Notifications
  • MY DIARY (31)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MOJATULIPOISHIA...“marehemu pia alinieleza kuwa ana miliki duka la vitu vya urembo wa kike ambalo pia Leah analisimamia ila hilo apewe mdogo wake Marry ambaye yupo hapa. Mama mdogo huyo mara baada ya kuyasema hayo alikaa zake chini. Baba mdogo ambaye hakurizika na maelezo hayo alisimama na kusema “kwa hiyo kama marehemu alijua kuwa atakufa hivi karibuni kwani nini hakufuata taratibu za kisheria za kuandika wosia na kurithisha mali.IKIWA UNASOMA…
  • MY DIARY (30)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINITULIPOISHIA...Baada ya hapo Nnilimwomba mama mdogo ajikaze na kuwatarifu ndugu wengine habari hizo za msiba.Tulisaidiana hivyo hivyo maana sio siri kila mmoja alikuwa na uchungu sana kutokana na mazingira ya kifo hicho. Habari zilizidi kusambaa kwa kasi na majirani walianza kukusanyika hapo kwa mama mdogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Msiba ni msiba tu na ukitaka kujua binadamu…
  • MY DIARY (29)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TISATULIPOISHIA...Hapo sasa nikazidi kuchanganyikiwa ikabidi nimuulize mama huyo alikuwa akifanyia shughuli zake za kujipatia kipato sehemu gani.? Yule dada akanambia kuwa anafanyia soko la ndizi huko Korongoni. Sikuwa na jinsi nilimuomba anipeleke lakini na yeye alisita sita kwa madai kuwa alikuwa na kazi nyingi za kufanya na bado anatakiwa ampeleke mtoto shule.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (28)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NANETULIPOISHIA...Sisi tumesomea mambo haya bhana waliendela kuzungumza wale walinzi huku wakishuka ngazi kwa polepole. Hapo na mimi nikawa nimejifunza kitu kuwa kumbe unaweza kuingia na mtu guest akakuzuru kisha akaondoka zake.Sasa sijui kwenye zile guest zetu za uswahilini kama wanalijua hili.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilala japo usingizi ulikuwa hautaki kuja kwa…
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…

MUUZA CHIPS (35)

Sehemu ya Thelathini na Tano, mama huyo, alianza kuingiwa na, aliemuuliza hivyo laaa, aligeuka na kuangalia, alitoa macho huku, au nakufananishakijana
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA THELATHINI NA TANO
ILIPOISHIA...
Salma alimuuliza dokta huku akiwa ana furaha mana anayo pesa

"mama yako anaendelea vizuri tu, ila mnatakiwa mlipe kabisa"

"ok sawa, ni kiasi gani"

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"hospitali inawadai kiasi cha shilingi laki moja,.. Na ukishatoa hio, muandae pesa ya dawa tu, ila matibabu na malazi ni hio hio lakimi moja"

"mungu wangu weeee dokta tupunguzie"

"hapana,… Na kama hamuezi kulipa mbebeni mama enu muondoke"

Salma pale alipo ana kiasi cha shilingi elfu 70, elfu 20 ya kulima jana, na elfu 50 kahongwa na Jackson, hivyo hapo bado haijafika laki kama inavyotakiwa hapo hospitalini…

"ok sawa, basi natoa hii elfu 70, naleta elfu 30, lakini naomba mama aendelee kupata huduma"

"kwa hapa hakuna shida, we kalete kilichobaki"

Salma alitoka tena ila haikujulikana alikwenda wapi,.. Lakini alionekana kuingia dukani na kuchukuwa pakiti tatu za kondom,..

"haina budi, nimridhish Jackson, mana bado nahitaji pesa tena"

Aliongea salma huku akienda nyumbani kwa akina Jackson, mana hakuna jinsi, kujitahidi kukimbia lakini imeshindikana, anajikuta anarudi kule kule alipotoka,… Jackson alipomuona kwa kupitia dirishani alianza kutandika kitanda chake vizuri tena shuka jeupeee, mana salma kaja mwenyewe,.. Tena kaandaa na zana zake za kazi….

"karibu salma"

"ngoja kwanza basi"

"jamani salma mbona mkali"

"Jackson,… Unajua ile pesa haijatosha"

"kwaio watakaje,… Na imepelea kiasi gani,. Ni elfu 50 au"

Salma alitaka kusema kiasi kinachotakiwa lakini Jackson akajichanganya mwenye na kuvuta elfu 50 na kumpa,… Mana familia hio ndio familia ya kwanza tajiri hapo kijijini, baba yake ana mashamba mengi sana na mifugo minhi sana, hivyo kwao pesa ni njenje tu,…

Salma alipokea pesa hio na kuifungia kwenye kanga, huku akitaka tena kukimbia lakini safari hii hakupewa nafasi kama hio, na hata hivyo kwakua alijiandaa kufanya hivyo.. Kwahio hakuwa na budi kukubali,…..

"Jackson, please naomba tutumie kondom please"

"aahhh salma,… Kwa utamu ulionao mie nitumie kondom kweli,.. Mi staki, na kama ni pesa nitakuongeza lakini hii kondom tupa kule"

Jackson aliichukuwa ile kondom na kuitupa nje… Salma hakuwa na lakusema alikuwa kimya tu

BAADA YA SIKU HIO KUPITA

Na leo ni siku nyingine tena tukiwa mjini, tunamwona kijana chidi akiwa anapewa pesa na rafiki zake kama alivyoahidiwa kuwa watamchangia, na kweli alikuwa kikabidhiwa kiasi cha elfu 50,.. Kiasi hicho kwa maisha yao ni kikubwa mno, kijana chidi bila kuchelewa anakimbia M-pesa kwenda kuituma pesa hio,…

"Oya broo naomba tutume hii pesa"

Alimwambia huyo mtu wa M-pesa huku akimpatia pesa hio,..

"ok taja namba"

Chidi aliitaja namba ya kutumia hio pesa, mara moja pesa ikatumwa nyumbani,..

"tayari nimeshatuma, imeenda kwa Elbariki sanga"

Aliongea huyo m-pesa kitu ambacho kilimshtua sana kijana chidi,..

"Elbariki Sanga???… Hapana huyo mtu haitwi hivyo"

"ndugu, meseji si hii hapa"

"hapana bwana we umekosea namba"

"basi wewe mwenyewe ndio umekosea namba, mana ulizitaja mwenyewe"

"ebu fanya kitu basi"

Chidi alizidi kuchanganyikiwa zaidi, mana pesa hio inahitajika halaka,..

"labda tumpigie huyo Elbariki"

"sawa ndugu fanya hivyo basi"

M-pesa huyo alipiga simu kwa huyo jamaa, lakini simu haikuwa ikipatikana,… Alijaribu kupiga katika mtandao na kuambiwa kuwa namba hio haitumiki muda mrefu, hivyo hata taarifa zake hazipo,… Chidi alishika kichwa huku akiondoka taratibu mana ndio tayari pesa imeshapotea,…

Chidi alishukwa na machozi mfululizo huku akiwaza atapata wapi pesa ya kutuma huko nyumbani kwao ambayo ndio ilikuwa ya matibabu ya mama yake,… Chidi alinyanyua simu na kumpigia mke wake,..

Tukija huku kijijini, Wakati huo mkewe tayari keshananiii na Jackson kitambo sana,.. Na alikuwa hospitali, huku akiwa na furaha ya kuwa hadaiwi kitu hapo hospitali, tena Jackson alimwongeza pesa kwakuwa hawakutumia kondom,

Ghafla simu yake inaita, kucheki jina ni la mumewe,..

"haloo mume wangu"

"ee vp mke wangu, hali ya mama inaendeleaje"

"aahhh tunashkuru mungu, kidogo afadhali"

"vp pesa umetoa wapi salma"

"tumekopa kwa yule tajiri tunaemlimia, afu tutaenda kulima taratibu bila malipo"

Salma alimdanganya mume wake, huku nafsi ikimsuta kwa kitendo alichokifanya,.

"poleni sana mke wangu"

"ahsante, ila nawe unaendeleaje huko"

"mke wangu, we acha tu, huezi amini nilipata pesa kidogo niwatumie sasa hivi,.. Lakini nilikosea namba hivyo pesa imepotea mke wangu"

"jamani baba king,.. Kwanini lakini"

"tumuombe Mungu mke wangu, naomba uwe karibu na mama"

"usijali… Vp shem yupo"

"aahhh huyo mwehu wala ata staki kumsikia"

"ok. Poa nakutakia siku njema mume wangu"

"nawe pia mke wangu"

Salma akikumbuka kitendo cha jana, yaani anakosa raha kabisa ya kuendelea kuishi, mana kamsaliti mume wake…

Tukija huku mjini,.. Tunamwona bwana Ibrahim akiwa na gari ya thamani kubwa, yaani gari ya pesa nyingi,.. Kiukweli Ibrahim alitrmbelewa na pesa si utani,..

Ibrahim aliingia katika gari hio lakini ndani ya gari hio kulikuwa na wanawake wawili, waliokuwa wakimshika shika kila kona ya mwili wake,..

Ibrahim aliwasha gari na kuelekea kwenye hoteli za gharama na kuingia na mabinti hao, Kiukweli kijana Ibrahim ameharibikiwa sana kimaisha.. Kitendo cha kutumia wanawake wawili kwa pamoja, ilikuwa ni ishara tosha kuwa Ibrahim anachezea pesa ingawa familia yake inakufa njaa na magonjwa kedekede,

"nyinyi watoto wa kike ku*** zenu ni tamu sana mnataka kiasi gani"

Aliwauliza wadada hao huku akitoa burungutu la pesa,..

"laki tano mi inanitosha tu"

"hata mimi laki tano inatosha"

Wadada wote walitaka laki tano kila mmoja na Ibrahim hakuwaza hilo, bali alitoa kibunda bila kuhesabu na kuwatupia Wadada hao….

Tukija huku kwa kijana chidi aliokuwa akilia njaa mana pesa yote yakwake aliiongeza kwenye ile pesa ili angalau iende nyingi nyingi, lakini kwa bahati mbaya ikaenda kwenye namba nyingine na kushindikana kutolewa,…

Chidi akiwa katulia katika mkokoteni wake, akisubiri kazi na wakati huo ana maumivu ya kuipoteza pesa iliotakiwa kuuguza kule nyumbani,…

Ghafla akiwa hapo anashangaa anaitwa na jamaa mmoja hivi kuwa kuna kazi ya kwenda kuifanya pale stendi, yaani kuna mzigo wa kubeba hapo stendi.. Hivyo chidi kwa vile ana njaa na kuchoka, ukichanganya na machungu ya pesa iliopotea, huku akifikiria mama yake anaumwa,.. Hakuikataa kazi, chidi alisukuma mkokoteni wake mpaka stendi na kupakia mizigo, ambayo taxi isingeweza kuibeba,… Ni mizigo ya mwanamke mmoja hivi,..

Basi chidi alianza kuipakia baada ya kumaliza wakapata na huyo mama bei ya kupeleka mizigo hio… Chidi alikuwa akibembea na mkokoteni wake na kutaka kuondoka,… Lakini ile anaondoka tu alishangaa kuskia jina lake likiitwa na wakati hajulikani sana hapo mjini,

"chidi Jamani, ni wewe au nakufananisha"

Kijana chidi aligeuka na kuangalia huyo mtu aliemuuliza hivyo… Laaa haulaaaa chidi alitoa macho huku moyo wake ukifurahi,… Lakini papo hapo alianza kuingiwa na hofu juu ya mtu aliomuona..

Wahenga walisema kuwa, ukiona kiza kikubwa basi ujue nuru yaja, msemo huo sii wa uongo bali wameupatia sana, katika maisha ya kijana chidi alionekana kuteseka sana huku kaka yake akila maisha kwa utajiri alionao, Ibrahim amekuwa mtu wa kumwaga pesa sio baa wala sio kwa wanawake,.. Kijana chidi na maisha yake ya mkokoteni ili kujipati kipato katika maisha yake,.. Kijana chidi alilizika nanmaisha hayo na kuwa mtu mwenye furaha kuliko hata tajiri mwenye pesa zake…. HAKUNA MAISHA MAZURI KAMA HUNA AMANI… LAKINI KUMBUKA KUNA MATAJIRI WENGI NA WENGINE HAWALALI, KWASABABU PESA ZAO ZIMEKATA KONA NYINGI,.. YAANI HAZIJANYOOKA,.. USIJUTE KUWA MASKINI HATA KIDOGO KWANI IPO SIKU NAWE UTALALA KWA RAHA,… USIPENDE SHOTKATI YA KUPATA PESA, UTAUMBUKA,.. WAAFRIKA HATUFANIKIWI MAPEMA KWASABABU HATURIDHIKI… UKIPATA ELFU 10 SASA HIVI, UTATAMANI UPATE NA NYINGINE, SASA HUONI HAPO UNAMLAZIMISHA MUNGU AKUPE RIDHIKI NYINGINE.. RIDHIKA NA KILE KIDOGO,.. MWENYEZI MUNGU ATAJUA, KUMBE MJA WANGU ANARIDHIKA NA KIDOGO, BASI NGOJA NIMPE KIKUBWA… LAKINI SIO SISI WAAFRIKA… HUA HATURIDHIKI NG'OOO

Kijana chidi yeye amepata pesa kubwa sana kwake ni elfu saba tu, yaani hio kwake ni pesa kubwa mno, na karidhika kwa kupata pesa hio na ndio mana mpaka leo bado ana kazi hio,.. Katika maisha ukifanya kazi huku unanung'unika sio vizuri na hata mungu hapendi… Hata kama kuna milango anataka kuifungua, hatoifungua kwasababu una chuki ya kupata pesa kidogo…

Sasa leo kijana chidi amepata dili zuri la kubeba mizigo ya mama mmoja hivi alioonekana kuwa nazo, mama huyo alikuja na gari yake binafsi, lakini kutokana na uwingi wa mizigo yake hakuweza kuipakia katika gari yake hio binafsi, hivyo akazipakia katika basi kisha akawa anafuata basi kwa nyuma, kutoka huko alipotoka,..

Sasa mizigo ilipofika stendi hapo jijini Arusha,.. Alitumwa mfanyakazi aje kumpokea mama huyo,.. Mama huyo alipomwona mfanyakazi wake wa makamo hivi mana sio mschana ni mkubwa kiasi,.. Mama huyo alimwagiza mfanyakazi huyo kuwa atafute mtu wa mkokoteni abebe hio mizigo mpaka nyumbani maana taxi haiwezi kuibeba,. Mama huyo alipoacha maagizo hayo, alimwambia mfanyakazi huyo wa kike kuwa anaenda hapo saluni kuna mtu anaenda kumuangalia, hivyo chidi alipokuja na mkokoteni wake huku akijua kuwa mtu aliepatana nae ndio tajiri, kumbe sie, bali ni mfanyakazi wa ndani ndio aliopatana nae bei ya kuupeleka huo mzigo,.. Sasa chidi baa ya kupakia mizigo yote na kuanza kusukumana na mkokoteni huo.. Ndio akatokea huyo mama tajiri mwenyewe mwenye mzigo,.. Mama huyo alimwangalia sana kijana chidi kama vile alikuwa anamjua hivi, mama huyo alibaki kumtolea chidi macho, ila chidi bado hajamuona mama huyo kama alikuwa anamuangalia,..

Mama ilibidi avunje ukimya na kumuita kijana chidi…

"chidi Jamani, ni wewe au nakufananisha"

Kijana chidi aligeuka na kuangalia huyo mtu aliemuuliza hivyo… Laaa haulaaaa chidi alitoa macho huku moyo wake ukifurahi,… Lakini papo hapo alianza kuingiwa na hofu juu ya mtu aliomuona..

Lakini kabla chidi hajaongea kitu, mama alishuka katika gari na kumkumbatia kijana chidi, chidi alikuwa akitokwa na jasho, nguo zake ni chafu alikuwa akinuka kwa nguo na kazi anayofanya,.. Lakini mama huyo hakujali uchafu wa chidi,..

"chidi jamani, ulikiwa wapi, na ni nini kilitokea mbona uko hivi na kazi hii"

Aliongea mama huyo ambaye ndio mama yake na sarah,.. Leo chidi kakutana na mama sarah, yule jimama lake liliompangishia chumba na kumnunulia vitu vya ndani.. Sasa chidi alikuwa na hofu kwasababu mama huyo angemwona chidi ni tapeli, kwa kununuliwa kila kitu afu kaingia mitini, yaani mama angemhisi chidi ni mwizi mwizi, lakini kumbe hofu yake ilikuwa ni hewa, mama alioza kwa chidi vibaya mno,

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
50 Muuza Chips Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni