MUUZA SUPU (21) - CnZ Media

CnZ Media

Jisomee Simulizi Mpya Kila Siku

Jumatano, 10 Mei 2023

MUUZA SUPU (21)

Je unajua kwamba Simulizi zote unazozipata hapa zipo kwenye app ya CnZ Media?

Humo Pia Utakuta:
๐Ÿ“– KUSOMA SIMULIZI
๐ŸŽฌ FILAMU na TAMTHILIA za KITANZANIA
๐Ÿ˜‚ VIDEO za KUCHEKESHA
๐Ÿ“‘ MAKALA za AFYA na MAPENZI

Install app hii GUSA HAPA utavipata vyote hivyo bure kabisa
Mwandishi: Geofrey Malwa

SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Kilichotokea baada ya kumkosa Sonki hata kwa kumloga,alirudi tena kwa mganga n akutaka kumloga tena kama inawezekana,Lakini mganga alisema si jambo rahisi kumloga tena Sonki,Sablina alilazimisha sana apewe tena dawa ya kumpumbaza akili Sonki ili aendelee kufurahia mapenzi naye lakini ikashindikana,,,

Baada ya kuona kumloga tena Sonki imeshindikana

WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Sablina aliomba hata ampe adhabu mwanamke ambaye yupo kweny emoyo wa Sonki,katika harakati za kupiga Ramri,yaani kuangalia ni nani aliye moyoni kwa Sonki,ilitokea Sura ya Celline,na alipoulizwa Celline anataka nini kitendeke kwa Celline akamnenea awe chizi,ndio maana Celline wa watu ukamkuta uchizi katika hali ya kustaajabisha

Baada ya siku tatu Sablina alirejea kwa mganga kama walivyoahidiana kwamba mambo yake yakifanikiwa yaani Celline akiwa chizi tayari arudi na zawadi yeyote kwa ajili ya Mizimu,,alipofika kwa mganga alikabidhi zawadi hiyo Lakini alipotaka kuondoka mganga alimtaka ake tena,,
,,,sikiliza binti,zawadi yako mizimu imekataa,,,
,,,jamani,mganga naomba nisaidie,,,
,,,na kama ukiondoka hapa bila kutoa zawadi,kitakurudia kilichompata Celline,,,
,,,aah,jamani mganga tafadhari chochote niko radhi kutoa,,,

Mganga alicheka kwa sauti baada ya kusikia hivyo kwamba Sablina yuko tayari kutoa kitu chochote,basi mganga akaongea na mizimu kwa lugha ambayo Sablina hakuielewa,,,akapiga manyanga yake mpaka Sablina akataka kukimbia
,,,sikiliza binti mizimu imekupenda sana,,,
,,,imenipenda?,kwahiyo imesemaje,,?
,,,ha ha ha,swali zuri sana,imenipa mambo matatu uchague kama zawadi kwao,,,
,,,mambo gani niambie nitatekeleza,,,,
,,,jambo la kwanza binti,ujitoe sadaka wewe,,la pili,ushiriki ibada za mizimu makaburini n akunywa damu za watu kila siku,,,na la tatu,ufanye mapenzi na kiti,,,
,,,mganga hapana,,!,niko tayuari kufanya jambo la tatu,lakini kiti ndio nani,,?
,,,kiti ndio mimi mganga wako,uko tayari,,?,kwa ishara ya kichwa aliitikia Sablina ambapo mganga alifurahi sana kisha akamwelekeza aende kwenye kijumba Fulani cha udongo kilichokuwa sio mbali sana na eneo hilo,,,

Basi Sablina bila ya kupenda alikwenda na kuingia kweny ekijumba alichoelekezwa kisha moja kwa moja kwenye kitanda aliekea na kujilaza juu yake,,,dakika chache mganga naye aliwasili kwenye kijumba hicho ambacho hakikuwa na kitu kingine zaidi ya kitanda cha miti chenye godoro la Sufi,,,

Basi taratibu mganga naye alitoa shuka lake na kubakia na bukta fupi iliyoonyesha jinsi gani mtalimbo wake ulivyosimama,,,usiipe kazi mizimu,toa nguo kabisa,,,aliongea hivyo mganga ambapo Sablina alianza kuvua nguo zake zote na kuzitupa chini,,basi juu ya kitanda Sablina alijilaza chali na kujipanua mapaja yake yaliyonona,kiukweli hakupanda kufanya kitendo hiko Lakini hakuwa na jinsi zaidi ya kukabiliana nalo,,

Basi mganga alimalizia kukitoa kibukta chake na kuuacha mtalimbo wake uliosimama kwa hamu,kulikuwa hakuna kuandaana wala kushikana,Mganga alipanda juu ya mwili wa Sablina na kumpanua vizuri mapaja kisha taratibu akauelekezea mtalimbo kwenye kitumbua na kuusukuma uingie,,kama unavyojua usipomwandaa mwanamke kinachopfuata ni maumivu,hakuwa n ajinsi Sablina zaidi ya kuvumilia maumivu jinsi mtalimbo huo ulivyokuwa unaingia taratibu na kumchubua,,,

,,mmh,naumia jamaniiii,,aaaah,,mmmh,,,alilalamika Sablina baada ya kuhisi maumivu ya mchubuko yalitokana na ukavu wa kitumbua chake kitu ambacho Mganga aliona ni cha kawaida tu,kanakwamba alijiziba masikio kwa kuweka pamba kwani aliendelea kumsugua Sablina kwa kasi,,

Zilipita dakika kumi na tano,Sablina ili asiendelee kuumia ikabidi avute taswira kama yuko na Sonki kitandani ambapo taratibu kitumbua kilianza kuwa laini,maumivu yakaanza kupungua ambapo utamu ulianza kuja,,aaaah,,,aaaah,,oooooouuuusssshhiiiiiiiii,,aaaaaah,,,,ooooh,,,,alianza kulalamika kwa kuhisi utamu huku naye akizungusha kiuno chake

Mganga alikuwa anamsugua Sablina kama ndio hatopata tena kitumbua,ilionekana kama yupo kwenye mashindano kwa kasi aliyokuwa nayo,,,,mmmh,,aaaaah,,,aaaah,,,aaissssssss,,,aaaah,,alilalamika Sablina huku akizidisha mautundu ya kuzungusha kiuno,alipomwangalia mganga,macho yake yalikuwa yamefumba kama mtu aliyesinzia

Lakini ghafla mganga alichomoa mtalimbo wake haraka na kujiweka pembeni,ilibaki kidogo Sablina aulize kwanini Mganga amemwacha bila kumalizia hako kamchezo,,,inatosha,mizimu yangu imeridhika kwa zawadi tamu uliyowapa, hivyo waweza kwenda,,,aliongea hivyo mganga huyo ambapo Sablina alichukia usoni mwake kwani mchezo ndio ulikuwa unanoga halafu mganga anamletea habari za ajabu,,Hakuwa na jinsi Sablina zaidi ya kuondoka kwenye chumba hicho ambapo safari ilikuwa moja kwa moja nyumbani kwake

Masikini wa mungu Sablina aliporudi nyumbani kwake alipitiwa na usingizi mzito ambapo ilimjia ndoto ya ajabu,aliota yule mganga aliyefanya naye mapenzi muda si mrefu uliopita ndiye amekuja hapo chumbani kwake kuendeleza mchezo,kwenye akili yake alijua ni ndoto kumbe ni mambo ya kweli yanayomtokea,na hakuwa yule mganga halisi aliyefanya naye mapenzi bali mizimu inayotumia mwili wa mganga,,,

Safari hii mganga hakuwa kama mwanzoni,alimtoa nguo zote Sablina na kumbakiza kama alivyozaliwa,akamtanua mapaka na kuanza kukinyonya kiarage chake kilichokuwa bado kimesimama kikiashiria hamu bado ipo,haikuwa kazi kwa mganga huyo kukitafuta kiarage cha Sablina kwani alipopenyeza ulimi wake alikigusa na kuanza kukisugua na ulimi taratibu ,,,,aaaah,,, ooooh,,,,, uuuuh,,,, aaaaaaaaaaaaaah,,, aaaaissssssssssss,,, akiwa usingizini alilalamika hivyo Sablina na kuzidi kujipanua mapaja yake

Wakati Sablina anaendeleza kamchezo na mganga,kwa upande wa Sonki mambo yalikuwa sio mazuri hata kidogo,siku hiyo majira ya mchana baada ya kuzunguka huku na kule kumtafuta Celline mpenzi wake,aliamua arudi kijijini kwao TAMUNI ambapo alipomweleza Lina haikumwingia akilini hata kidogo
,,,Sonki,tafadhari,najua ukienda huwezi kurudi,nakutegemea sana Sonki,,,
,,,najua Lina,lakini nina uhakika TAMUNI siwezi kukosa suluhisho,,,
,,,basi twende wote kisha tukipata suluhisho tutarudi tena,,,
,,,hapana we baki hapa,niamini nitarudi,,,
,,,nakuomba Sonki tafadhari,ningeweza kutafuta mtu mwingine akaziba pengo lako lakini ukiwepo wewe sijui kama una bahati gani,maana wateja watajaa hasa,,,
,,,haya kama uniamini twende wote,tukifika huko nitakwambia kwanini nikipika mimi Supu inakuwa Tamu,,,

Kwa kutumia usafiri wake Lina alimpeleka Sonki mpaka kijijini TAMUNI,walipofika walipokelewa vizuri ambapo breki ya kwanza Sonki baada ya kuonana na mwenyekiti ilikuwa ni nyumbani kwake,aliingia ndani n akujilaza kitandani,kiukweli hakuna alichokumbuka zaidi ya sura ya Celline kwani katika maisha yake hakuwahi kufanya mapenzi na mwanamke mwingine zaidi ya Celline ndani hiko chuma

Akiwa amelala,mara alishtuliwa na hodi iliyobishwa ambapo kabla hata hajaitikia tayari mtu alishapitiliza mpaka ndani,alikuwa ni Tibuta yule mwenye kazi maalumu ya kupokea wageni katika kijiji cha TAMUNI,,,
,,,pole sana ndugu yangu,na karibu tena nyumbani,,,
,,,ahsante,ndiyo hivyo tena maisha tu,,,
,,,lakini kaka hilo sio tatizo kubwa TAMUNI,Celline atarudi tu kwa uwezo wa BINTI MSAFI wala usijali,,,
,,,ndio maana nimerudi ili nikamuone,,,
,,,hilo limeisha,sasa kaka uko tayari kunisikiliza na mimi,,?
,,,kwanini hapana,,?,nakusikiliza,,,
,,,yule uliyekuja naye,hanifai,,?
,,,Tibuta,unamtaka kweli,,?
,,,ndio,nifanyie maarifa kaka,,,
,,,haya usijali,ngoja hili liishe,,,

Katik akijiji cha TAMUNI kulikuwa n amwanamke aliyeitwa BINTI MSAFI,kazi yake kubwa ni kusaidia matatizo mbalimbali yawapatayo watamuni,hata liwe la namna gani huwa analisuluhisha,anaitwa msafi kwasababu kila muda utamkuta msafi mwenye kunukia vizuri,alikuwa ni Mrembo hasa kuliko wasichana wote wa TAMUNI

Yalipofika majira ya usiku wa saa tatu na nusu Sonki akiwa na Tibuta wameketi nyumbani hapo kwa Sonki,kutokana na ushawishi mkubwa wa Tibuta,Sonki alimpigia simu Lina na kumwita kanakwamba ana shida naye,alipofanya hivyo Sonki aliondoka na kwenda nyumbani kwa Tibuta ambaye alikuwa anaishi peke yake na kujipumzisha huko

Basi Lina alitoka kwenye nyumba ya mwenyekiti wa kijiji cha TAMUNI alikopokelewa vizuri na kupewa chumba cha kulala,moja kwa moja alielekea mpaka nyumbani kwa Sonki,alipofungua mlango aliingia ndani na kuubana kabisa,alichohisi kwenye akili yake atamkuta Sonki ili wavunje amri ya sita,ile kugeuka anamkuta Tibuta,,

,,,karibu Lina,usishangae,nahitaji kuongea na wewe ndio maana nikamwambia Sonki akuite, isingekuwa rahisi kukueleza yote kwenye simu,,Lina aliishusha pumzi ndefu kisha kwa uwoga alikuja na kuketi pembeni mwa Tibuta ,,anhee, nakusikiliza unasemaje,,?,,lilikuwa ni swali zito kwa Tibuta aliyeshikwa na kigugumizi cha ghafla katika kujielezea,,,sikiliza Lina,ujue maneno mengi hayavunji mfupa,walisema wahenga,nimetokea kukupenda sana,na nahitaji niwe na wewe,,,Tibuta aliongea hivyo huku akimkazia macho Lina ambapo mkono wake wa kulia tayari alishauweka usoni mwa Lina na kuanza kumpapasa mpaka kichwani kwenye nywele zake,

,,,mbona imekuwa ghafla hivi,ukizingatia hatujuani vizuri,,?,,alihoji lina huku akimwangalia Tibuta
,,,kama kujuana tutajuana tu,kikubwa unipe hiyo nafasi ya kuwa karibu na wewe ili tujuane vizuri,,,
,,,una uhakika na unachokisema,,?
,,,ndiyo,namaanisha ninachokiongea,niamini Lina,,,
,,,nipe muda wa kulifikiria hilo,,,
,,,hakuna shaka,kwani nahitaji jibu ambalo hata wewe pia utakuwa na uhakika nalo,,,
,,,sawa,,,Maongezi yao yaliishia hapo ambapo Lina alipotaka kuondoka,Tibuta alimzuia
,,,kuna nini Tibuta,,?
,,,naomba nikuombe kitu,,,
,,,kipi hicho,,?
,,,nikubusu,,,
,,,wapi,,?
,,,popote utakaponichagulia,,,Lina aliunyoosha mkono wake na kumpa Tibuta ambaye alichukua na kuubusu kisha Lina akaondoka na kurudi nyumbani kwa mwenyekiti

Asubuhi na mapema Sonki akiambatana na Tibuta na baadhi ya vijana wengine wa kijijini hapo,walielekea mpaka kwa BINTI MSAFI ili kujua hatima ya Celline itakuwaje,,,basi njiani walikuwa wakiongea na kucheka kwa furaha ambapo vijana wengi walionyesha kutamani kwenda mjini
Kazi ya Binti Msafi ilimfurahisha Sonki aliyekuwa haamini kama Celline tayari yuko nyumbani hapo kwa Binti Msafi,,,

,,,tumekuja Binti Msafi,mambo yameendaje,,?
,,,hakuna kinachoshindikana kwangu kwa uwezo wa ninayemwabudu,,,
,,,unataka kuniambia,,
,,,Celline yuko ndani,,,Sonki alikatishwa kauli na Binti msafi aliyesema hivyo
Hakuamini pale Celline alipojitokeza mbele ya macho yake akiwa katika mavazi yaliyofanana na Binti Msafi,,,Celline,!

USIIKOSE SIMULIZI INAYOFUATA

Umeyaona Matangazo?
Yabonyeze Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni