Notifications
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…

MUUZA CHIPS (36)

Sehemu ya Thelathini na Sita, mke wangu ila, na mke wake, au shemeji au, au umezaliwa peke, hata ndugu nipate, hata wifi yangu, huna hata ndugu
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA THELATHINI NA SITA
ILIPOISHIA...
Leo chidi kakutana na mama sarah, yule jimama lake liliompangishia chumba na kumnunulia vitu vya ndani.. Sasa chidi alikuwa na hofu kwasababu mama huyo angemwona chidi ni tapeli, kwa kununuliwa kila kitu afu kaingia mitini, yaani mama angemhisi chidi ni mwizi mwizi, lakini kumbe hofu yake ilikuwa ni hewa, mama alioza kwa chidi vibaya mno,

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"mamy ni stori ndefu sana"

"ok mi staki kuijua,….. We nemaa"

"abeee dada"

"tafuta mtu mwingine asukume hilo toroli lakini sio huyu sawa"

"sawa dada"

Mama huyo alimchukuwa chidi na kumwingiza katika gari, haikujulikana wanaenda wapi…

Tukija huku hoteli kubwa ambayo inamilikiwa na mama yake miriam, na miriam mwenyewe,… Sasa miriam na rafiki yake sarah walikuwa ofisini wakipiga stori za hapa na pale

"afu miri mi nataka kwenda kazini kwangu"

"heeeee mbona unawahi hivyo sarah"

"shost si unajua leo mama anakuja"

"heeee mnona kawahi kurudi hivyo"

"we acha tu mi mwenyewe nimechukia kurudi kwake"

"mmmhh huko kuchukia kwako kuna kitu hapo"

"wala tu… Yaani nilitaka akiondoka afu nikutane na chidi"

"chidi??.. Chidi yupi uyo tena"

"heeeeee.. Si yule chidi wangu wa zamani"

"boooooo, yaani mpaka leo bado unamkumbuka tu"

"sio leo tu,.. Mpaka kesho"

"yaani wewe na huyo jambazi lako mmmhh, hivi huyo jambazi ni hensam kiasi gani"

"miri utaniudhi sasa"

"ok tuyaache hayo, lakini wewe ni wa tofauti sana,.. Yaani miezi zaidi ya sita bado humsahau tu"

"siwezi…"

"ivi nikuulize kitu sarah"

"uliza"

"ivi ulishawahi kulala nae"

"bado"

"basi we mjinga"

"mjinga ni wewe jike dume"

Sarah na miriam walikuwa wakitambiana japo miriam yeye hua hapendi wanaume,

"sikiliza shost.. Mie mpenzi wangu bado hajazaliwa"

"nyoooo ndio mana ile tabia huachi"

"nyooo mnona we huachi"

"sasa si nimemkosa chidi wangu"

"Ahahahahaha eti chidi wako, angekuwa wako si ungelikuwa nae mpaka leo"

"aahhh bwana eee niache niwahi kazini"

Sarah aliondoka na kupanda gari yake kisha huyoo akaondoka zake,… Hao ni watoto wa matajiri waliokuwa wakitambiana kwa kuwepp kwa wapenzi wao

"lakini ni kweli, hii tabia tulionayo na sarah, ni mbaya sana, wacha nami niufungue moyo wangu"

Alikuwa ni miriam akijiongelea mwenyewe kimoyomoyo, huku akitoka nje kwa kuendelea na kazi zake za umeneja katika hoteli yao..

Tukija huku kwa Bwana Ibrahim aliokuwa anaingia nyumbani kwake,.. Jamani jamani Ibrahim ana mjengo mkubwa afu ni mzuri kupita kiasi, yaani hapo ndani utafikiri ni kwa rais fulani hivi, kumbe ni tajiri wa kawaida sana,.. Ibrahim aliingia ndani na kupaki gari sehemu maalum ya kupakia magari, Yaani kwenye hio paking yenyewe kuna magari zaidi ya manne na yote ni ya bei mbaya tupu… Sasa ile anashuka tu, akatokea mwanamke aliokuwa anamkimbilia huku Ibrahim akimwita

"waaooo my wife Material"

"jamani mume wangu pole na kazi"

"ahsante sana mke wangu, na wewe pole na kazi za hapa nyumbani"

"ahsante…. Yaani leo nimekumisi ghafla tu"

"mimi je, yaani hata ofisini sikai kwa amani kisa wewe"

Aliongea hivyo Ibrahim huku akimshika mkewe kidevu, lakini swali linakuja hivi je huyu mke wa Ibrahim ni yule Rehema au ni mwingine…

PATAMU APO

Tukija huku kwa kijana chidi… Laa haulaaa kijana chidi sio yule tunaemjua tena, kijana chidi keshabadirika kitambo sana, na sasa yupo saluni anafanyiwa masaji, yale mambo ya sclub sclub mambo ya Angel Face sjui nini huko, huku vinywele vyake vikipakwa sjui nini huko,.. Kumbe mama alipomchukuwa pale stendi alimpeleka chidi katika hoteli moja hivi iliopo karibu na stendi, chidi alienda kuoga huku mama akaingia katika duka la nguo na kuvuta pamba za maana za siku hio kwanza,.. Wakati huo chidi yupo bafuni akaletewa kila kitu mpaka boxer mpyaaa, raba mpyaa, vest mpyaaa, tisheti mpyaaa, kofia mpyaaa, saa mpyaaa, mkanda mpyaaa, taulo lenyewe jipyaa, walet mpyaaa, sox mpyaaa, shati jipyaaa, suruali mpyaaa, kidani kipyaaa, cheni mpyaaa… Kila kitu kipyaaaaaaaaa, na hata chidi mwenyewe katoka akiwa mpyaaaaaaaaaaaaaaa… Mama hakuridhika na upya wa chidi wake, ndio akamchukuwa na kumpeleka salon.. Na ndio sasa hivi yupo salon anafanyiwa masaji ya mwili mzima,… Huku mama akimsubiria kidume kitoke kusagwa sagwa huko ndani na hao wadada wa masaji,…

Dakika kumi mbele kijana chidi alitoka akiwa mpyaaa,… Khaaaa yaani kazidi hata demu ana nafuu kwa kitu alichofanyiwa, yaani sijui kama chidi kapenda hali hio, mana uhensam umepitiliza kana kwamba usipoangalia vizuri unaweza kuona ni kademu mana hata ndevu hana.. Mama alipomuona alifurahi sana, sasa chidi kujiangalia kwenye kioo,.. Laaa haulaaa yaani ni kama mwanamke, vinywele vimekua vyeusi au kama vya Kiarabu,… Chidi alichukuwa taulo na kujifuta uso ili ile sclub itoke,.. Apo apo akachukiwa kofia na kuivaa ili kuificha ile nywele,

"chidi unafanya nini sasa, ivi hujui nimelipia gharama kubwa mpaka kuwa hivyo"

"mamy,… Mimi ni mtoto wa kiume, sitakiwi kuwa hivi"

"lakini ulikuwa mzuri chidi yaani nimependa mpaka raha yani"

"hapana mamy,. Nimezidi sana na sitaki nionekane hivyo, mimi ni mwanaume, urembo ukizidi sana nitaitwa nanihiii"

"aahhh basi nimekubali,… Mana hio hali ya unanihiii kama ungelikuwa nayo sidhani kam ningekutafuta,… Ila chidi we ni hensam sana yaani ulipotoka ndani kule mpaka nimekusahau kidume changu"

"nilikuaje"

"yaani hata mwanamke ana nafuu"

"umeona sasa eee,… Hicho ndio kitu sikipendi, sasa kama wewe tu ni mwanamke na umeniona kama mwanamke je huyo mwanaume atanionaje… Tena sijui nikajiburuze kwenye vumbi ili niwe sawa"

"utaniudhi sasa chidi"

Chidi alikigeukia tena kioo na kujiangali,.. Kidogo vilikuwa vimepungua kwasababu alijifuta na taulo bichi bichi hivyo sura ilionekana ya uhalisia lakini nywele alizificha na kofia…

"ok twenzetu"

"wacha nikupeleke kwako ukapumzike"

"sawa ila vipi kuhusu kazi"

Chidi aliuliza kuhusiana na kazi mana anajua mjini bila kazi wazungu wanasemaga ni "Nothing" Sasa chidi ajue mapema kama hana kazi airudie kazi yake ya mkokoteni

"usijali kuhusu kazi,… Afu ivi ile taaluma yako ya kupika chipsi vizuri si bado unayo au umesahau"

"heeeeeee ujuzi haupotei mama"

"basi kama ni hivyo we subiri kifuatacho utaona"

"eti eee"

"yes afu kesho nataka nikutoe shoping sawa"

"sawa"

Basi chidi alipanda gari la mama huyo huku mama akiwa dereva mwenyewe akimpeleka chidi nyumbani kwake, na ukumbuke kwamba mama huyo hua hajuagi nyumbani kwa chidi japokuwa nyumba hio yeye ndie mlipa kodi… Yaani mama huyo ndio kalipa kodi ya nyumba ya mwaka mzima… Sasa leo mama ndio anampeleka nyumbani kwake

Tukija huku kwa Ibrahim na mke wake, bado mke hatujamuona vizuri mana anaonekana ana heshima kiasi flani, na anajificha ficha, na kama ni Rehema je hio heshima kaitoa wapi,.. Ibrahim alitoka kuoga huku akikutana na mkewe mpaka kitandani,

"ngoja nikupake mafuta mume wangu"

Walikuwa wakigombaniana kupakana mafuta, huku wakiwa wana furaha mno,.. Lakini ukweli ni kwamba mke huyo sio rehema yule tunaemjua sisi, huyu ni mschana mwingine tofauti kabisa, sasa sijui Ibrahim kamuacha acha vipi yule rehema mana alikuwa kaoza mpaka hali ya kumaliza pesa kwake, kutokana na ile mimba feki,..

Ibrahim na mke wake walikuwa wakichezeana kitandani, na mkewe alikuwa na kanga moja na alikuwa ni mzuri kupita kiasi, hilo umbo sasa ndio ulisema, sijui ni Mhaya huyu, au atakuwa mbulu huyu, na kama sio mbulu sijui atakuwa nani, mana sura na umbo vyote kapewa huyu mwanamke,….. Basi Ibrahim alipakwa mafuta na mke wake, huku mke akiwa juu ya Ibrahim anamshika shika nywele zake, lakini mke wa Ibrahim alikuwa ana swali alilokuwa akitaka kumuuliza kijana Ibrahim au kaka yake na chidi

"Honey… Kuna swali nataka kukuuliza mume wangu"

"haaaaa we uliza tu kwani mpaka uniombe"

"eti, ivi wewe huna hata ndugu, nipate hata wifi yangu au shemeji… Au umezaliwa peke yako kwenye familia yenu"

Maisha ni hatua na maisha ni safari, kwa Bwana Ibrahim nadhani ni msemo ambao unaomhusu kwa namna moja ama nyingine, kwa sasa Ibrahim ana mke ambae anajali familia na vile vile pesa wanazo, na mke aliomuoa kabisa kwa ndoa kubwa ndio huyu lakini sio rehema, na sijui Ibrahim kamuacha vipi yule mwanamke…

Mke wake Ibrahim alikua anatamani sana hata aione familia ya mume wake, kwahio inaonekana hata hio ndoa yao waliifungia tu huku huku mjini, na hata wazazi wake haijulikani kama wanajua kama mtoto wao kaoa,… Wameoana kimjini mjini tu

Sasa mwanamke huyo ambae bado hatujamjua jina lake, leo akiwa kitandani na mume tena huku wakishika kimahaba, mwanamke alimuuliza mune wake kuwa

"Honey… Kuna swali nataka kukuuliza mume wangu"

"haaaaa we uliza tu kwani mpaka uniombe"

"eti, ivi wewe huna hata ndugu, nipate hata wifi yangu au shemeji… Au umezaliwa peke yako kwenye familia yenu"

Ibrahim alionekana kukunja uso kana kwamba hakufurahiwa na swali la mke wake, lakini ghafla Ibrahim akajichekesha ile kinafki ili mkewe asijue kama kakasirika, yaani kama vile kuna kitu kimemsukuma ajichekeshe lakini hakutaka kucheka,..

"aaahhh afu ni kweli mke wangu, ila ndugu nilionao ni wapuuzi"

"wapuuzi.. Wapuuzi kivipi"

Aliuliza mkewe huyo huku wakiendelea kushikana baadhi ya maeneo,..

"ndugu ninao mke wangu, ila mmoja ni mschana mdogo na bado anasoma, na huyo mwingine.. Aaaaaaahhhhh ni jangili jangili tuuu mwizi mwizi mshenzi mshenzi"

"mmmhhhhh makosa yote hayo ni yake"

"ndio… Yaani huyo mtoto ni mjinga sana mke wangu"

"mmhhhh ok, mi namtaka huyo anaesoma, aje asomee mjini"

Ibrahim alishtuka kuskia hivyo huku akijisemea kuwa

"sasa nitafanyeje kwa hili, kijijini kule nimekususa muda mrefu, eti leo niende kumchukua halima aje asomee huku mjini, heeee watanielewa kweli"

Ibrahim alijiongelea kimoyomoyo huku akiwa na mawazo mengi sana juu ya kwenda kijijini kumchukuwa mdogo wake wa mwisho aitwae halima, na ni mtoto mdogo tu wa miaka kama 7 hivi wala sio mkubwa…

"mume wangu mbona upo kimya jamani, mimi mwenzio nabaki mpweke hapa nyumbani pindi wewe unapokwenda kazini"

"ni sawa mke wangu, ila kule mtoto bado anasoma"

"mume wangu, nitafanya juu chini ahamishwe tutumie gharama zozote aje… Mi napenda watoto wa kike jamani mume wangu, yaani kila siku nipo na house Girl tuuuuu"

"ok ok ok, basi mke wangu nimekuelewa.. Ila itabidi aletwe na huyo mdogo wangu wa kiume"

"heeeeeee huyo jangili tena"

"aaahhh ni ujinga wake tu, ila akili za kiutu uzima anazo"

"sasa atajua mjini kweli"

"haaaaaaa mbona alikuepo mjini, nilifanya kumtimua arudi kijijini"

Ibrahim aliongea hivyo kwa kujiamini haswa bila kujua kijana chidi yeye hakwenda cha kijijini wala nini, kabanana hapa hapa mjini…

"ok sawa, fanya hivyo basi ila hakikisha taratibu zote za kumhamisha shule zinatimia"

"sawa mke wangu"

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
50 Muuza Chips Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni