MUUZA CHIPS (35)

Sehemu ya Thelathini na Tano, mama huyo, alianza kuingiwa na, aliemuuliza hivyo laaa, aligeuka na kuangalia, alitoa macho huku, au nakufananishakijana
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (35)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA THELATHINI NA TANO ILIPOISHIA... Salma alimuuliza dokta huku akiwa ana furaha mana anayo pesa "mama yako anaendelea vizuri tu, ila mnatakiwa mlipe kabisa" "ok sawa, ni kiasi gani" KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... "hospitali inawadai kiasi cha shilingi laki moja,.. Na ukishatoa hio, muandae pesa ya dawa tu, ila matibabu na malazi ni hio hio lakimi moja" "mungu wangu weeee dokta tupunguzie" "hapana,… Na kama hamuezi kulipa mbebeni mama enu muondoke" Salma pale alipo ana kiasi cha shilingi elfu 70, elfu 20 ya kulima jana, na elfu 50 kahongwa na Jackson, hivyo hapo bado haijafika laki kama inavyotakiwa hapo hospitalini… "ok sawa, basi natoa hii elfu 70, naleta elfu 30, lakini naomba mama aendelee kupata huduma" "kwa hapa hakuna shida, we kalete ki…