MUUZA CHIPS (36)

Sehemu ya Thelathini na Sita, mke wangu ila, na mke wake, au shemeji au, au umezaliwa peke, hata ndugu nipate, hata wifi yangu, huna hata ndugu
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (36)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA THELATHINI NA SITA ILIPOISHIA... Leo chidi kakutana na mama sarah, yule jimama lake liliompangishia chumba na kumnunulia vitu vya ndani.. Sasa chidi alikuwa na hofu kwasababu mama huyo angemwona chidi ni tapeli, kwa kununuliwa kila kitu afu kaingia mitini, yaani mama angemhisi chidi ni mwizi mwizi, lakini kumbe hofu yake ilikuwa ni hewa, mama alioza kwa chidi vibaya mno, KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... "mamy ni stori ndefu sana" "ok mi staki kuijua,….. We nemaa" "abeee dada" "tafuta mtu mwingine asukume hilo toroli lakini sio huyu sawa" "sawa dada" Mama huyo alimchukuwa chidi na kumwingiza katika gari, haikujulikana wanaenda wapi… Tukija huku hoteli kubwa ambayo inamilikiwa na mama yake miriam , na miriam mwenyewe,… Sasa miriam na rafiki yake sarah walikuwa…