MUUZA SUPU (14)

Sehemu ya Kumi na Nne, chini ya uvungu, chumbani kwa sonki, kwa upande wa, hivyo lina huku, kitanda kisha lina, kwa sonki ambapo, mmoja kati ya,
Zephiline F Ezekiel
MUUZA SUPU (14)
Jina: MUUZA SUPU Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KUMI NA NNE ILIPOISHIA... Hakuelewa kama pendo la kweli halishawishiwi kwa kufanya na mtu mapenzi mara nyingi au kuwa mjuzi sana kitandani ,,, Sonki kwanini unanichukia sana,,, ,,,sikuchukii lakini sihitaji kumpoteza Celline kwasababu nampenda,,, ,,,kwani yeye anakupa nini ambacho mimi sikupi,au anakuhonga pesa nyingi sana,,,? WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... ,,,hapana mi nampenda tu,,,, ,,,naomba nikuombe kitu,, ,,,sema,,, ,,,jamani mbona kwa ukali hivyo,,, ,,,ongea nakusikiliza,,, ,,,naomba tuwe tunafanya hivi lakini Celline asijue,,, ,,,naomba iwe mwanzo na mwisho leo,tena ukiendelea mi nitakuhama nyumbani kwako,,, Maongezi hayo yakiwa yanaendelea kati ya Sonki na Bosi wake Lina mara mlango wa chumba chake ulibishwa hodi,,Ngo,,ngo,,ngo,,!,,kidogo moyo wake Sonk…