MUUZA CHIPS (32)

Sehemu ya Thelathini na Mbili, afandealiongea huyo jamaa, alipanda gari yake, askari policehaloo afandealiongea, atatoa siri nyingi, gari yake kisha
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (32)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI ILIPOISHIA... Mama huyo aliompangishia chidi, alimpenda sana kijana huyo japo kwa sasa hampati tena kwani hata simu yake haipatikani, kwani hata chidi kwa sasa hakuwa na simu… KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Sasa kutokana na maisha ya chidi kuwa magumu chidi anajikita kwenye kazi ya mikokoteni ili kupata chochote katika maisha yake,… Lakini tukumbuke kuwa wahenga walisema kuwa ng'ombe wa maskini hazai na akizaa atakuwa dume hivyo halitoleta faida yeyote,.. Msemo huo naufananisha na maisha ya kijana chidi aliokuwa akiyapatia tabu za hapa na pale, na leo anakamatwa akiwa kabeba dawa za kulevya,… "afande kaeni tayari hapa kuna hatari, huu mzigo unalindwa kisiri siri" Afande mwingine hakuelewa alichoongea afande mwenzie… "una maana gani afande" "afandeeeeee, h…