Sehemu ya Thelathini na Tatu, hakuwa na mimba, hofuau kuna kitu, kama una hofuau, kapata wapi pesa, kijana chidi akiwa, kitu umeona kwenye, hana mimba
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (33) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA THELATHINI NA TATU ILIPOISHIA... "haloo boss" "we… Sitisha hilo swala la kumuua huyo kijana" "kwanini boss" "sikiliza we kichaa…. Vijana kama hao waache, kwasababu tunaweza kuwatumia kwenye kazi zetu kwasababu wanafahamu siti zetu" KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... "lakini atatoa siri zetu boss" "nimesema achaaaaaa" "ok, ok, ok, ok, sawa boss naacha" "tena msimfatilie huyo kijana, mana makosa ni yakwenu mnampa mtu mzigo na hamumtaarifu kuwa ni mzigo gani ili awe makini" "sawa boss nimekuelewa" Jamaa alikata simu, huku mwenzie anamuuliza "vp juma kuna nini" "boss" "boss,… Boss kafanya nini" "kasema tuache kumfatilia yule chalii" "heeee kivipi tena" "mi sijui jamaa angu ata …