Notifications
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…

MUUZA CHIPS (37)

Sehemu ya Thelathini na Saba, mama sarah, mama yake na, yake na chidi, alimchukuwa mjukuu wake, alitoa macho kwa, bibi alimchukuwa mjukuu
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA THELATHINI NA SABA
ILIPOISHIA...
Ibrahim aliongea hivyo kwa kujiamini haswa bila kujua kijana chidi yeye hakwenda cha kijijini wala nini, kabanana hapa hapa mjini…

"ok sawa, fanya hivyo basi ila hakikisha taratibu zote za kumhamisha shule zinatimia"

"sawa mke wangu"

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Hhhmmmm hapa kwenye hii familia kuna walakini, mana mwanamke hapingwi kwa kile anachokitaka,….

Tukija huku kijijini katika familia ya kijana chidi,… Salma alikuwa keshanogewa na Jackson, kana kwamba kila siku lazima akashushiwe kipande cha nondo, yaani sasa hivi halazimishwi tena anafanya kutoroka usiku na kwenda kulala kwa Jackson,… Ilifikia hatua mpaka anamuacha mtoto ndani peke yake alafu yeye huenda kwa Jackson kupata nondo, jamani choonde chonde jamani, mapenzi hayajaribiwi kamwe…..

Sasa siku moja usiku mama yake na chidi akiwa nyumba kubwa, mana salma yeye analala kwenye kale kageto,.. Mama yake na chidi aliskia sauti ya mtoto kukilia

HAPA SASA NAKURUDISHA NYUMA KIDOGO, TABIA YA SALMA ILIVYOBADIRIKA

Mtoto wa salma alikuwa akili usiku, sasa mama yake na chidi kuskia hali hio haitulii ikabidi aende kwenye hio geto, kuangalia kuna nini, mana mtoto analia tu bila hata ya kubembelezwa, mama kuingia kamkuta mtoto yupo peke yake wala hakuwa na mtu

"jamani, huyu mama yake kaenda wapi saa hizi"

Mama hajakompleni sana mana anamjua mkwe wake ni mtafutaji hivyo huenda siku hio alienda tu kwa jirani,.. Basi bibi alimchukuwa mjukuu wake huyo ambae ni mtoto wa chidi,. Alienda nae nyumba kubwa, lakini cha kumshangaza mama ni kwamba masaa yalikuwa yakisogea bila kumuona wala kumsikia mke wa chidi akirudi…

"mume wangu ivi ni saa ngapi saa hizi"

Mama yake chidi alimuuliza mumewe kuwa ni saaa ngapi kwa muda huo, na wakati huo mtoto keshalala huko kwa bibi yake

"saa sita kasoro sasa"

"mungu wangu, huyu mtoto wa watu atakua kaenda wapi mungu wangu"

Ghafla mama huyo anaskia vishindo kwa nje,.. Mama yake chidi nae kwa umbea sii haba, mama kafunua dirisha na kumwona salma ameletwa na mwanaume, mama chidi aliziba mdomo ili asije kuropoka chochote,.. Alishangaa kuona mkwe wake anakumbatiana na mwanaume huyo, huku wakibusiana midomoni, Baada ya hapo Jackson akaondoka zake, kisha salma akaingia ndani, ambako ndio huko geto kwake…

Salma kufika ndani haoni mtoto, presha ilianza kushuka na kupanda, huku akijiuliza kuwa je atamuuliza nani kuhusiana na swala la kutokumuona mtoto, akamuulize nani,..

"mungu wangu, king wangu kaenda wapi"

Alikua akijiuliza mdada huyo huku kashika kichwa asielewe chakufanya,.. Huezi amini siku hio salma hakulala,.. Alikesha kujiuliza tu kichwani kwake, mana hata akienda nyumba kubwa ataambiwa yeye alikuwa wapi mpaka saa hio, hivyo ikabidi apige kimya humo ndani, yaani salma hapo alipo unaweza kukuta keshapungua kilo kwa hofu…

Kesho yake asubuhi Bibi alimchukuwa mjukuu wake na kuanza kumpa uji, wakati huo salma alipitiwa na usingizi huko geto kwake, mana ukumbuke jana usiku hakulala kabisa,.. Mjukuu alishiba vizuri,. Wakati huo salma ndio anazinduka na kukumbuka kuwa hakulala na mtoto, kichwa chake kilianza tena kujawa na mawazo mengi ya hapa na pale,… King (kingazi) au mtoto wa chidi alikuwa na umri wa mwaka mmoja hivi kasoro, hivyo bado alikuwa mdogo mana hata kunyonya bado hajaachishwa, ila mtoto huyo alikuwa akiweza kutambaa na hata mara nyingine kutembea na ukuta mana hajaanza kuweza kusimama,…

Sasa kingazi akawa anatoka nje mana mtoto akishiba kinachofata ni kucheza tu,. Sasa salma kutoka nje anakutana na mtoto wake akiwa anacheza mwenyewe, hakuamini kumuona mtoto wake, yupo tena hana hata wasi wasi.. Kumuangalia vizuri akagundua mtoto wake kashiba,.. Salma aliingia nyumba kubwa na kumpigia magoti mama yake na chidi, mana anajua fika yeye ndie aliemchukuwa kule ndani,…

"mama… Naomba nisameee"

Aliongea hivyo salma huku machozi yakimtoka mschana huyo,..

"nishakusamehe mama, ila naomba usimnyonyeshe huyo mtoto"

Salma alishtuka kuskia kuwa asimnyonyeshe mtoto,.. Salma alitoka hapo akiwa kajaa mawazo mengine, mama hakutaka kumwambia kitu,.. Alitulia kujifanya hajui kitu lakini keshampa onyo kuwa asimnyonyeshe buyo mtoto,..

"mungu wangu weeee mama atakuwa kaniona, sii bure kuniambia nisimnyonyeshe king wangu"

Alikuwa akijiongelea mwenyewe huku akiwa kampakata mtoto wake,…

Lakini tabia ni ngozi ya mwili, kitendo cha salma kuambiwa asimnyonyeshe mtoto ilikuwa kama furaha kwake,… Kwani tabia iliendelea mpaka ikafikia siku nzima harudi nyumbani,.. Yaani tabia ilizidi kuwa mbaya kwa salma, na mama analijua hilo

"ivi huyu mkwe tumfanyeje"

Mama alimuuliza mume wake huku mzee mwenyewe akiwa anasugua panga lake kwenye jiwe,..

"mmmhhh mimi sijui wenyewe uko"

Baba alionekana kujitoa, na ni haki hili swala halimuusu yeye kama baba, hili amalize mama mwenyewe

"huezi amini toka jana usiku mpaka saa hizi saa kumi hiii hajarudi"

"we mama weee… We mlee mjukuu wako tu lakini usitegemee kama kuna mtu hapo"

"unajua baba chidi, nampenda sana mkwe wangu, katuseidia mengi sana, katujali kama wazazi wake.. Ndio maana hata nguvu ya kumfukuza sina"

"kwa hilo hata mimi nakubali na tumpe heshima yake tu"

"Kiukweli kazua tabia mbaya sana"

Mara ghafla salma huyo,.. Alikuwa kabeba debe la unga na vingine vingi tu mkononi, bibi alishusha hasira zake na kwenda kumpokea,…

"karibu mama"

Alimkaribisha ndani, ila mama huyo hakusita kuongea na mkwe wake, aliongea nae kirefu, tena alimwambia kuwa anajua fika kuwa alimuona na mwanaume, salma hakukataa alikubali, lakini alisema aliyafanya hayo ili kuweza kuiseidia familia hii, na ndio mana kila akienda hurudi na vibaba kama hivyo,.. Salma aliomba msamaha huku akiondoka na kusema kuwa

"mama, nakubali nina kosa, lakini sitaki mkalime ili muugue kila mara, Kiukweli sintoacha mana nina nia nzuri na nyie"

Mama yake chidi alitoa macho kwa kuskia kuwa hatoacha,…

HIO NDIO TABIA YA SALMA ILIVYOKUWA

Sasa tukija huku mjini kwa kijana chidi, aliokuwa yupo kitandani huku jimama lile lilikuwa likifanya usafi wa chumba hicho.. Yaani yule mama ukumbuke kuwa alikuwa anamsindikiza kumpeleka nyumbani kwake,… Sasa mama kufika nyumba ilikuwa na vumbi ilikuwa chafu,.. Si unajua kuwa chidi alikuwa msukuma mkokoteni, hivyo hata chumba chake kilikua chakali japo alijitahidi kuwa msafi kiasi flani,… Mama alikuwa akifanya usafi katika chumba hicho, ila kumbuka hakikua kimoja na hakina tofauti na upande wa nyumba,.. Mana ilikuwa na vyumba viwili yaani Dabo Rumu, afu pia vyumba hivyo vilikuwa na choo na bafu humo humo, na ndio mana nikasema haikuwa na tofauti na upande wa nyumba,…

"hizi nguo ni za kuchoma sasa heeee, sitaki tena kuziona"

Alikuwa ni mama huyo akimwambia chidi, huku chidi akizikusanya nguo hizo na kwenda nje kuzichoma… Na wakati huo majirani hakuna hata jirani mmoja, wote wapo makazini, hapo nje kumepaki VX mayai mpyaaa ya huyo mama,…

Sasa chidi akiwa yupo huko nje ghafla simu yake inaita… Kucheki jina alishangaa kuona jina hilo likimtafuta chidi

Wakati huo huku chumbani mama kamaliza usafi kila kitu na ndio alikuwa anatoka kuoga, mana bafu ni humo humo, jimama likajilaza kitandani mpaka raha,…

Wakati huo huku nje chidi anaishangaa simu hio ilioingia

"kaka…. Leo kaka ananitafuta, heee kuna nini"

Chidi alijiongelea huku akijichekea mwenyewe,

"haloo broo shkamoo"

Aliipokea na kumsalimia kaka yake,

"marahaba dogo vp"

"poa tu"

Chidi alikua hajiamini amini leo iweje kaka yake kawa mpole na wakati ni mtu mwenye roho mbaya,..

"sasa dogo"

"eeeee"

"nilikuwa nataka uje mjini"

Aliongea hivyo Ibrahim bila kujua kuwa mdogo wake hakuenda kijijini kama anavyojuwa, bali aligangamala hapa hapa mjini, sasa Ibrahim anajua chidi yupo kijijini

"nije kufanyeje tena, si umenifukuza wewe"

"ndugu yangu, tuache yaliopita tugange yajayo"

"siwezi kuja na sitaki kabisa"

"chidi mdogo wangu, mimi tayari nina pesa, siuzi chipsi tena, tayari nimeshafanikiwa mdogo wangu"

"hapana… Siwezi kuja kwako, afu naomba ukate simu"

Chidi alikuwa mgumu mno, na tena hakuwa akitaka utani

"nisikilize ndugu yangu"

"sitaki"

Chidi alikata kasimu kake na kukazima kabisa,…

Alipomaliza kuchoma zile nguo zake chafu kunuka, aliingia zake ndani…

Laaaaa Haulaaaa, chidi alitoa macho kwa kuona kitandani kwake kumejaa utamu tupu, Yaani mama sarah alijiachia kitanda na kanga moja yaan hata chupi ilikuwa haionekani..

"heeee afu hata chupi hana, sssssiiiiiiiiiii mungu wangu weeee"

Chidi midadi ilimpanda, tena na vile ana miezi zaidi ya sita, heee sijui itakuaje.. Ghafla mama anajigeuza makusudi kabisa.. Tena mama sarah keshaanza tabia mbaya ya kuvaa shanga, sasa chidi kuona vitu vinang'aaa kiunoni mwa mama sarah, alijihisi kukojoa wazungu,..

Mama Sarah alikufa na kuoza kwa kijana chidi, mana jimama hilo lilikuwa sii haba kwa umbo, yaani aliumbika haswa, sura yake ni ya kischana utafikiri sio mama wa makamo, yaani mama sarah sijui kawaje kwa kijana huyo, yaani kawa tayari kumpa mwili wake wote kwa kijana huyo, chidi nae kwa nafasi aliopewa hakutaka kuichezea mana wamama kama hao mjini ni wengi lakini mpaka wakupate, itachukuwa muda au usipate kabisa, hivyo kijana anaichezea vyama namba aliopewa na kocha wake,…

Kijana chidi alipokea simu ya kaka yake muda mfupi uliopita na kushindwa kufikia makubaliano, kijana chidi alikata simu yake kwa hasira kisha akaizima kabisa… Chidi alipoingia ndani alimkuta mama sarah akiwa kajimwaga kitandani kama jimama flani hivi shangingi, kumbe ni mama na heshima zake,… Chidi aliingia huku akimeza mate kana kwamba huenda mama huyo kammezesha tu mate afu asimpe nanii husika,.. Chidi alikisogelea kitanda chake ambacho ndicho kilicholaliwa na jimama hilo..

Chidi alianza kuweweseka kimapenzi, mana ana zaidi ya miezi 6 hajagusa demu wala mama yake demu,

Chidi alifika mpaka pale kitandani na kutupa simu kule, na kuanza kulilamba paja la mama sarah, wakati huo mama sarah usingizi wa lazima unakuja na kukata, kisa ni ulimi uliokuwa ukipita pita juu ya paja lake…. Chidi kufunua tu kale kaupande cha kanga, alishtuka kwa kutokutana na chupi…

"chidi, nilivaaga shanga kwa ajili yako, uliniambiaga unaweza kuzitumia, sasa kazi kwako… Kama ulivyoona Mwenzio sina hata chupi hapa nilipo"

Aliongea mama huyo na kumpa chidi wakati mgumu japo ni rahisi kufanikisha, chidi kufunua kale kaupande cha kanga, kweli mama wa watu hakuwa hata na chochote mwilini zaidi ya huo upande wa kanga,… Dakika moja mbele tunamuona chidi akiwa na boxer tu, huku akiwa anapanda kitandani,..

"bwana chidi nimekutania tu wala sitaki kwa leo"

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
50 Muuza Chips Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni