MUUZA CHIPS (59)

0
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA HAMSINI NA TISA
ILIPOISHIA...
"Karibuuuuuuu"

Aliongea mganga huyo huku akiandaa kiti cha mteja wake ambae ni mama sarah,… Mama sarah bila woga alikaa katika mkeka maalumu kwa ajili ya kukalia wateja,…

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"najua umekoseaaaaaaa"

Aliongea mganga huyo huku akizungusha ule mkia wa ng'ombe,…

"nd.. Nd.. Ndioo dokta"

Alijibu mama sarah huku akiwa tayari kupokea njia ya pili ili kuweza kuzipata mbegu hizo,..

"hujachelewaaaaaaa… Tena ni bora umewahi kuja"

"ndio dokta"

"sasa nisikilize kwa makini mama"

"ndio dokta"

"nakupa njia ya pili na ya mwisho kwako, na ukishindwa hii, basi apewe kazi mtu mwingineeeee"

"sawa dokta, ila naamini sintokosea"

"sawaaaaaaaaaa"

Dokta huyo alikuwa ana vitu vingi sana, lakini mama alishangaa kuona boksi la kondomu likitua mbele yake,..

"toa mwenyewe pakiti moja uiweke hapa kwenye chungu"

Mganga alisema hivyo huku mama sarah akiingiza mkono katika boksi hilo na kutoa pakiti moja ambayo ndani yake ilikuwa na pakiti tatu za kondomu,..

Mganga alianza kuziombea mabinzuluza yake ya hapa na pale, kisha akamwambia mama sarah kuwa aziokote na kuziweka kwenye mkoba wake… Mama sarah alifanya kila alichoambiwa na mganga huyo,

"hizo kondomu, zina dawa maalum ambayo itafanya mbegu hizo ziwe za moto na zisiyeyuke"

Aliongea mganga kwa kujiamini sana,..

"mbona hujaweza hio dawa babu"

"kwa wewe mwenye macho ya kawaida huezi ona, maana yake ni kwamba hata yete hawezi ona,… Na hizo dawa kazi yake ni kulinda hizo mbegu tu"

"sawa babu,.. kwahio hizi kondomu avae"

"Taireeeeeee… Avae ila anatakiwa avae mbili, mana akivaa moja ikipasuka utakuwa umekosa hivyo avae mbili"

"lakini dokta, akivaa mbili atachelewa kutoa mbegu"

"hata akae masaa kumi, kikubwa uzipate tu"

"sawa dokta"

"ondoka na usiangalie nyuma… Nakutakia mafanikio mema"

Mama sarah aliondoka zake kuelekea Jijini Arusha,.. Ili aweze kupata Bilioni moja kwa ajili ya kazi hio

Tukija huku Miras Hoteli, ambako chidi alikuwa akipiga stori na rafiki yake saidi,

"wewe Omi wewe, utakula dhiki mpaka lini, eee? Kama kuna limama unalimiliki sasa kuna haja gani ya kuja kuungua na moto huku"

Aliongea saidi, lakini chidi alikuwa hamuelewi anamaanisha nini,..

"wala ata sikuelewi side"

"sikiliza omi,. Mchune mama huyo nawe uwe nazo, hao wamama hawakawii kutuacha akipata mchapakazi kuliko wewe, anakuacha tena kwa matusi"

"sasa wewe unalenga nini labda"

"omba hela wewe… Au kama kuna kitu anakipenda sana kwako,.. Siku akikitaka Linga Linga mpaka akupe pesa"

"mmmhhh afu kweli eeee"

"Eeeehhh hao hawakawii kuacha, anakuacha atakuacha mtupu huna hata senti"

"hilo wazo umelitolea wapi, mana kama limechelewa sana hilo wazo"

"sio kwamba limechelewa, wewe kuwa makini na maisha, mjini hapa… Wanasema mjini akili, nguvu peleka kwenu"

Chidi alijikuta anajazwa ujinga na rafiki yake, kitu ambacho kikikubalika ni kizuri lakini pia kikigoma, kitakuwa kibaya mno,

Ilipofika mida ya saa 11 jioni akina chidi wakiwa ndio wanafunga jiko ili waweze kuondoka zao,.. Mana chipsi zipo kwenye kabati maalumu la kuzipa chipsi joto, hivyo wale wa shift ya usiku, watakuwa wanatoa tu Oda za chipsi mana zipo tayari kwenye kabati..

Basi chidi akavuta Eploni yake ya kazi lakini leo alikumbuka kuiacha hio Eploni,.. Sasa wakati chidi akiendelea na mpango wa kutoa ile nguo kule ndani, kumbe Miriam hakuwa ameondoka na mbaya zaidi alikuwa akimuona kwa mbali kile anachokifanya kijana huyo,.. Chidi kuingiza mkono kakutana na vikaratasi vingi tu,. Chidi alishindwa kuelewa ni nani kamuekea karatasi hapo kwenye mfuko wa Eploni yake… Miriam bado anaangalia Action ya chidi inavyokwenda,..

Chidi alitoa na kukuta kuna pesa nyingi lakini hakujua ni kiasi gani, lakini aliooangalia vizuri kulikuwa na ujumbe mmoja ila umeandikwa mara mbili,.. Yaani juu ni jambo lingine na chini ni jambo lingine, lakini kaandika kwenye karatasi moja,..

Chidi aliweka Eploni yake huku akiondoka, lakini bado alikuwa na wasiwasi juu ya pesa hio alioikuta kwenye Eploni yake.. Sasa akiwa bado anatafakari pesa hio, mara Meseji imeingia kwenye simu yake,

"soma huo ujumbe usiteseke bure"

Chidi ndio alizidi kuwa na wasiwasi juu ya pesa hizo,… Na wakati huo chupi keshaiweka mfukoni kitambo tu, hivyo hio pesa ndio kimbembe,… Akaona mbona kweli anateseka bure na wakati kuna ujumbe hapo… Sasa ile anasoma tu mara simu yake ikaita,.. Kuangalia jina alikuwa ni mama sarah,.. Lakini ghafla simu zinaingiliana.. Kwenye Sikrini inaonekana mama sarah, lakini kwenye TaskBar ya simu inaonyesha jina la SHEM kana kwamba simu zimeingiliana, hivyo achague akate ipi au apokee ipi…

Chidi akiwa anaumiza kichwa juu ya pesa ambayo aliikuta katika Eploni yake ya kazi, na wakati huo chidi bado hajui ni kiasi gani cha hio pesa ambayo kaikuta katika Eploni yake,.. Lakini Miriam alikuwa karibu akiwa anamfatilia chidi, ili ajue atafanya nini baada ya kuipata pesa hio,…

Lakini punde sii punde chidi anapigiwa na mama sarah, kwa jinsi anavyompenda mama huyo, tena na vile alivyoambiwa na saidi jinsi ya kumchuna jimama, basi mpaka muda huo alikuwa anawaza mama sarah angelimpigia saa ngapi,.. Lakini pia kabla hajapokea simu hio, ghafla ikaingia simu nyingine ambayo ni ya shemeji yake,… Sasa akawa anaumiza kichwa ampokelee yupi baina yao,

"huyu shem hana swaga"

Aliongea hivyo huku akimpokelea mama sarah,

"haloo chidi mambo"

"poa niambie mamy"

"safi… Sasa chidi mi naja kwako leo nataka nilalie uko"

"aaaaahhh mamy, leo nipo kwa broo wangu"

"jamani sasa si uje jamani boy wangu"

"ooohhh ni mbali mamy"

"wapi huko mi nakuja kukuchukuwa"

"Mamy tufanye kesho"

"au chidi,.. Kesho nikuombee ruksa tuwe wote mchana"

"mmmhhh sawa mamy"

Chidi alikubali kuombewa ruksa ili ashinde na mama sarah mchana kutwa,..

Basi chidi na mama sarah walikubaliana kesho watakuwa pamoja,..

Chidi alikata simu kisha akawa anaondoka taratibu,.. Sasa kumbe alisahau kama kuna kitu cha kusoma,.. Ikabidi atoe kile kiujumbe na kuanza kukisoma

"NAKUPONGEZA KWA KAZI NZURI, HAKIKA UNAIWEZA KAZI"

huo ndio ujumbe wa kwanza kuandikwa, lakini alipoona kuna nguo ya ndani pale kwenye mfuko, ikabidi aandike tena kwa chini yake

"ZAWADI UNAYOMPELEKEA NIMEIPENDA NZURI, BUT MSIACHANE"

chidi alizidi kuumiza kichwa ni nani alioandika hivi,.. Ghafla anakumbuka kuna namba ilimtumia meseji kuwa asome huo ujumbe,.. Aliitafuta hio namba kisha akaipiga, lakini haikuwa ikipatika tena,… Na ile namba ilikuwa ni namba ya ofisi, yaani haikuwa namba ya miriam,…. Kwa hasira aliifuta kabisa mana haipatikani na hata ukituma meseji haiendi,

Chidi alikumbuka kwenda kuiweka ile nguo ya sarah geto kwake, ili asije akaenda nayo kule kwa kaka yake Ibrahim,.. Hivyo akaenda geto na kuiweka afu akachukuwa toyo mpaka kwa kaka yake,

Wakati huo mke wa Ibrahim alikuwa akimsubiri sana shemeji yake, na ukumbuke kuwa kuna muda alipiga simu ila hakuipokea, maskini jasmini kafia kwa shemeji mtu, yaani anampenda kuliko maelezo

"waaooooo sheeeem mambo"

"poa nambie"

"safi tu"

Wakati huo jasmini alikuwa kavaa dera lainiii afu limembana kiasi flani katika mwili wake, sasa ukilinganisha na hilo umbo lake, huwezi kuchoka kumuangalia jasmini alitaka denda kwa chidi lakini chidi alimkwepa na kukataa

"nini tena shem"

Aliongea jasmini huku akiwa kama anashangaa, mana jana walikubaliana leo, sasa iweje anamkwepa,…

"tulia kwanza shem"

"chidi jamani, si unajua kaka yako hakawii kuja, saa hizi ni saa moja hii na yeye anakuja saa nne au saa tatu, so please twwnde bwana"

Aliongea jasmini huku akimpapasa chidi kifuani kwake, jasmini alikua akizichezea gaden Love za chidi… Basi chidi taaratibu alianza kulainika huku akiingiziwa vidole vya maskioni,…

"sasa shem"

Aliongea chidi huku akimgeukia jasmini

"abeee shem"

"Halima"

"halima ana nini"

"yupo wapi"

"aahhh tayari nimeshamlaza kitambo sana, leo sikutaka hata kumuona hapa sebuleni"

Jasmin alipomaliza kuongea hivyo, alimsukuma chidi mpaka kwenye sofa,.. Na wakati huo chidi kawa mdebwedo, kwa kushikwa shikwa na shemeji yake,.. Chidi akahisi akizubaa tu anaweza kutoa wazungu muda sio mrefu.. Mana jasmini alikuwa anagusa zile sehemu zenyewe zenye akili chafu,…

Chidi alimbeba jasmini pamoja na umbo lake mpaka kitandani na kumtupia huko,.. Chidi anajua cha kufanya,.. Alilivua lile dera huku akiitamani chupi alioivaa jasmini, siku hio jasmini kama vile alijua kiwa hisia za chidi zinaamshwa na chupi tu, na wala sio uchi, yaani akiona tu hio nguo, yaani hata kubaka anaweza kukubaka,… NA NI KILA MTU NA HISIA ZAKE, KUNA MTU AKIONA UNYAYO WA MWANAMKE TU, YEYE HOI… MWINGINE AKIONA PAJA TU, ANATAMANI KUBAKA YANI, KUNA MWINGINE ANAPENDA SHINGA TU, HATA UWW MZURI VIPI KAMA HUNA SHANGA NENDA KWENU

Sasa kwa kijana chidi yeye ni chupi tu ndio inayompa kiwewe,.. Chidi alianza mambo yake ya kitandani, yaani haka kitoto ni kadogo lakini mambo yake, mmhhh utafikiri ni mzee kumbe walaaa, mautundu yake tu ndio yanayomchanganya mtu,… Wakati huo chidi hana muda wa kuhangaika na kufuli la jasmini,… Yeye alikuwa anacheza na kifua cha shemeji yake, huku vidole vyake bikiwa vinafanya kazi huku chini ya chupi,.. Jasmini ni mwanamke aliojaaliwa sauti taamu ya mahaba, hivyo hapakuwa kimya kitandani hapo bali palitawaliwa na sauti za milio ya kimapenzi tena ile ya kweli,… Yaani jasmini alikuwa akijigeuza geuza bila hata ya kuambiwa, Mchupi wke wa pinki ulishaanza kuloa kana kwamba mtoto yupo tayari kwa kuingiliwa, lakini chidi hua haangalii hilo,.. Jasmini alikuwa ana shanga kama tatu hivi kiunoni,.. Hizo shanga ndizo zilizomuhukumu jasmini mana chidi ni mzuri sana katika swala la kuzichezea shanga hizo,.. Hivyo jasmini alijikuta hata macho hayaamki, miguu yake ilishaanza kutetema kama kitoto kichanga,… Wakati huo chidi nae kabakiwa na boxer peke yake,

"chidi basi bwana, nichomeke hilo dude lako"

Jasmin aliongea kwa sauti ya juu kana kwamba amesikia raha mpaka imekera, mana ili utamu utimie, basi ni lazima zakaria ifanye kazi yake…

Chidi bila hiana, aliivua chupi kiufundi zaidi huku ikiwa imeganda pale kwenye buyu la asali,.. Yaani hata ilipokuwa ikitolewa jasmini alikuwa anajiskia murua kabisa… Baada ya hapo chidi hakumchelewesha, kitu ya kaka yake, leo anakula na yeye, jamani jamani mashemeji mna huruma nyie, AHSANTENI kwa huruma zenu

Tukija huku, kwa mama sarah alikuwa akimpigia simu boss mwenzie ambaye ni mama miriam…

"haloo mama miriam habari yako"

"salama mama sarah mzima wewe"

"mimi mzima… Sasa mama miriam, nilikuwa nina shida na yule kijana, angalau lisaa limoja tu"

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)