MUUZA CHIPS (34)

Sehemu ya Thelathini na Nne, kumshika shika salma, huku kijijini kwa, huku mjini kwa, kijana chidi ambao, kijijini kwa salma, kule kwa yule, bi mkubwa
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (34)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA THELATHINI NA NNE ILIPOISHIA... Baada ya miezi sita kupita tunakutana kijana chidi akiwa bado na hali yake ya kusukuma mikokoteni, yaani mpaka sasa bado hali yake ni mbaya mno,…. Akiwa kijiweni kwake tena kakaa juu ya mkokoteni wake, ghafla kasimu kake kanaita,.. Kuangalia jina alikuwa ni mke wake wa kijijini ndio alikuwa akimpigia simu KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... "haloo mama watoto habari yako" Kijana chidi alimsalimia mke wake kwa furaha na kuonekana hana hofu ya maisha na karidhika na hali alionayo,.. "huku sio salama mume wangu" "nini tena salma mke wangu" "mama anaumwa, yaani hoi hoi na hapa tupo njiani kuelekea hospitalini " "mungu wangu wee, salma nini tatizo kwa mama" "jana tulikuwa shambani, hivyo ndio vikamuanza" "salma mke wangu,…

Maoni 2

  1. Bila jina
    Mbn kwenye app simulizi ya mama mwenye nyumb hakuna ??
    1. Zephiline F Ezekiel
      Sababu, ulichelewa kuipata app, kuanzia sasa na kuendelea simulizi zote zinakuwa zinabaki kwa ajili ya baadae
      hiyo isome hapa hapa kwenye blog