Sehemu ya Arobaini na Mbili, kijana chidi huku, mdogo wake ili, wakipiga stori za, alionekana kuwa na, hapa na pale, hio ni dhambi, mama yake
Zephiline F Ezekiel
MUUZA CHIPS (42) Jina: MUUZA CHIPS Mwandishi: MoonBoy SEHEMU YA AROBAINI NA MBILI ILIPOISHIA... Ikabidi walipite mpaka kwenye kituo cha mbele, mana kuna wengine walipanda lakini wanashukia njiani kama vile walisogezwa tu,.. Sasa pale pale chidi akapanda kwenye basi huku akipumua kwa nguvu zote, kana kwamba kafanikiwa alichokifuata japo abiria ni wengi sana, lakini hakukata tamaa KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... "broo hakuna siti tena, abiria wamejaa" Aliongea tandiboi huyo huku akitaka kumtoa chidi nje… "broo mi ntasimama tu na nitalipia siti japo sintokaa" Aliongea chidi huku akitia huruma, mpaka yule tandiboi akamhurumia chidi apande,.. Sasa chidi keshaingia ndani ya gari, yupo tayari kwa kutafuta mke ambae yupo ndani ya gari hilo, na ni lile lile…. "haki ya mungu vile lazima niondoke na mke wangu, yaani ntauwa mtu humu ndani" Aliongea h…