Sehemu ya Thelathini na Tisa, mke wa ibrahim, kana kwamba kuna, mama yake mzazi, na mama yake, afu kumbuka mtoto, akaanza kumkanyaga yule, baada ya
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (39) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA THELATHINI NA TISA ILIPOISHIA... "Eti Mama na huyu mtoto ni wa nani?" Aliuliza salma kwa sauti kubwa, mana mama yake chidi alikuwa ndani,… Alitoka haraka na kuanza kumuangalia salma,. KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... "mama nakuuliza hiki kitoto ni cha nani, mana naona kama kinazurura tu hapa, kitakuja kudondokewa na nyumba bure, nyumba zenyewe zimechokaaaa" Ghafla mama chidi alianza kulia kana kwamba kuna kitu kagundua kutoka kwa salma,… Sasa pale salma akaanza kumkanyaga yule mtoto kwenye miguu, afu kumbuka mtoto ana mwaka mmoja ndio kwanzaa anaanza kutembea… Mama chidi kulia kuliisha baada ya kuona mjuu anakanyagwa na mama yake tena mama yake mzazi kabisaaaaaaa wa kumzaa Fyoto…… Salma ni mwanamke mwenye akili za kischana, ila kwa hali hii aliokuwa nayo iliwashangaza watu, inafikia …