Sehemu ya Arobaini na Moja, mtoto wake, kijana chidi, mama yake, mke wake, chidi huku akiendelea, na wakati huo, akiendelea kumuangalia kama, yule
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (41) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA ILIPOISHIA... Humo ndani walikuwa wakikumbatiana na kunyonyana madenda bila kujali kuwa wapo safarini,.. Kiukweli salma na Jackson walipendana sana, kwasababu mpaka mwanamke umuache mumeo uende mjini na mwanaume mwingine kweli?? Hii noma,… KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Sasa mungu sio asumani, gari waliopanda akina Jackson ilipasuka tairi ya nyuma, lakini haikuleta madhara kwasababu nyuma kuna tairi mbili mbili hivyo iliseidia sana,… Sasa safari ya akina salma ikawa imekwama, lakini sasa tayari walishatembea kama kilometa tano hivi, hivyo tayari walishakiacha kijiji chao kwa umbali mrefu sana,… Ila uzuri ni kwamba basi linalotoka mjini alilopanda kijana chidi, ni kampuni moja na hilo linalokwenda mjini,… Na haikupita muda basi alilopanda chidi ndio hilooo linatokea,… Dereva wa basi b…