MUUZA CHIPS (39)

0
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA THELATHINI NA TISA
ILIPOISHIA...
"Eti Mama na huyu mtoto ni wa nani?"

Aliuliza salma kwa sauti kubwa, mana mama yake chidi alikuwa ndani,… Alitoka haraka na kuanza kumuangalia salma,.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"mama nakuuliza hiki kitoto ni cha nani, mana naona kama kinazurura tu hapa, kitakuja kudondokewa na nyumba bure, nyumba zenyewe zimechokaaaa"

Ghafla mama chidi alianza kulia kana kwamba kuna kitu kagundua kutoka kwa salma,… Sasa pale salma akaanza kumkanyaga yule mtoto kwenye miguu, afu kumbuka mtoto ana mwaka mmoja ndio kwanzaa anaanza kutembea… Mama chidi kulia kuliisha baada ya kuona mjuu anakanyagwa na mama yake tena mama yake mzazi kabisaaaaaaa wa kumzaa Fyoto……

Salma ni mwanamke mwenye akili za kischana, ila kwa hali hii aliokuwa nayo iliwashangaza watu, inafikia hatua mpaka anashindwa kukumbuka hata sehemu aliolalia muda mfupi uliopita, mama wa chidi alibakia mdomo wazi huku akimuomba mungu amnusuru mkwewe kwa hali hio alionayo, mana inashangaza sana… Sasa salma alimfuata yule mtoto,

"mama nakuuliza hiki kitoto ni cha nani, mana naona kama kinazurura tu hapa, kitakuja kudondokewa na nyumba bure, nyumba zenyewe zimechokaaaa"

Ghafla mama chidi alianza kulia kana kwamba kuna kitu kagundua kutoka kwa salma,… Sasa pale salma akaanza kumkanyaga yule mtoto kwenye miguu, afu kumbuka mtoto ana mwaka mmoja ndio kwanzaa anaanza kutembea… Mama chidi kulia kuliisha baada ya kuona mjuu anakanyagwa na mama yake tena mama yake mzazi kabisaaaaaaa wa kumzaa Fyoto,

Mama wa chidi alitoa macho kwa kuona mjukuu wake anakanyagwa,.. Mama huyo aliona salma kesha changanyikiwa na akili, pale pale aliokota fimbo kubwa na kumtupia salma, kitendo kilichomfanya salma akimbie huku akisema

"nauwawa na mkwe, nauwawa na mkwee"

Muda huo mtoto king alikuwa akilia kwa kukanyagwa na mama yake mzazi, Bibi mtu alimchukuwa mjukuu wake, huku akimbembeleza anyamaze,.. King (kingazi) ni mtoto wa chidi yule muuza chipsi, ana umri wa mwaka mmoja na miezi kadhaa, hivyo mama yake alimfanyia ukatili huo huku mtoto huyo akilia kwa uchungu,… Salma alionekana kuwa chizi na haijulikani uchizi wake ni nini,

Lakini huku salma alipokuwa anakimbilia tunamkuta anatabasam vizuri sana kana kwamba kuna mchezo kaucheza, lakini kabla hatujalijua hilo, tunamuona salma anatoa mabegi yake kichakani, kana kwamba alikusudia kutoka pale na ana akili yake binafsi iliomfanya atoke nyumbani kwa staili ile,.. Mabegi aliyachukuwa na kuelekea kule kwa Jackson, kwahio mpaka hapo tujue kuwa salma keshakubali kuondoka na Jackson kitu ambacho ni kibaya sana tena huku akiwa kaacha mtoto mdogo wa mwaka mmoja, mtoto ndio kwanza anaanza kutambaa,

Sasa salma alipokuwa anakaribia kwa akina Jackson alikumbuka kitu alichokifanya kabla ya kuanza uchizi wake

SASA HAPA ANAKUMBUKA MASAA MATATU NYUMA KABLA YA UCHIZI

Salma kabla ya yote alikuwa akikusanya nguo zake zote, kila kitu alikifungasha akaacha kanga tatu zikiwa juu ya kamba tena zilikuwa ni mbichi ila sio kuwa alizifua bali aliziloanisha maji kisha akaondoka muda huo huo ikiwa ni saa 11 alfajiri,… Lakini alipofika vichakani wazo lilimjia

"mbona kama nimeondoka kienyeji enyeji sana,.. Naweza kwenda Dar es Salaam kwa Jackson afu maisha yakanishinda nitashindwa kurudi"

Aliongea hivyo huku akiificha mizigo yake, hivyo kwa wakati huo aliishia njiani, alipomaliza kuficha mizigo yake, alirudi nyumbani na kulala kidogo mpaka itakapofika mida ya saa moja au saa mbili mana muda huo ulikuwa bado ni asubuhi sana hivyo kutoka muda huo ni ngumu,…

Sasa ilipofika mida ya saa mbili asubuhi, salma alipata wazo

"hapa dawa ni kujifanya chizi, ili nikiondoka niondoke kama chizi, hata maisha yakinishinda nirudi kwa kigezo cha niliondoka nikiwa chizi"

Kweli salma alikuwa ana akili ya utu uzima ingawa bado ni mdogo kiumri,… Na hio ndio ilikuwa akili yake na mara moja akaianza kazi kwa kujifanya hajui hata mahali anapolala, mpaka akafikia kumkanyaga mtoto wake lakini alipokuwa akimkanyaga mtoto roho ilikuwa ikimuuma sana mana alikuwa akifanya kitu kwa faida yake, lakini alihisi kumuumiza mtoto wake…. Na alitaka kulifanya hilo mbele ya mama yake mkwe ili aonekane dhahiri kuwa uchizi umemjia, na ni kweli alifanikiwa mpaka mama mkwe akamfukuza…

HIO NDIO KUMBUKUMBU YA SALMA KABLA YA KUFUKUZWA NA MAMA MKWE WAKE

Jackson alimpokea salma kwa shangwe huku Jackson akiwa na furaha kubwa kwa kitendo cha salma kukubali kwenda Dar es Salaam na Jackson kuanza maisha mapya wakiwa kama wachumba,

Tukija huku mjini kwa chidi na jimama lake wakiwa wamekaa kitandani huku mama akijiuliza kumpa tena utamu mtoto wa watu, mana chidi hapo alipo zakaria yake imesimama tena upyaa baada ya kuishika shika ile chupi ya Grace au mama sarah, chidi kabla hajaruhusiwa alijikuta anaanza kumshika shika Grace wa watu, huku mkono wake mmoja ukiwa umepenya katikati ya mapaja ya Grace,… Mama alianza kujiskia hamu upya lakini mama huyo alikiwa akijizuia na kumwambia kijana chidi kuwa

"chidiiiiiii… Please naomba unione huruma, nitakupa kesho"

Aliongea hivyo lakini chidi alijifanya hajaskia na kuendelea kumtomasa mama huyo,

"chidiiiii… boy wangu naomba uniache baba nikafanye mipango ya kazi juu yako"

Sasa chidi kuskia mipango ya kazi ikambidi awe mpole kiasi fulani, aliacha kumshika shika mama sarah huku akiendelea kuipandisha ile chupi, mana ukumbuke iliishia mapajani hata kule juu haijafika,

"Nisamehe mamy wangu"

Chidi Aliomba msamaha kwa mama huyo

"usijali baby wangu, mi ndio napenda mwanaume wa hali hio,.. Napenda sana kufikishwa kileleni, kiukweli chidi naomba unisamehe mimi, mana nahisi sijakuridhisha kimapenzi"

"wala tu usijali, unajua siku ile ya mwisho kulala na wewe, ndio sijawahi tena kuwa na mwanamke, yaani wewe ndio ulinifunga na leo umenifungulia"

Aliongea chidi kwa kujiamini, na ni kweli ilikuwa hivyo,

"unasema kweli chidi"

"kweli vile mamy,… Miezi sita yote simjui mwanamke"

Mama alifurahi sana na kuhisi ni bahati ya pekee juu yake, kwa kumpata kijana chidi,.. Basi kila mmoja alivaa nguo zake kisha mama akaingiza mkono katika mkoba wake, alitoa pesa iliokuwa imefungwa Rababendi (mpira maalum wa kufungia pesa) Chidi mwenyewe hakuamini kama anapewa hio pesa mana ndani ya miezi sita yote chidi hajui cha elfu 50 wala laki moja, alikuwa anajua elfu kumi, au elfu saba… Basi mama huyo aliondoka huku akimmiminia mabusu ya kila sehemu kwa jinsi anavyompenda kijana huo, chidi akabakia hapo ndani

"sasa washa simu yako, ili nikishakununulia simu nzuri, nikuite uje sehemu fulani sawa baby"

Mama aliongea hivyo huku akimkonyeza konyeza kijana chidi

"sawa mamy"

"ok badae hensamu wangu"

"poa, siku njema"

"na kwako pia"

Basi maagano yalikuwa meengi sana ila mwisho wa saa yaliisha, chidi akiwa yupo hapo chumbani kwake akiwa kuzisambaza zile pesa kitandani tena alikuwa kavaa bukta na vest,..

"laki tano?… Siamini macho yangu kwakweli"

Aliongea kijana chidi huku akizilalia pesa hizo….

Tukija huku katika nyumba ya bwana Ibrahim na mkewe,… Ibrahim akiwa kazini mkewe ndio yupo huku nyumbani akiwa anatandika kitanda mana si unajua matajiri kuamka kwao ni saa nne, lakini mumewe alishaamka na kwenda kazini, ghafla alikumbuka kitu flani

"yes, ngoja nijaribu ile namba kama itapatikana"

Aliongea hivyo huku akiishika simu yake na kuitafuta namba alioikusudia kuipiga

"yes, hii hapa. SHEM"

aliongea mwenyewe huku akitabasamu na kubofya kitufe cha kupigia

Kwa bahati nzuri simu iliita, basi mke wa Ibrahim alifurahi sana kwa kuskia simu hio ikiita,..

Tukija huku kwa chidi Wakati huo chidi alikuwa kalalia pesa zake na kufrahia maisha mapya, tena yenye furaha tele,.. Ghafla simu yake inaita na namba asioitambua, chidi aliipotezea namba hio huku akiendelea kuzigala galia pesa hizo, simu iliita bila kupokelewa,… Ghafla ikaita tena mpaka ikakata… Wakati huo chidi alikuwa anazikusanya pesa hizo zenye uwingi wa laki tano,..

Ghafla simu inaiita tena kwa mara nyingine, chidi alishikwa na hasira na kuipokea huku akitukana matusi hovyo

"we msenge nini bwana unasumbua kudadeki zako mwanahara"

Sasa kabla hajamaliza matusi yake, iliskika sauti ya upole ikimuomba msamaha

"Nisamehe shem wangu naomba unisamehe"

Afu simu ikakatwa,.. Chidi roho ilianza kumuuma, huku akijilaumu kwa kitendo alichokifanya,…

"lakini mbona kaniita shem, au usikute ananijua nini, na kama ananijua je? Ni shemu wangu kwanani"

Aliongea kijana chidi huku akijiuliza, na wakati huo alokuwa akiiangalia sana ile namba.. Aliamua kuipiga tena, sasa kapiga mwenyewe,… Mke wa Ibrahim kuona simu inapigwa aliipokea haraka mana ana shida na kuona au hata kuishi na ndugu wa familia ya mumewe mana yupo peke yake ndani ya nyumba,..

"haloo"

Alianza chidi huku akiwa mpoleee, mana alikutana na mtu mpole kuliko hata yeye

"haloo shem mambozako"

"Sa… Saf,… Safi tu, we nani? Afu mbona unaniita shem, kwani unanijua"

"ndio… Mimi ni mke wa kaka yako Ibrahim"

Chidi kuskia hivyo, akajua ni lile lirehema la kipindi kile kumbe sie maskini ya mungu ni mdada wa watu mpoleee

"nani? Rehema?… Ivi mpaka leo bado unaendelea na kaka yangu wewe,.. Na ile mimba ulizaa kweli?… We bwege si nakuuliza mbwa wewe, mwanaharamu wewe umemganda kaka yangu mpaka leo huna hata haya, nyooooo… Ebu kata simu huko, bwege wewe"

Kijana chidi alikuwa akimchukia sana rehema kwa kitendo cha kumtesa kaka yake kimapenzi, uzuri na umbo lake ni vitu vilivyomtesa sana bwana Ibrahim mpaka kujikuta anashindwa kuikumbuka familia yake kwasababu ya mwanamke huyo,… Lakini ukweli ni kwamba Ibrahim walishaachana na mwanamke yule, kisha akapigana na maisha upya, na Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake, Ibrahim katusua na sasa ni tajiri haswa, lakini cha ajabu bado familia yake inakula msoto kule kijijini,…

Familia hio ya kitajiri ya bwana Ibrahim waliokuwa wakiishi wenyewe tu akiwemo mlinzi na mfanyakazi wa ndani,… Yaani house girl, Mke wa Ibrahim ana ndugu yake wakike mmoja tu hivyo hana muda nae atakuja kuishi katika nyumba hio ili amtafutie shule baada ya kufeli kwenda kidato cha sita,.. Lakini kwakuwa mke wa Ibrahim ni mpenda watu hivyo hakupenda ndugu wa mumewe waishi kijijini ingawa wana uwezo wa kuwaleta mjini,.. Hivyo mwanamke akatoa kauli ya kutaka mawifi na mashemeji waje waishi katika nyumba hio, mana ni jumba haswa, jumba lina rosheni mbili kwenda juu hivyo kwa watu wachache kuishi humo ni tabu,… Baada ya kuafikiana swala la kuwaleta ndugu wa mumewe basi wakwanza kumjulisha ni kijana chidi, ambae yupo huki huku mjini lakini wao wanajua yupo kijijini,..

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)