Mwandishi: MoonBoy
SEHEMU YA HAMSINI NA SABA
ILIPOISHIA...
ILIPOISHIA...
Alipofika getini alibonyeza alamu, Mlinzi alitoka akafungua mlango kisha chidi akaingia, mana anajulikana na sio mara ya kwanza kuingia hapo…
Ikiwa ni mida ya saa moja kasoro hivi za jioni,..
KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI
SASA ENDELEA...
Katika nyumba hio hapo getini kuna kamera zilizopeleka sistimu mpaka ndani pale sebuleni, sasa jasmini na mdogo wake chidi ambae ni halima waliona kupitia kamera,…
Chidi alimwona halima akimkimbilia huku shemeji mtu akifuata kwa nyuma kwa mwendo wa bata,.. UNAUJUA MWENDO WA BATA WEWE??? CHEZEA MWENDO BATA WEWE???…
Sasa chidi akiwa kambeba mdogo wake, alikua akitoa macho kwa mwendo wa shemeji yake aliokuwa akija nao,.. Chidi aliinamisha kichwa chidi ili asionekane kuwa na tabia mbaya, tena shemeji alikuwa kavuta tabasam zuuri kabisa..
"waaooo shem langu mambo"
Alianza salamu ile ya kukumbatiana (Hugg) chidi alimweka mdogo wake chini kisha akamkumbatia shemela wake, lakini lilikuwa ni kumbatio liliompa shida kijana chidi, kawaida ya mikumbatio hua mwanamke anajitahidi kifua chake kisimguse mwanaume katika kifua chake, lakini kwa jasmini ilikuwa kama makusudi mno, mana hata jasmini hakuvaa nguo nyingi sana na wakati huo kaka mtu alikuwa bado hajaja kutoka kazini…
Chidi alijibandua katika mwili wa shemeji yake, mpaka jasmini alitaka kuanguka, mpaka hapo tunasema jasmini keshampenda kijana chidi, sema anashindwa kusema mana chidi akikataa itakuwa ni aibu kwa jasmini,..
Basi waliingia ndani, kisha jasmini akampigia mume wake simu kiwa chidi amekuja
"haloo baba king"
"eee halo mke wangu"
"mdogo wako kaja"
"weeeeee acha utani"
"ndio… Kaja sasa hivi"
"Ok…sasa malizana nae, we mwambie tunataka aishi hapo, mimi nitachelewa kidogo, lakini hakikisha anakubali kuishi hapo"
"sawa mume wangu, ila hicho chuo tunachotaka kumpeleka vipi umeshakipata"
"aaahhh tayari na kulipa nimeshalipia kwa mwaka"
"safi sana, sasa we niachie mimi"
Aliongea jasmini huku akijigamba kwa hali na mali, ila wakati huo alikuwa chumbani kwake…
"sawa mke wangu"
Simu ilikata kisha mama king alianza kuangalia baadhi ya nguo za kuvaa vizuri, kana kwamba hizo alizovaa sio heshma mbele ya shemeji yake…
Wakati huo kijana chidi alikuwa akicheza na mdogo wake pale sebuleni, yaani halima akimuona chidi anafurahi sana mana anamjua kuwa huyo ndio kaka yake aliokuwa akimuona miaka yake yote, ila Ibrahim alikuwa akimsikia tu kwasababu Ibrahim aliondoka wakati halima ni mdogo sana,..
Wakati huo huku kwa jasmini aliingia bafuni kisha akaoga na kutoka, lakini cha ajabu alizivaa zile kanga za mama saimoni, zile kanga za kimaskini afu mbaya zaidi ile nguo ya ndani alioga nayo na hajaikamua wala nini, hivyo alivyotupia ile kanga iliokuwa nyepesi mithili ya mtandio,… Ile kanga ilimganda mwilini kutokana na maji maji ya mwili, chidi hakuamini kuona shemeji yake akiwa katika hali kama hio… Chidi anakumbuka siku ile alilazwa chumba gani,.. Alipokumbuka hilo hakuendelea kukaa hapo mana hata hivyo asingeliweza kuondoka kwakuwa tayari ni usiku,..
Chidi alienda chumbani kwake moja kwa moja mpaka bafuni, mana nyumba za kitajiri hua kila chumba kina bafu lake na choo chake,.. Chidi alioga fasta kisha akatoka na kujifuta maji, mara shemeji alikuja tena
"shem mbona umekimbia pale na nilikuwa nataka kuandaa chakula"
"haina shida, kikiwa tayari nitakuja, au utamwambia house girl aniletee huku"
"sawa… Ila ni maagizo kutoka kwa kaka tako"
"maagizo gani tena"
Sasa jasmini akakaa kwenye kisofa kilichopo chumbani gapp tena akiwa kavaa vile vile, tena huenda hata pale kwenye sofa atapaweka maji, mana chupi ilikuwa mbichi sana,.. Yaani alizidisha mitego…
"kaka yako anataka uishi hapa"
"ati nini"
"chidi, msamehe kaka yako, anaomba radhi juu yako"
"siwezi, nina chumba changu hivyo kuishi hapa ni ngumu"
"chidiiiii, kumbuka huyu ni kaka yako eti, kwanini una hasira na damu yako, kama angelikuwa anakuchukia asingekutuma ukamlete halima"
"ni kweli, mimi sikatai ila nuna chumba changu"
"tafuta mtu akae huko"
"hapana… Siwezi"
"chidi… Mimi ni nani wako"
"shemeji yangu"
"naomba uniheshim kama shemeji yako"
"sawa nakueshim shemeji yangu, ila hilo swala la kuishi hapa kiukweli sidhani"
"naomba,.. Please kwa niaba yangu naomba uishi hapa"
Shemeji mtu alitoka pale na kwenda alipokuwa chidi, tena ni kitandani,
Lakini kabla hajafika kwa chidi, ghafla mlango uligongwa, Jasmini akamwambia chidi kuwa
"muulize ni nani"
Chidi nae hakunyamaza, aliuliza kama alivyoambiwa,
"nani"
"joy… Kaka chakula tayari"
"sawa nakuja"
Chidi alimaliza nafasi yake ya kuuliza kisha akamuuliza jasmini kuwa
"huyo joy ni nani"
"ni house girl…. Vp ushampenda"
Shemeji alimuuliza kwa mtego mtego,
"bado sijamuona, so nikimuona naweza kumpenda mana hata mimi ni mwanaume"
Jasmini kuskia hivyo alisisimkwa na mwili mzima,.. Huku macho yake yakifumba kiuchokozi,..
"basi mi nakuletea mwenyewe hicho chakula,.. Tena ngoja nikufutie meza"
Jasmini alianza kufuta meza ile ili akalete chakula, lakini huo mtindo aliokuwa kainama, ulikuwa unamtesa sana chidi, chidi alikuwa akijifanya anachati lakini akili inamnyooshea kule kule tu,…
Chidi alijifunika mpaka blanketi ili tu asiangalie, jasmini alipoona hivyo alimfuata chidi pale pale huku akimwambia
"shem kuna kitu nataka nikuambie"
Aliongea jasmini huku akiwa juu ya kitanda,… Kiukweli jasmini alikuwa anataka kugusa asali yake hata sasa hivi yaani kama ni kumuwasha, hakiyamungu vile jasmini zinamuwasha haswa,…
Sasa chidi akaamka na kukaa huku shemeji akiwa kwa pembeni,..
"Enheee, unataka kuniambia nini"
"inaonekana wewe sio rijali shem… Tena Utakuwa mgonjwa wa naniii"
Jasmini aliongea huku akiangalia chini kwa aibu ya maneno alio yaongea mbele ya shemeji yake,… Sasa chidi kabla hajamjibu, akaona ile kanga imefunuka kidogo na ile chupi ikaonekana,… Heeeee kiugonjwa cha chidi,.. Saa Ngapi zakaria haijaanza kushtuka huku chini… Chidi akaishika kisha akataka kujifunika tena blanketi… Lakini kabla hujajifunika,.. Jasmini alilishika lile blanketi kisha akasema
"lakini shem si nimekuuliza jamani, nijibu basi niende"
Ama kweli manfongo kaleta balaa, na sio kitu cha uongo bali ni kweli hii ni Hainaga Ushemeji,… Jasmini alipomwona kijana chidi kwa mara ya kwanza kule stendi alitokea kumpenda ghafla tu, hivyo alikuwa anatamani aishi hapo nyumbani ili ile nyimbo ya Hainaga Ushemeji ichukuwe nafasi yake,.. Na Jasmini alikuwa ni mwanadada aliojaaliwa kwa namna zote, sio shepu sio sura vyote vipo sawa, Kijana chidi yeye alikuwa akimueshim sana Shemela wake, ila kama shemela ndio analeta swaga za Hainaga Ushemeji, basi hana budi kukubaliana nalo ila kwa maringo ya kijana chidi sidhani kama jasmini atafanikiwa kuwa na shem wake,.. Jasmini alimtega kishemeji chake hicho lakini kama vile alikuwa anagonga mwamba, hivyo akaamua kutumia njia ya kumzarau kupitia viungo vyake, mana asilimia kubwa ya mwanaume alie rijali haswa, hua akiambiwa hana nguvu au anazo lakini hawezi kuzitumia, hua inamuuma sana mwanaume, lakini mbali na hayo kijana chidi yeye akiambiwa kuwa yeye sio rijali hua anakasirika sana yaani hata kama ni dada yake yupo tayari kufanya nae mapenzi ilimradi tu asimzarau,..
"lakini shem si nimekuuliza jamani, nijibu basi niende"
Aliongea jasmini au mama king, na wakati hua alikuwa akiangalia chini kwa aibu huku chidi akimwangalia sana shemeji yake,…
"ndio, mimi sio rijali, kwani vipi"
"aahhh basi nilitaka tu kujua, lakini we muongo"
Jasmini aliongea hivyo kisha akawa anaamka kwa mitego huku akijibinua binua kimapenzi,.. Chidi alikuwa akiumia lakini atafanyeje ni shemeji yake hivyo hawezi kufanya kitu,..
Sasa jasmini alipokuwa anajifunga kanga vizuri, alikuwa akifanya kusudi kumwonyesha chidi chupi yake,… Chidi alijifunika blanketi kabisa huku zakaria yake ikiwa imesimama haswa,.. Sasa jasmini kuona chidi kajifunika na hakuwa akiona kinachoendelea,
"huyu mtoto nikimlegezea simpati, na hivi kalivyo kahensam hivi, nikikaacha nitapata dhambi afu mwenyewe keshasema akimuona House Girl atampenda tu, sasa kabla ya House Girl kwanza nianze mimi…. Naomba tu mume wangu asije sasa hivi"
Jasmini alijisemea kimoyomoyo huku akikisogelea kitanda cha chidi,… Yaani jasmini hakuwa na subira hata chembe,.. Sasa jasmini kuina chidi alikuwa haoni kwasababu alijifunika blanketi, jasmini alimdandia chidi mgongoni kisha akamuinamia pale shingoni na kumwambia chidi kuwa
"mimi ni shemeji yako tu,… Mimi ni halali kwako hata kama nimeolewa na kaka yako,.. Nakuruhusu ufanye chochote katika mwili wangu,… Sheeeeeeemm, Naomba tuishi wote kwenye hii nyumba, please,.. Mi nataka chupi yangu ivuliwe na watu wawili tu, wewe na kaka yako tu basi"
Alipomaliza kuongea, alilifunua blanketi kwenye kichwa kisha akamwingizia chidi ulimi wa skioni
"sssiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Aiiiiiiiiiiiiiiii"
Chidi alipiga ukelele wa utamu kwa kuingiziwa ulimi wa skioni,..
"pole shem wangu"
Aliongea jasmini huku akiwa kakaa juu ya mgongo wa chidi, na hata chidi hisia za maprnzi zilianza kumuingia, mana mpaka kukubali kukaliwa juu ya mgongo na shemu wake,… Jasmini alikuwa ana makalio malainiiiiii kana kwamba hata chidi alikuwa akijiskia furaha sana kwa kukaliwa mgongoni,…
"shem"
Aliita kijana chidi, kana kwamba alimuita jasmini tena kwa upoleee
"abeee shem"
"naomba uondoke muda huu"
"kwanini lakini shem, kwanini hujui anaekupenda"
"wewe ulishapendwa na kaka yangu"
"sawa sikatai, lakini nahitaji utamu zaidi ya kaka yako,… Nimeona kuliko nitoke nje, bora wewe, mana hata kaka yako akifa wewe si ndio mrithi wake au?"
"kwa leo sitaki labda siku nyingine"
Chidi alionekana kukubali lakini sio kwa siku hio
"Eti eee,… But swala la kuishi hapa vipi"
"nitakuwa nalala tu, ila asubuhi nitaondoka zangu na kurudi jioni"
"ok… But kuna chuo tumeshakutafutia, kama vipi ukasome"
"Ati nini?? Yaani mimi nimeshajua hela leo unipeleke chuo"
"mmmhhh hio ya chuo ni ya kaka yako, yangu ni kunikubalia tu, hivyo kwangu umekubali sasa kwa kaka yako ukubali usikubali mtajuana wenyewe.. Ngoja nikuletee chakula baby"
Jasmini aliongea mengi kisha huyoo akaenda kuleta chakula,.. Lakini jasmini alikuwa na furaha kubwa sana juu ya kukubaliwa kushiriki tendo la ndoa na shemeji yake….
KESHO YAKE MIDA YA SAA MOJA HIVI ASUBUHI
Chidi akiwa anakunywa chai na kaka yake katika meza moja,
"chidi mdogo wangu, binafsi naomba unisamehe kwa yale niliokufanyia kipindi cha nyuma, najua nilifanya vibaya sana kutokukujali kama ndugu yangu na hatimaye nikakufukuza mpaka kazini,nisamehe ndugu yangu"
INAENDELEA...
Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi