi alikuwa akiangaza macho huku na kule ili achukue toyo imuwahishe kule kibandani ili akachukue visalfeti au mfuko wa kwenda kuchukulia viazi sokoni… Sasa kuangalia huku na kule, haoini toyo, ikabidi atembee mwenyewe ili awahi,.. Kulikuwa na imbali mkubwa sana hafi kufika kibandani huko……. KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Sasa kijana chidi kufika eneo flani hivi akaona mtu mbele yake kama vile anamfuata, kucheki kushoto na kulia aliona watu wengine,… Na wote walikuwa wakifuatilia chidi,.. Chidi alijua tu hapa imeshakuwa balaa, Ile anarudi nyuma kakutana na mwingine kashika kisu,. Chidi akawa hana ujanja maskini ya mungu, chidi alishikwa na kukatwa kidogo kwenye mkono, huku wengine tayari wameshachana mifuko ya suruali, simu yake ile kubwa alionunuliwa na mama huyo …