MUUZA CHIPS (37)

Sehemu ya Thelathini na Saba, mama sarah, mama yake na, yake na chidi, alimchukuwa mjukuu wake, alitoa macho kwa, bibi alimchukuwa mjukuu
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (37)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA THELATHINI NA SABA ILIPOISHIA... Ibrahim aliongea hivyo kwa kujiamini haswa bila kujua kijana chidi yeye hakwenda cha kijijini wala nini, kabanana hapa hapa mjini… "ok sawa, fanya hivyo basi ila hakikisha taratibu zote za kumhamisha shule zinatimia" "sawa mke wangu" KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Hhhmmmm hapa kwenye hii familia kuna walakini, mana mwanamke hapingwi kwa kile anachokitaka,…. Tukija huku kijijini katika familia ya kijana chidi,… Salma alikuwa keshanogewa na Jackson, kana kwamba kila siku lazima akashushiwe kipande cha nondo , yaani sasa hivi halazimishwi tena anafanya kutoroka usiku na kwenda kulala kwa Jackson,… Ilifikia hatua mpaka anamuacha mtoto ndani peke yake alafu yeye huenda kwa Jackson kupata nondo, jamani choonde chonde jamani, mapenzi hayajaribiwi kamwe….. Sa…