MUUZA CHIPS (40)

Sehemu ya Arobaini, akina miriam hivyo, salma na jackson, kijana chidi huku, miriam hivyo akina, mke wa ibrahim, na ndugu yake, na wakati huo, gari ya
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (40)
Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA AROBAINI ILIPOISHIA... Hivyo mwanamke akatoa kauli ya kutaka mawifi na mashemeji waje waishi katika nyumba hio, mana ni jumba haswa, jumba lina rosheni mbili kwenda juu hivyo kwa watu wachache kuishi humo ni tabu,… Baada ya kuafikiana swala la kuwaleta ndugu wa mumewe basi wakwanza kumjulisha ni kijana chidi , ambae yupo huki huku mjini lakini wao wanajua yupo kijijini,.. KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Ibrahim aliongea na ndugu yake huyo lakini hawakuelewana vizuri kutokana na matatizo yaliotokea kipindi cha nyuma,.. Baada ya Ibrahim kushindwa kuelewana na ndugu yake huyo ilibidi namba ampatie mkewe ili ajaribu kuongea nae, lakini chidi alikuwa kichwa ngumu pale aliposikia kuwa aliokuwa akipiga ni mke wa Ibrahim na kujuwa kuwa huyo ndio yule yule rehema wa mwanzo aliomtesaga kaka yake,… Chidi bila ai…