Sehemu ya Ishirini na Moja, aliyefanya naye mapenzi, kwa uwezo wa, moja kwa moja, nyumbani hapo kwa, sablina zaidi ya, zaidi ya, baada ya, binti msafi
Zephiline F Ezekiel
MUUZA SUPU (21) Jina: MUUZA SUPU Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA ILIPOISHIA... Kilichotokea baada ya kumkosa Sonki hata kwa kumloga,alirudi tena kwa mganga n akutaka kumloga tena kama inawezekana,Lakini mganga alisema si jambo rahisi kumloga tena Sonki,Sablina alilazimisha sana apewe tena dawa ya kumpumbaza akili Sonki ili aendelee kufurahia mapenzi naye lakini ikashindikana,,, Baada ya kuona kumloga tena Sonki imeshindikana WAKATI UNAFUNGUA KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE WALAU KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA KAMA UPO NJE YA APP INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI 👉GUSA HAPA👈 SASA ENDELEA... Sablina aliomba hata ampe adhabu mwanamke ambaye yupo kweny emoyo wa Sonki,katika harakati za kupiga Ramri,yaani kuangalia ni nani aliye moyoni kwa Sonki,ilitokea Sura ya Celline,na alipoulizwa Celline anataka nini kitendeke kwa Celline akamnenea awe chizi,ndio maana Celline wa watu ukamkuta uchizi katika hali ya kustaajabisha Baada ya siku tatu Sab…