Notifications
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (17)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SABATULIPOISHIA...Nilijifikiria mara mbili nikajikuta namkubalia kwani alionekana ni mpole na mstaarabu sana.Basi tukaenda hadi kwake ambapo haikuwa mbali na hapo tulipokuwa na kweli alikuwa na chumba na sebule na sebuleni kwake niliona picha ya ukutani akiwe yeye na mke wake nahisi ilikuwa siku ya harusi yao.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikasema huyu kijana atakuwa amefunga ndoa…
  • MY DIARY (16)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA SITATULIPOISHIA...Mwanamke akaamua kuingia jikoni na kukarangiza viazi na nyama rosti na kilipoiva kililetwa mezani tukaendelea kujenga afya. Sikuaamini kama Joyce alikuwa anakumbuka hata kupika kwa sababu alibadilka sana na alikuwa akiishi maisha ya starehe.. Lakini aliniprovu wrong kwa kutoa rost ya hatari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Baada ya kula alinambia kuwa alikuwa amechoka…
  • MY DIARY (15)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TANOTULIPOISHIA...Hapo mzungu wa watu hakuweza kuvumilia tena aliichomeka yote.Mmmmmh mmmmmh ishiiiiiiiiiiii yeaaaaaahhhhhhhh yeaaaaaaah ni miguno niliyoitoa mara baada ya kusikia joto tamu la kiungo hicho.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Ikabid nijivute kwa nyuma ili lengo likiwa ni kukaa vizuri ili kichwa cha nyoka kiwe juu juu ya pango langu ili niweze kukisugua sawa sawa na pia…

MUUZA CHIPS (42)

Sehemu ya Arobaini na Mbili, kijana chidi huku, mdogo wake ili, wakipiga stori za, alionekana kuwa na, hapa na pale, hio ni dhambi, mama yake
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA AROBAINI NA MBILI
ILIPOISHIA...
Ikabidi walipite mpaka kwenye kituo cha mbele, mana kuna wengine walipanda lakini wanashukia njiani kama vile walisogezwa tu,..

Sasa pale pale chidi akapanda kwenye basi huku akipumua kwa nguvu zote, kana kwamba kafanikiwa alichokifuata japo abiria ni wengi sana, lakini hakukata tamaa

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"broo hakuna siti tena, abiria wamejaa"

Aliongea tandiboi huyo huku akitaka kumtoa chidi nje…

"broo mi ntasimama tu na nitalipia siti japo sintokaa"

Aliongea chidi huku akitia huruma, mpaka yule tandiboi akamhurumia chidi apande,.. Sasa chidi keshaingia ndani ya gari, yupo tayari kwa kutafuta mke ambae yupo ndani ya gari hilo, na ni lile lile….

"haki ya mungu vile lazima niondoke na mke wangu, yaani ntauwa mtu humu ndani"

Aliongea hivyo huku akizidi kusogea kwa kwenda kule kwenye siti za nyuma

Duniani kuna watu wanaopenda kweli na sio utani, kijana chidi yeye alishuhudia mwanamke kama mke wake akinyonywa denda, lakini chidi kwa upendo wake bado hakati tamaa ya kuwa hata kama alimkuta katika mazingira yale lakini hawezi kumuacha, mana walifunga ndoa ya ukweli kabisa……

Katika maisha ya ndoa ni dhambi sana mwanaume kuwa na mchepuko japi kuna asilimia kubwa sana ya wanaume kuwa ni lazima awe na mchepuko wa nje,.. Hio ni dhambi kwa wana ndoa, lakini kuna dhambi zaidi ya dhambi pale unapopata mchepuko na kuisahau familia yako, hio ni dhambi na ni laana kubwa sana katika maisha yako,…wakati mnafunga ndoa ulisema utamlinda kwa hali na mali, lakini leo mtoto wa watu analala njas, mtoto wa watu hata Utenge wa kubadilisha hana, yaani unampa mateso juu ya mateso, ndoa ni matunzo jamani msione tu ndoa zikifungwa huko, zina mambo hizo, zinahitaji uvumilivu wa hali ya juu…

"haki ya mungu vile lazima niondoke na mke wangu, yaani ntauwa mtu humu ndani"

Hayo ni maneno yaliomtoka kijana chidi huku akiendelea kumtafuta mke wake,.. Chidi alizunguka basi zima, tena kwa kumpekuwa kila abiria aliekuwepo hapo, kagombana na kila mtu humo ndani, lakini kaambulia patupu, Sasa alikuwa akishangaa na kuuliza jamaa mmoja aliopo humo humo ndani ya gari

"eti broo, mbona kama kuna upungufu wa abiria, na hili gari si ndio lile lilioharibika pale nyuma"

Aliuliza kijana chidi huku akiweka matumaini ya kumpata hata kama hajamwona katika basi hilo

"ndio, ni basi hili hili, ila pale lilivyoharibika kuna baadhi ya abiria walipanda gari nyingine ya kampuni hii, kwahio sisi wengine ambao hatuendi safari ndefu tulibaki ili wale wa safari ndefu waendelee na safari"

Chidi kuambiwa tu hivyo, alichoka mpaka basi huku akishuka katika gari hilo,.. Alitelemka na kupanda toyo yake iliimleta, mpaka huko

Saa mbili na nusu usiku pikipiki inasimama nje ya nyumba ya akina chidi, wakati huo wazazi wake walikuwa wapo nje wakipiga stori za hapa na pale, na walikuwa na furaha nyingi sana kwasababu mtoto wao mpendwa kaja

"ni kiasi gani ndugu yangu"

Alimuuliza dereva toyo huku akitoa waleti

"ni elfu 15 boss"

Kwasababu ilikuwa ni kijijini basi gharama nayo ipo ki kijijini kijijini, lakini kama ingelikuwa ni mjini, ingelikuwa sio chini ya elfu 50, basi chidi kwa huruma zake alimuongezea elfu 5 ikawa elfu 20

"asante boss"

"haina shida ndugu"

Dereva toyo aliondoka zake huku chidi akiingia nyumbani kwao na kuwakuta wazee wakipiga stori za hapa na pale, chidi kufika tu kamuwahi mtoto wake na kumbeba,..

"mama, ivi mke wangu kaondokaje jamani"

Chidi alivuta kiti na kumuuliza mama yake kuwa salma aliondoka vipi nyumbani

"mwangu wewe, pale huna mke tena, yule mwanamke kabla ya kuondoka, alionekana kuwa na mtu"

Mama aliongea hivyo kumaanisha kuwa alionekana kuwa na mpenzi mpya,

"kwahio hata kukuaga hajakuaga kuwa anaenda wapi"

"ataniaga saa ngapi, na wakati nilimfukuza kabisa"

"mamaaaaaaa, ulimfukuza wanini lakini"

Chidi alikuwa akikasirika baada ya kuambiwa kuwa mama alimfukuza salma

"chidi mwanangu, mkeo alikuwa chizi, lakini sikumfukuza kwa ubaya, mkeo kashakuwa chizi, nilimfukuza akiwa anamkanyaga mtoto"

"heeeee Anamkanyaga ili iweje sasa jamani"

"si ndio uchizi ulimuanza"

"mungu wangu salma mke wangu, upo wapi wewe jamani"

Aliongea kijana chidi huku akishika kichwa kwa hasira,…

"lakini baba, kama sisi wazazi wako tumemwona hafai, inahaja gani wewe kumuona anafaa, au unahisi sisi wazazi wako tumekufanyia fitina si ndio"

Mama wa chidi alianza kuja juu na sauti ya kiuzazi, mana chidi alikuwa haelewi na kuhisi labda ni kamchezo kachezewa na wazazi wake,

"basi mama nisamehe bure"

"kwasababu sisi tunakwambia ukweli juu ya mkeo lakini hutaki kutuamini"

"nimesha waamini mama angu.. Wacha nikalale mambo mengine nadhani ni kesho"

"wewe mtoto una kichaa wewe"

"nini tena mamaa"

"uende ukalale kwani umekula wewe? Si umekuja sasa hivi na toyo hapa"

"aaahh mama mi nimeshiba"

Basi chidi alimpa mama yake mjukuu wake ili akamlaze mana alikuwa keshalala, chidi aliingia geto kwake na kukuta kumevurugwa sana, yaani utafikiri hakukuwa kukiishi mtu, basi chidi bila kujali yeye alianza kuweka sawa kwa kutandika tandika vizuri kitanda chake cha zamani sana,..

Sasa alipoangalia uvunguni aliona chupi ya mkewe tena ilikuwa imechakaa haswa, alimkumbuka sana mkewe mana anaijua sana nguo hio

"umeshajua chupi mpya, sasa hata za zamani huzithamini"

Aliongea chidi huku akitoka nje na kuitupa nguo ile, chidi alirudi katika geto lake la udongo kisha akaingia kulala bila kujali katoka mjini na kuja kulala sehemu chafu..

KESHO YAKE ASUBUHI NA MAPEMA

Chidi anaamka na kufanya usafi wa mwili na mazingira ya hapo nyumbani kwao, Ukumbuke kuwa chidi hakai sana, hapa kaja kumchukuwa halima ambae ni mdogo wake ili akasomee huko, chidi alikuwa akifyagia uwanja wao bila kujali kama kavaa nguo safi, hata wazazi wake walikuwa wakimwangalia huku wakimwombea mana hajali kuwa katoka mjini, yaani chidi ni mpenda kung'aa haswa, lakini bado hajali kuwa alikuwa akichafuka, chidi alifanya usafi nyumba nzima huku akilimia na majani majani kwa pembeni,..

Wakati huo anamwona mdogo wake halima amebeba ndoo kubwa ya maji, alishtuka kuona mdogo wake kabeba ndoo kubwa

"weee si utadumaa mdogo wangu"

Mdogo wake alikuwa ana umri wa miaka 8 hivi au 9 na alikuwa anasoma darasa la pili huku kijijini,…

"hebu kapumzike kwanza baadae nitakuambia kitu kizuri sana sawa dadaa ee"

"sawa kaka"

Basi chidi alilichukuwa lile jukumu la kubeba maji,… Na hapo Ukumbuke kuwa chidi bado hajawaambia wazazi kuwa anataka kumchukuwa halima, sasa je wazazi watakubali?

PATAMU APO

Sasa tukija huku mjini tunamkuta sarah yupo na rafiki yake miriam katika ile hoteli kubwa, yaani kule walipo akina miriam,.. Sarah alimtembelea rafiki yake kwa kumsalimia tu, sasa walikuwa wakipiga stori za wanaume tu

"shost, saaa ngapi jana mama sijamtajia sifa za mwanaume ninaemtaka na akakasirika ghafla tu"

Aliongea sarah huku akishika kiuno chake kama vile anamsuta mtu,

"heee sasa kakasirishwa na nini"

"mi najua basi shost?"

"hhhhh maaakubwa ya jongo hayo shost"

Miriam alikuwa akishangaa kwa kitendo cha mama yake kukasirika kisa mwanae kuzitaja sifa za mpenzi amtakaye,…

Wakati huo huku hoteli ndogo anayosimamia Grace au mama sarah na mtoto wake sarah, alikuwa ofisini kwake akiumiza kichwa juu ya kumpatia chidi kazi, mana sio kila siku tu ampatie pesa, japo anaweza kumlea kwa jinsi atakavyo kijana huyo,…

"sarah ni mpumbavu sana, yaani anapenda wavulana mahensamuuuuuu aisee mtoto kanikera sana huyu mtoto"

Alijiongelea kimoyomoyo huku akishika kichwa, akili ya mama huyo haikuwa ikikaa sawa, moja haikai mbili haikai,

Sasa tukija huku kijijini kwa akina chidi, Chidi alikuwa akitoka kuteka maji kwa kumseidia mdogo wake halima, mana ana umri mdogo sana kwa kuifanya kazi hio,….

Baada ya masaa matatu mbele chidi alimaliza shughuli zote ambazo zilikuwa azifanye mkewe, lakini mkewe hayupo sasa kazishika mtoto mdogo ambaye ni halima mwenye miaka 8 ama 9,… Sasa chidi akiwa na wazazi wake hapo sebuleni wakiwa wanakunywa chai mida hio ya saa nne, chidi alikuwa ana jambo la kuongea, lakini kwanza kabla ya kuongea alianza kuwatolea zawadi alizowaletea, nguo kedekede, vitenge na vitu vingi, lakini katika nguo hizo kulikuwa na nguo za ndani kwa ajili ya mkewe wake,.. Chidi aliusogeza ule mfuko wenye nguo za ndani ili mama yake asiuone,… Basi baba na mama walifurahi sana kwa kuona zawadi zilizoletwa na kijana wao,.

"huo mfuko una nini"

Aliuliza mama kuhusiana na mfuko ambao upo pembeni,

"aahh amna kitu izi ni boshori (kofia za raundi)"

"kofia? Sasa kwani sisi hatutakiwi kuvaa kofia"

"ahhh ni za watoto mama wala hazikuenei"

Sasa mama kuangalia vizuri aliona moja imetokeza, ikabidi mama atabasamu tu huku akinyamaza kimya mana alijua nguo hizo aliletewa nani,… Mama yake chidi alikuwa sio mzee kivile sema maisha ya kijijini tu ndio yalisumbua,…

"najua unampenda sana mke wako, ila nfio hivyo kumbe yeye hakupendi mwanangu"

Aliongea mama kimafumbo huku akimuangalia mtoto wake kwa huruma mana anampenda sana salma wake lakini ndio hivyo kamkimbia, japo bado inasemekana ni chizi lakini haijazibitika kuwa kweli ni chizi,… Ila sisi tunajua sio chizi………

"sasa mama na baba"

Chidi alianza kuongea kwa kuwaita wazazi wake,

"nini tena baba"

"kuna kitu nilikuwa nataka niwaombe"

Baba yake chidi akadakia juu kwa juu,

"wewe ni mtoto wa kiume baba ongea kama mwanaume wacha kulia lia"

Chidi alikuwa mpolee kwa jambo alilotaka kuongea

"mama na baba,…. Mimi Nimekuja kumchukuwa halima akasomee mjini"

Nia ya chidi kuja kijijini ni kwa ajili ya kumchukuwa mdogo wake ili akasomee mjini, lakini hata kabla ya kuja alishaamua kumpeleka kwa kaka yake, ila kama watamshindwa au watamtesa kutokana na mke kama atakuwa na roho mbaya basi chidi ana uwezo wa kuishi nae, mana hali yake kwa sasa sio mbaya anaweza kumsomesha mdogo wake palr kaka take atakaposhindwa, mana kazi hana na pesa anazo, hivyo hawezi kumshindwa kuishi na halima wake

"wacha nikamchukue kama wanavyotaka, ila nikiona ananyanyapawa tu, namchukuwa mwenyewe coz hata mimi naweza kumsomesha"

Aliingea kijana chidi kabla hajaja kijijini, huku akiendelea kusema kuwa

"wazazi hawatokubali kama nitasema anaenda kuishi na kaka Ibrahim, hivyo lazima niseme mimi kama mimi mana wazazi wanamchukia sana kaka Ibrahim"

Aliongea hivyo akiwa yupo kitandani wakati bado anafikiria kuja kijijini kumchukuwa halima akaishi na kaka yake mkubwa ambae ni Ibrahim,..

Ibrahim toka aje mjini hajawahi kukanyaga kijijini hata siku moja, zaidi kurusha elfu 20 kwa miezi miwili au asirushe kabisa, kana kwamba kawasusa wazazi wake…….

Kwa niaba ya mke wa Ibrahim, Chidi alikubali kuja kumchukuwa mdogo wake ili akasome huko mjini…

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi
50 Muuza Chips Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni