Notifications
  • MWALIMU MKUU (9)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TISAILIPOISHIA...Upande wa rameki alifika bwenini, alimlaum Irene kwa kumuamsha moli wake bila kumpa msada aliingi bafuni alijimwagia maji kisha akatoka, alivaa nguo zake kisha akachukua kitabu na kuwelekea darasani kujisomea.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Mwalimu mkuu aliruhusiwa kisha akafika nyumbani kwake alijiraum kumfukuza rameki“”Mmh hii mimba naisi itakuwa ya rameki maana yule mtoto…
  • MWALIMU MKUU (8)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA NANEILIPOISHIA...Kwa upande wa rameki alikwenda shuleni kuangalia matokeo yake alifaulu yule ya ruhowiko jwtz sekondari iko songea mjini INA mchanganyiko wa wafulana na sichana.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Hatimae rameki alimuaga bi sani kwamba anaelekea shuleni bi sani aliuzunika sana kukaa mbari na rameki aliahidi atakuja kumtembelea ili amtibu kiu yake.Hatimae rameki aliondoka kuaza…
  • MWALIMU MKUU (7)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA SABAILIPOISHIA...“” sawa mpenzai,”alijibu rameki kwa kishingo upande“”Oooh jina nzuri asante sana”alijibu mwalimu uku akimkumbatia rameki kisha akamwagia mvua ya mabusu uku tens akipapasa kifua cha rameki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Rameki alihisi raha ya ajabu alimvakamiamwalimu wake kisha akamvakamia maziwa yake kwa pupa kama ana wait basi LA mkoani UBONGO.“” rameki ashhhiiiii chomeka…
  • MWALIMU MKUU (6)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA SITAILIPOISHIA...Hatimae rameki alipata nafuu alizinduka Mama ake alifurahi kumuona mwanae akiwa amepata fahamu“””Eeeee mungu kweli umesikia kilio changu asante sana(uku alifurahi)pole mwanangu””IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“”Asante mama”alijibu ramekiMama rameki na mama loly walirudi nyumbani kumchukulia rameki chakula kwani tangu asubui akupata mlo.*********Upande wa bi sani alifurahi…
  • MWALIMU MKUU (5)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TANOILIPOISHIA...Mama roly alivyosikia rameki anataka kumwaga alimtema yule nyoka na kumficha pangoni mwake, rameki alimpambu mama roli kwa kasi ya ajabu kama ndege ya vita ikimbiavyo angani“Ramekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! tombaaaa”rameki na mama roli walipiga madafu kama manne “heeee rameki siamini???!!”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“kwannn??”rameki aliuliza“DUDU LOTE HILI…
  • MWALIMU MKUU (4)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA NNEILIPOISHIA...Mwalimu mkuu alistuka kuguswa na kitu kwenye makalio yake alijua rameki atakuwa kaweka mzigo nyuma yake rameki alivyoona ajakaa vizuri alisogea ili akae vizuri mwalimu mkuu alistuka kitu kama tango kikimgusa tena alipitisha mkono ili aone nn alistuka “MUNGU WANGUU”IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Rameki alistuka mwalimu mkuu alivyoshika tango lake akapaza sauti“AAAAAA MWALIMU…
  • MWALIMU MKUU (3)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA TATUILIPOISHIA...chausiku alishangaa kuziona zile sale “JAMANI NANI KAKUPA MWANANGUU??!!”aliuliza chausiku kwa mshangao“Kaka juma”alijibu ramekiIKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...“Oooh juma jamani mungu akubariki ooooh asante mungu”alitamka mama rameck uku akinua mikono juuRameck alizijalibu zile nguo hakika alipendeza sana adi mama ake alimfagilia kwa vigeregere “jamani juma mungu akuwekee…
  • MWALIMU MKUU (2)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA MBILIILIPOISHIA...“MUNGU WANGU YULE SI MZEE ALINANI???!!!”aliuliza chausiku kwa mshangao chausiku alimuangaria mzee alinani ambae amepoteza furaha yake ya kusomaMzee alinani alikuwa anakuja kuangaria bishala zake pale sokoni kwa kina chausiku.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Mzee alinani alistuka kumuona chausiku alikwepesha macho yake kwa aibu alitoka kwenye soko lile, chausiku alimpitia…
  • MWALIMU MKUU (1)
    Jina: MWALIMU MKUUMtunzi: __SEHEMU YA KWANZA“MAMA USIFE MAMA NITAISHI VP NA HII MIMBA MAMA”ilikuwa ni sauti ya mdada aitwae chausiku akimwambia mama ake asifee bado anamtegemea mama ake na mimba yakee“CHAUSIKU MWANANGU NAJUA MIMI NDIYO TEGEMEZI LAKOO NILIPAMBANA NA KILIMO ILI USOMEE LAKINI UMECHEZEA SHIRINGI CHOONI MWANANGU UMESHIKA MIMBA BADO MWAKA MMOJA TUU UMALIZE LAKINI NDO IVYO MWANANGU MIMBA NDO ISHAINGIA SINA BUDI KUKUFUKUZA INGALI UKO MOYONI MWANGU NAKUPENDA MWANANGU CHAUSIKUU ILA…
  • THE NIGHTMARE (9)
    Jina: THE NIGHTMAREMtunzi: Hussein O MolitoSEHEMU YA TISAILIPOISHIA...“mmenifananisha, mimi ndio kwanza naigia ofisini mida hii.” Aliongea yule afande na kuigia kituoni.“sasa aliyekuwa anatuhoji ni nani kama sio huyo?”Alijikuta anajiuliza mwenyewe swali lililompa utata mkubwa kichwani mwake.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈ENDELEA...Wakati wakiwa hawajui hili wala lile, walishangaa kuona maaskari wakijazana pale na ambulance ikafika…

MUUZA CHIPS (34)

Sehemu ya Thelathini na Nne, kumshika shika salma, huku kijijini kwa, huku mjini kwa, kijana chidi ambao, kijijini kwa salma, kule kwa yule, bi mkubwa
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA THELATHINI NA NNE
ILIPOISHIA...
Baada ya miezi sita kupita tunakutana kijana chidi akiwa bado na hali yake ya kusukuma mikokoteni, yaani mpaka sasa bado hali yake ni mbaya mno,….

Akiwa kijiweni kwake tena kakaa juu ya mkokoteni wake, ghafla kasimu kake kanaita,.. Kuangalia jina alikuwa ni mke wake wa kijijini ndio alikuwa akimpigia simu

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"haloo mama watoto habari yako"

Kijana chidi alimsalimia mke wake kwa furaha na kuonekana hana hofu ya maisha na karidhika na hali alionayo,..

"huku sio salama mume wangu"

"nini tena salma mke wangu"

"mama anaumwa, yaani hoi hoi na hapa tupo njiani kuelekea hospitalini"

"mungu wangu wee, salma nini tatizo kwa mama"

"jana tulikuwa shambani, hivyo ndio vikamuanza"

"salma mke wangu,… Huku niliko mwenzio hali ni mbaya, nitafanyeje"

Chidi alilalamika sana huku machozi yakimtoka kisiri siri, mana matatizo humjia wakati hali yake sio nzuri…

Chidi alikata simu kwa hasira kitendo kilichowashtua jamaa zake

"oyaa chidi mbona kilio tena, kuna msiba nini"

"hapana, ni matatizo tu ya maisha"

"tuambie bwana"

"aahh Kiukweli ni kwamba mama yangu anaumwa sana, na mimi ndio nategemewa kitoa pesa ya matibabu"

"ooohhh pole sana jamaa yangu"

"oyaaa, tumchangieni mshkaji atume home bimkubwa apone"

Aliongea jamaa mmoja huku wenzake wakiipokea kwa shangwe kana kwamba walikubaliana na hilo,..

"ndio… Tumchangieni bimkubwa apone"

"ndio… Ndioo.. Ndioo"

"oya chidi… Kesho tunakupa chochote utume home au sio mshkaji wangu"

"daahh nitawashkuru sana jamaa zangu"

Tukija huku kijijini katika familia ya kijana chidi, ambao wote walikuwa wapo hodpitalini, kweli mama wa kijana chidi alikuwa akiumwa sana,… Tena alikuwa kaekewa mpaka hewa ya mashine na madripu kama matatu hivi,..

Salma alikuwa nje akitafakari nini cha kufanya,. Lakini alipokuwa akifikiria mengi ghafla alipata wazo na kufurahia wazo lake

"yes, kule kwa yule tajiri tunamdai elfu 20, ngoja nikaichukue angalau itusukume kwa dawa"

Alijiongelea mwenyewe kimoyomoyo huku akichukuwa usafiri wa toyo kuelekea kule kwa yule tajiri wao ambae ndio wanamlimiaga mashamba yake,.. Hivyo jana walilima nusu heka, lakini pesa hawakupewa kwasababu tajiri hakufika shambani…

Salma alifika nyumbani kwa tajiri huyo na kuingia mpaka ndani, na kumkuta tajiri huyo kaka kwenye sofa hapo sebuleni,

"shkamoo baba"

Salma alimsalimia mzee huyo kwa heshma kubwa huku akiinama chini,.. Kuashiria heshima ya hali ya juu

"marahaba mama ujambo"

"sijambo…."

"vipi leo mmemaliza mapema sana ee"

"hapana baba leo hatujaenda, mama anaumwa"

"oohhhh poleni sana"

"ahsante… Ila baba jana, tulienda ila hatujapewa kiasi chetu"

"haaaaaa,…. Huyu mtoto mshenzi sana kwanini hajawapa"

"hakuja jana"

"aaahhhhhh ok, jana nilimtuma ndio mana hajaja… Ebu gonga pale yupo akupatie pesa yako"

"sawa baba ahsante"

"haya mama karibu tena"

"haya baba"

Salma hakutaka kupoteza muda aligonga katika mlango wa kijana huyo na kufunguliwa,..

"waaoooo salma mambo"

"safi tu"

Salma alikuwa anaogopa kuingia mana ni chumba cha mtoto wa kiume, hivyo aliogopa kuingia ndani

"karibu ndani"

"ah ah, nimekuja kuchukuwa ile pesa ya jana"

"salma,.. Please naomba uingie japo kidogo tu"

"hapana naomba niwahi hospitali bwana mama anaumwa"

"ooohhh shit, pole sana salma,."

"ahsante…. Nipe basi"

Sasa wakati salma anasubiria pesa na wakati huo huyo kijana Jackson alienda kwenye suruali yake na kutoa pochi huku akijisemea kuwa

"yes, hapa ndio pakumpatia, miezi mitano mizima namaliza soli tuu afu simpati, sasa leo lazima akubali pesa yangu, na hapa ni kumuongeza ili akalipe huko hospitali"

Aliongea kijana Jackson huku akihesabu wekundu kama watano hivi na wekundu wawili kama malipo ya kulima…

"ok… Njoo uchukue"

Jackson alifanya ujanja ujanja mpaka salma akakubali kuingia ndani,.. Na kupokea pesa kiasi cha shilingi elfu 20,..ile anataka tu kuondoka akashikwa mkono na kuvutwa,…

"salma, kwanini unashindwa kunifikiria mwenzio,.. Yaani kwa jinsi ninavyokupenda, nipo tayari kumuuguza mama yako"

"Jackson, mimi nina mtoto bwana niache"

Salma alijitetea kwa hilo ili Jackson amuache, lakini Jackson hakuwa akielewa kitu chochote,… Kwani muonekano wa salma huezi jua kama ana mtoto, yaani bado kabinti kadogo na ni mlaini mno,

"ok, chukuwa basi hii elfu 50 fanya mpango mama yako apone"

Salma alikuwa anasita kuipokea pesa hio, lakini kabla hajapokea alikumbuka mateso anayoyapata mama yake na chidi,

"bila pesa huyu mama atakufa, na mkileta mchezo nitayatoa haya madripu ya maji, Na hii hewa safi… Hapa sio kanisani bila pesa atakufa mtu hapa"

Salma alipokumbuka maneno ya dokta, Aliinyakuwa ile pesa na kutaka kukimbia ili awahi kule hospitali, lakini alishikwa mkono na kuvutiwa kifuani,…

"salma, kwani mimi sio mwanaume"

"Jackson, please naomba niwahi hospitalini"

Aliongea wakati huo tayati keshalala kifuani kwa Jackson, na sio kuwa anapenda ila ni ukosefu wa pesa,..

"salma… Naomba jioni uje tulale huku kwangu"

Salma hapendi kufanya hivyo lakini kila akikumbuka kule hospitalini, basi anajikuta analainika kwa Jackson,…

"ok, niachie basi niende"

"kuenda utaenda,… So please naomba hata deda niamini kama upo tayari kuwa nami"

Salma alitoa macho, huku akishtuka kwa maneno hayo…

"hapana staki"

"kama hutaki nipe pesa zangu, tena nipe mpaka hio elfu 20"

"Jackson jamani"

"nipe.. Afu toka zako"

Salma alishtuka… Kumbe yalikuwa ni mawazo baaya ya pale alipoombwa denda, yaani kufikiri kabla ya kutenda..

"salma, nipe denda basiiii jamani"

Tukija huku mjini kwa bwana Ibrahim akiwa yupo katika baa kubwa zile za watu wenye pesa,…

"zungusha kama tulivyo"

Alikuwa ni Ibrahim akiwa na kundi la watu ambao ni rafiki zake,..

"baada ya kuzungusha… Fanya kama unaleta kilo tano ya nyama ya ng'ombe"

Alikuwa na kikosi cha watu kama 15 hivi aliokuwa akiwapa lanchi time…

Lakini Ibrahim alionekana yupo vizuri kimaisha kwani alikuwa kavalia suti ya bri mbaya, tena hata hao marafiki zake pia walikuwa wamevalia suti za bei…

"mbona huleti midompo… Lete,.. Amarula kama tano hivi"

Ibrahim alikuwa akiagiza vile vinywaji vya bei mbaya,… Basi ilikuwa ni shangwe mtindo mmoja kati ya Ibrahim na rafiki zake,… Ghafla simu yake inaita, na alikuwa ana simu ya ghalama kubwa na sijui Ibrahim aliingia mlango gani na kuyapata mafanikio ndani ya miezi 6 tu

"haloo"

Aliongea huku akinywa kinywaji cha bei ghali wanaiita FRENCH WINE… Au unaweza kuiita RED WINE..

"haloo broo,.aahhh. Nilikuwa nakutaarifu tu kuwa mama anaumwa kule nyumbani"

Kumbe aliopiga alikuwa ni kijana chidi

"sasa akiumwa we wataka mi nifanyeje, au katika kukua kwako ulishawahi kuniona nikiwa dokta"

"ok samaani kwa hilo kaka"

"alafu upo wapi"

"nipo kijijini"

Alimdanganya kaka yake, kiwa yupo kijijini lakini sio kweli, chidi yupo mjini..

"ok, nenda shambani kalime vibarua umseidie mama… Mimi sina kitu hali ni mbaya"

"ok poa broo"

Chidi kumbe hakuchoka kumtafuta kaka yake hata kama alimfukuza, lakini ni ndugu yake tu

"boss kuna nini"

Heeeeeeee kumbe Ibrahim ni boss,.. Mana hata hawa rafiki zake kumbe sio. Marafiki zake bali ni wafanykazi wake..

PATAMU APO

Tukija huku kijijini kwa salma akiwa bado anajishauri kumpa Jackson denda,… Jackson alianza kumshika shika salma katika kifua chake, salma alikuwa hapendi kufanya hivyo,..

"No , No, Jackson usinishike huko"

"salma, nakupenda.. "

Aliongea Jackson huku akiendelea na zoezi la kumshika shika salma kifua chake,..

"ok, ok, ok, Jackson.. Wait, nitakuja jioni but for now naomba tuache niwahi nyumbani"

Wakati huo Jackson tayari hisia zimeshampanda kwa kile kitendo cha kumshika shika salma matiti yake,.. Zakaria wa Jackson alikuwa akimgusa gusa salma kwenye mapaja yake huku salma akiukwepa usimguse, mana unamsisimua kimapenzi pindi unapomgusa,… Jackson alimshika kisawa sawa salma na kutaka kumnyonya denda,.. Hata hali ya salma nayo ilionekana kubadilika baada ya mishiko alioshikwa na Jackson..

Ghafla salma anaachia mpaka zile pesa zikadondoka chini kana kwamba keshalegea kwa kushikwa shikwa na Jackson…..

Kiukweli pesa ni mbaya sana katika maisha, nia ya salma ni kumdanganya Jackson kuwa anampenda, lakini asimpe tunda adimu, lakini kaa ukijua kuwa mapenzi hayajaribiwi,.. Hivyo salma aliposhikwa shikwa tu kalegea na kuachia mpaka pesa aliopewa

"No, No, No Jackson… Wacha niwahi hospitali nitakuja"

"salma… Please kimoja tu,.. Tena kama pesa ni kidogo wacha nikuongeze"

Sasa ile Jackson anaenda kwenye suruali yake, huku salma katoka mbio,.. Na kwenda kituo cha toyo, na kuondoka zake kwenda hospitali kuwahisha pesa… Jackson kugeuka haoni mtu wala pesa ilioachwa,..

Tukija huku mjini kwa Ibrahim aliokuwa akila raha zake pamoja na wafanyakazi wake,

"boss kuna nini"

"aahhh kuna fala mmoja anaomba pesa kijinga jinga, hajui kama tuna kazi nazo"

"ahahahaha Boss bwana… "

Wafanyakazi leo walikuja kupewa chakula cha mchana huku wakijiskia furaha ya hali ya juu,…

Iliwachukuwa zaidi ya lisaa hapo huku wakimalizia vinywaji vyao..

Ghafla weita anakuja na bili ndefu kweli,

"kaka bili yako hii hapa"

"hebu nione"

Kuangalia, aahhh kumbe kwake ilikuwa ni pesa ndogo

"haaaaaaaa mi nilijua imefika milioni kumbe ni laki tatu tu…jamani ongezeni tena"

Aliongea Ibrahim huku akiwa na furaha ya maisha alionayo,..

Kiukweli Ibrahim alionekana kuwa na pesa za kumwaga na sijui aliingia kwenye shimo gani na kupata utajiri alionao mpaka kumwaga pesa huku wazazi wake wanalia njaaa

Tukija huku kwa kijana chidi aliokuwa hatulii kila mara anapiga simu nyumbani, kujua hali ya wazazi wake wanaendeleaje, yaani alikuwa hana hata raha hapo kijiweni, na alianza kujitenga mana muda wote alikuwa akiiwazia familia yake,.

Maisha kwa upande wake yalimwendea kombo sana na mpaka sasa yupo na mkokoteni wake,..

"chidi jamaa yangu, usiwaze namna hio, yote ni maisha na bi mkubwa atapona tu"

"jamaa angu we acha yu, sina hata raha Kiukweli, mana mimi ndio tegemeo na wazazi wangu nawapenda sana"

"usijali, sisi kesho tutakupiga tafu, tujipige na chochote tulichonacho ilimradi tu bi mkubwa apone, achana na mawazo hayo"

Marafiki wa kijana chidi ambao nao ni wasukuma mikokoteni, walikuwa wakimfariji rafiki yao,… Marafiki hao wapatao watano waliokuwa karibu na kijana chidi, miezi sita yote wapo pamoja mpaka leo,..

Tukija huku kijijini kwa salma akiwa ndio anafika hospitali na kuingia kwa spidi kali,

"mama…. "

Aliita salma huku akimshika shika mama mkwe wake, kana kwamba anampenda sana mama huyo,..

"dokta… Mama anaendeleaje"

Salma alimuuliza dokta huku akiwa ana furaha mana anayo pesa

"mama yako anaendelea vizuri tu, ila mnatakiwa mlipe kabisa"

"ok sawa, ni kiasi gani"

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
49 Muuza Chips Simulizi Z49
Jiunge kwenye mazungumzo (2)
Maoni 2
  1. 28 Mei 2023, 12:58
    Profile
    Bila jina
    Said: Mbn kwenye app simulizi ya mama mwenye nyumb hakuna ??
    Mbn kwenye app simulizi ya mama mwenye nyumb hakuna ??
    • Zephiline F Ezekiel
      31 Mei 2023, 11:16
      Profile
      Zephiline F Ezekiel
      Zephiline F Ezekiel
      Said: Sababu, ulichelewa kuipata app, kuanzia sasa na kuendelea simulizi zote zinakuwa zinabaki kwa ajili ya baadae
      hiyo isome hapa hapa kwenye blog
      Sababu, ulichelewa kuipata app, kuanzia sasa na kuendelea simulizi zote zinakuwa zinabaki kwa ajili ya baadae
      hiyo isome hapa hapa kwenye blog