MUUZA CHIPS (58)

0
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA HAMSINI NA NANE
ILIPOISHIA...
"chidi mdogo wangu, binafsi naomba unisamehe kwa yale niliokufanyia kipindi cha nyuma, najua nilifanya vibaya sana kutokukujali kama ndugu yangu na hatimaye nikakufukuza mpaka kazini,nisamehe ndugu yangu"

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
Ibrahim aliongea mengi sana kwa kumuomba msamaha mdogo wake

"mimi mbona nilishakusamehe muda tu"

"nashukuru sana, na kwa sasa nataka uende chuo"

"kwa upende wa chuo mimi siwezi kwenda, kwasababu tayari nimeshajua jinsi ya kutafuta pesa, hivyo sintoweza kusoma, mtapoteza pesa zenu tu"

"kwani kwa sasa unaendelea na kazi gani"

"bado nakaanga chipsi"

"hio kazi haikufai chidi,… Nataka nikakuweke ofisini kwangu, uwe badala yangu mimi"

"jambo kama hilo linahitaji kufikiria zaidi kwasababu tayari nimeshapata kazi tena ndio nimeanza jana tu"

"ok, wewe endelea na kazi yako, kama kusoma hutaki, ila jambo la kufanya kwa sasa ni kuja karibu yangu, kwenye kampuni yangu kuna nafasi moja ya juu, na hio ni spesho kwa ajili yako"

"nahitaji kufikiria sana"

Basi kaka na mdogo mtu wakiwa wanabadirishana mawazo ya hapa na pale kwa ajili ya maisha yao ya baadae japo Ibrahim tayari keshafanikiwa kimaisha,…

Chidi aliondoka zake kuelekea kazini, kwani yeye anaruhusiwa kuingia saa mbili asubuhi, ila wengine hawakupewa ruksa hio, na nafasi hio chidi alipata kwasababu aliletwa na boss, yaani kaletwa na mama sarah, hivyo akapewa nafasi hio pia kutokana na uprofesheno wake,.. Mana kijana chidi tayari keshakubalika katika hoteli hio baada ya kukaanga chipsi nzuri kwa mara ya kwanza.. Chidi alifika kazini na kuweka Eploni yake mahari na kuendelea na kazi

Tukija huku kwa mama sarah akiwa yupo njiani kuelekea moshi na siku hii ya leo alikuwa peke yake katika gari, kama unakumbuka mama sarah alishindwa kuitumia njia ya kwanza ya kuweza kuzipata mbegu za kijana chidi, hivyo anarudi kwa mganga ili apewe njia nyingine..

Mama sarah alikuwa na mawazo mengi sana juu ya kumkosesha chidi nguvu zake na yote hio ni kwasababu aliahidiwa bilioni moja kama atafanikiwa kuifanya kazi hio,..

"chidi wangu, utanisamehe sana mana nimekuja mjini kwa ajilo ya pesa,.. Naangalia pesa kwanza, mapenzi baadae"

Mama sarah aliongea hayo akiwa peke yake,..

Dakika kadhaa mbele mama sarah ndio anaingia kwa mganga tena akiwa ana shauku ya kuijua hio njia ya kufanya ili aweze kuipata hiyo bilioni moja,….

"karibuuuuuuu"

Aliongea maganga huyo huku akimwandalia mteja kiti chake

Tukija huku hotelini kwa akina miriam, chidi akiwa yupo ndani jikoni akiwa anapiga stori na rafiki yake saidi,..

"ivi saidi umefikaje hapa, mana hii hoteli ni kubwa katika jiji hili afu ghawtu upo huku"

Chidi alimuuliza rafiki yake kuwa kufika fikaje hapa

"unamuona yule mama boss mwenyewe"

"aaahh yule mama"

"Enhee uyo uyo… Kanikuta siku moja pale kijiweni tulipokuwepo pale kwa kaka yako"

"Enheeee"

"mama kaonja chipsi nilizokuwa napika.. Mana ulivyoondoka wewe mimi ndio nikawekwa pale,.. Mama kuonja radha ipo vizuri,… Akanivuta huku, nikamuacha kaka yako peke yake, ata sijui alimwajiri nani pale"

"duuuuu saidi una zari wewe"

"oohhh lakini we hujaniambia umekujaje hapa"

"We acha tu, kuna jimama limenipenda ambae ni boss mwenzie na huyu boss wa hapa,.. Unakumbuka hata vile vitu vya ndani siku ileee"

"Eeeeeeee nakumbuka"

"yeye ndio alininunuliaga na kunipa pesa ya chumba, ambacho wewe ndio ulikitafuta mwenyewe"

"nakumbuka sana tuuu"

"basi huyo ndio kanileta hapa,.."

"huyu mama ana mtoto mkali, Heeee yaani ukimuona tu unasisimkwa, na hapo hajakugusa"

"ah ah saidi, fanya kazi kwanza wanawake achana nao"

"eeeee kwani naweza kumpata sasa?"

"najua huwezi lakini mawzo yatahamia huko"

"usiwaze chidiiii, hapa ni MALENGO MBELE, STAREHE MWISHO"

"umeona eeee…. Afu side, usiniite chidi, nimebadili jina hapa naitwa Omary"

"Heeeee Tena,… Ahahahahahaha au kuna mtoto nini hutaki akujue"

"amna,… Sema broo alishawahi kuniambia nikiajiriwa mahali nisipenda kutaja jina halisi"

"aina noma Omi"

Sasa huku kwa miriam, akiwa anamuuliza mmoja kati ya wahudumu

"weeeeee eti yule mkaka mgeni yupo wapi"

"si atakuwa yupo jikoni"

"aahhh Ok sawa basi"

Miriam haijulikani alikuwa anamtafuta chidi wa nini,.. Wakati huo kijana chidi yeye alikuwa anapiga stori huku chipsi zikiendelea kuiva katika jiko,…

"skia bwana Omi, mfano we umepata jimama kama hilo,… Ivi usikute unaliangalia tu"

"sasa wataka nifanyeje"

"mchuneeeee, fanya maisha wewe, hawakawii kuwatema pale anapopata mwingine"

Sasa wakati huo chidi na saidi wakiwa wanaongea… Huku miriam alikuwa akija kumuona mpishi mkuu wa chipsi, japo ni mgeni lakini keshapewa kijicheo kidogo kidogo,.. Sasa kumbe nia yake alikuwa anataka kumpongeza kijana chidi kwa kuwa mpishi mzuri wa chipsi,. Hivyo alitaka kumpatia pesa kidogo,… Sasa ile anataka kuingia katika mlango wa jikoni huko alipo chidi, alikutana na mpishi mwinhine akiwa anatoka nje

"we mkaka samahani, Omary yupo ndani uko"

"aahhh Nadhani atakuwa bize sana"

"aaahhh ok basi"

Miriam alikata tamaa ya kwenda jikoni sasa akawa anarudi, ila alipoangalia kwa pembeni, alifanikiwa kuona Eploni ya kijana chidi, mana kila Eploni ina jina la mtu anaeivaa Eploni hio,…

"nisha nisha… Naomba kalamu na karatasi"

Miriam aliomba kalamu na karatasi kisha akaandika anachokijua yeye,… Alipomaliza aliifuata ile Eploni ya kijana chidi kisha akafungua zipu kwenye mfuko wa Eploni hio,…. Kumbuka kwenye Eploni ya chidi kuna chupi ya sarah ambayo kama unakumbuka aliichukuwa kule kwake na akakosa muda wa kuihifadhi mahali, hivyo akaja nayo huku kazini,… Sasa miriam ndio anakwenda kuiona…

"aahhh kaweka nini humu"

Aliongea miriam huku akikitoa kitu hicho

"aaahhhh hiki kitambaa ni cha nini huku…. Heeeeeeee mbona ni chupi hiii"

Aliongea kwa mshangao huku akichukuwa ile Eploni, na kuangalia ile chupi kama ni kweli ni yenyewe au macho yake

"heeeeeeee… Afu mbona kama naijua hii, mungu wangu"

Miriam alivuta kumbukumbu siku anaiona hio nguo ilikuwa hivi…. Wakati wakiwa na sarah kitandani, tena ilikuwa ni ule wakati wanafanya yale mambo yao ya kike kike, yaani walikuwa wanashea penzi wao kwa wao..

"mmhhhh sarah chupi yako ina rangi nzuri"

"bwana we miri, nivue tuendelee bwanaaa"

Miriam alikumbuka kitu kama hicho,.. Sasa akawa anatafuta simu yake ili ampigie sarah kuhusiana na hilo..

NATANGULIZA SAMAHANI KWA WAHUSIKA WALIOTAJWA HUMU…

Sarah na miriam ni marafiki walioshibana haswa, yaani wanekuwa kama ndugu, kwani wanaishi pamoja mara kwa mara, licha ya kuishi pamoja pia wamesoma wote shule moja, iitwayo IRINGA GIRLS SEC SCHOOL, na baadae kufaulu mpaka kufikia Chuo cha Dodoma ( UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM)..) na pia huko walisoma pamoja tena wakiwa bweni moja yeye na sarah wake,.. Lakini kama unavyojua mschana jinsi anavyokuwa basi hua ni muhitaji sana wa vitu vingi, haswa katika hisia za mapenzi,.. Lakini kule IRINGA kuna katabia flani hivi walitojana nako kwani hakukuwa na wavulana, bali ilikuwa ni shule ya wasichana tupu, nadhani inafahamika hio IRINGA GIRLS SEC SCHOOL, Katika kukua kwao walitamani sana kushea mapenzi na wavulana, but kutokana na kuwa walikuwa wakiishi bweni moja, basi kulikuwa na vishawishi vya hapa na pale, ambavyo viliwapelekea katika hali ya kusisimuana baina yao wenyewe, na kujikuta wanaingia katika moja ya tabia za kusagana

Sasa baada ya wao kuanza tabia hio wakiwa shule ya sekondari tena ya bweni, hivyo walipofaulu wote kwenda UDOM walienda na katabia kao, hivyo kwakuwa kaliwanogea vilivyo, hawakuweza kutamani hata mwanaume, yaani mwanaume kwao ilikuwa ni sumu, tena walipokuwa wanawaona wasichana wenzao wakuwa na wavulana basi huwachukia sana,… Katabia hako walimaliza nako chuo mpaka kufikua uraiani, kana kwamba wameshahitimu elimu zao za vyuo vikuu,.. Kila mtu alisoma fani alioitaka yeye mwenyewe lakini kutokana na kazi za wazazi wao kuwa tofauti na fani zao, hivyo walijikuta wanaigilia fani ama biashara za wazazi wao,.. Miriam akawa Meneja, ama Keshia au Boss wa pili kutoka mama yake,.. Na kwa sarah napo kilikwenda hivyo hivyo kama kwa miriam,.. Lakini wawili hao bado hawakuweza kuachana kutokana na upendo wao na pia upendo wa wazazi wao ambao ni Agnes na Grace, nao pia walikuwa kama watoto wao jinsi walivyo kwa sasa,… Kwakuwa hata huku majumbani mwao walikuwa wanalala pamoja, hivyo kale katabia kalikuwa kanaendelea kufanyika, huku wakuwachukia wavulana, kana kwamba hawatoweza kuwapa raha kama wanaojipa wao wenyewe…. Tabia hio iliwafanya kila mmoja agundue kuwa leo mwenzangu kanunua chupi mpya, mana walikuwa wakivuana wenyewe,… Hivyo usishangae miriam kuijua chupi ya sarah mana walikuwa wakiishi kihisia wao wenyewe…

SASA TUENDELEE NA PALE TULIPOISHIA, KWANI HAKO KALIKUWA NI KASTORY, ILI UJUE KWANINI MIRIAM KAIJUA NGUO YA NDANI YA RAFIKI YAKE,… HIVYO NADHANI MPAKA HAPO HUTOKUWA NA MASWALI JUU YA HILO….

"heeeeeeee… Afu mbona kama naijua hii, mungu wangu"

Miriam alivuta kumbukumbu siku anaiona hio nguo ilikuwa hivi…. Wakati wakiwa na sarah kitandani, tena ilikuwa ni ule wakati wanafanya yale mambo yao ya kike kike, yaani walikuwa wanashea penzi wao kwa wao..

"mmhhhh sarah chupi yako ina rangi nzuri"

"bwana we miri, nivue tuendelee bwanaaa"

Miriam alikumbuka kitu kama hicho,.. Sasa akawa anatafuta simu yake ili ampigie sarah kuhusiana na hilo..

Miriam alikuwa akijisachi katika gauni lake refu ambalo ukiangalia sana utajua umbo lake lakini ukigusia jicho hutoweza kugundua umbo Amaizing la mtoto huyo,

"aahhh lakini naweza kufanya kitu cha Kijinga,.. Mbona Omi ni mtoto wa kiume na hawezi kukosa mpenzi,.. Na nguo zinafanana, sasa kwanini niumize kichwa changu na wakati utakuta anampelekea mpenzi wake"

Miriam aliongea hivyo huku akiirudisha ile nguo katka ule mfuko wa Eploni ya kazi,

Hivyo miriam jagundua ile nguo ni sapraizi ya demu wa Omi,.. Sasa hivi chidi anaitwa omi, mana kabadiri jina baada ya kuingia katika hoteli hiyo…

Miriam alipata maandishi mengine ya kujazia kwenye kile kikaratasi alichokuwa anamuekea chidi kwenye Eploni yake, huku akiwa kashika kitu kama laki mbili kama zawadi ya mpishi mzuri kuingia katika hoteli yao,… Ujumbe huo aliuambatanisha na pesa kisha akaiweka pale pale kwenye ule mfuko kisha akaondoka zake…

Tukija huku kwa mama sarah, kama unakumbuka alikuja kwa mganga ili kupewa njia ya pili kwa ajili ya kupata mbegu za kijana chidi, mana kuna kijana anaetakiwa kurudishia nguvu za kiume kupitia mbegu au nye***e za chidi,….

"Karibuuuuuuu"

Aliongea mganga huyo huku akiandaa kiti cha mteja wake ambae ni mama sarah,… Mama sarah bila woga alikaa katika mkeka maalumu kwa ajili ya kukalia wateja,…

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)