MUUZA CHIPS (61)

0
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA SITINI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Hivyo Jasmin alimwona mume wake ambae ni Ibrahim, jasmini alirudi chumbani haraka na kuweka mafuta aliokuwa kayachukuwa kwa ajili ya kwenda kujipaka yeye na shemeji yake,

Tukija huku kwa akina miriam na sarah, wakiwa wanaongea kuhusiana na wapenzi wao walivyo na mazingira magumu,

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"Sarah naomba tueshimiane sawa"

Aliongea miriam huku akiwa kakasirika mana sarah alimwambia miriam kuwa, yeye na akili yake yoote, anadiriki kumpenda MUUZA CHIPSI, wakati hajui kuwa muuza chipsi huyo ndio huyo huyo mpenzi wake sarah ila hakuna anaejua kati yao,

"heeeeeeee Eti sarah tueshimiane, wewe ulivyoniambiaga kuwa mi mpenzi wangu ni jambazi, we hujui nilikuwa naumia kiasi gani kwa kumuita mpenzi wangu jambazi"

"sasa kwani ni uongo, huyo chidi wako si jambazi"

"na wewe huyo MUUZA CHIPSI wako si anaungua na moto tuu"

"hata kama lakini ni kazi ya halali kuliko huyo mwizi kuibia watu kila siku"

"we miriam mpenzi wangu kwani kakuibia wewe,… Unaniuzi bwana mi naenda zangu kwenu ushaniuzi"

"we sarah sasa unaenda wapi usiku huu"

"staki niache"

"basi njooo"

"sitaki,… Baki na MUUZA CHIPSI wako"

"nataka nikuombe ushauri sarah njoo bwana leo lalia huku"

"wewe Unaniuzi sana, mpenzi wangu kakuibia nini lakini, kila siku unamuita mwizi"

"basi nisamehe sarah wangu, njoo basi"

"mi spendi bwana"

Kawaida ya marafiki wawili wale wa moyoni hawawezi kugombana kamwe, hata kama watagombana ni lazima tu watarudiana tena,…

"sasa sarah, mi nataka unipe njia ya kumpata huyo Boy"

"inamaana na elimu yako yote ya chuo unashindwa kumtongoza mwanaume"

"saraaaaaah kumbuka hadhi yetu mimi na wewe ni sawa, we ulifikiri nitawezaje kumtongoza mwanaume wa hali ya chini kirahisi hivyo"

"ok mi naelewa, ila Mbona wakwangu nilimwambia tu"

"nipe basi hata njia, ili nifanikishe"

Miriam alikuwa ni mschana anaechukia wanaume, hivyo hata ule ukaribu na wanaume hana, hivyo anamtegemea sana sarah amseidie njia ya kumpata mpenzi mpya,..

"skia, kwanza fanya mpango upate namba yake ya simu"

"weee ninayo, ninayo kabisa"

"Alah, sasa kumbe unayo unasubiri nini"

"sasa niifanyie nini"

"skia,.. Anza kuchati nae lakini asijue kama ni miriam wewe"

"mmmhhhh sasa hapo nijifanye maskini au"

"ah ah, mpe uhalisia wako wote, ila asikujue tu kuwa ni wewe miriam Boss wake, ajue ni miriam mwingine lakini sio wewe"

"safi sana… Ndio mana nakupenda jamani"

Tukija huku kwa akina jasmini, aliokuwa chumbani baada ya kumaliza kuoga,.. Alichukuwa simu na kumpigia chidi kuwa

"haloo chidi"

"sema shem mbona huji shem"

"weeee kaka yako keshafika… Sasa skia nitunzie chupi yangu nitaichukuwa kesho"

"poa, ngoja nami niingie bafuni basi"

Zoezi la kufanya mapenzi kinyume na maumbile lilishindikana, hivyo hawakuendelea tena na mawazo hayo

BAADA YA SIKU HIO KUPITA

Na leo ni siku nyingine tena chidi akiwa yupo kazini tena alikuwa mwepesi na alikiwa na furaha ya hali ya juu, mana ni mwepesiiiii,.. Shemeji yake kampunguzia mzigo mkubwa sana katika mwili wake

Chidi alikuwa akikaanga chipsi lakini alikuwa anayo taarifa ya kutoka baada ya kumaliza kuandaa chipsi vizuri,.. Lakini akiwa anaendelea na zoezi hilo mara simu yake iliita… Kuangalia jina alikuwa ni mama yake mzazi wa kijiji… Alikuwa anataka kuipuuzia lakini akaona wacha apokee tu

"haloo mama shkamoo"

"marahaba baba, umzima wewe"

"mimi mzima mama sjui nyie"

"tunashukuru mungu baba tuna usalama"

"ok sawa mama, naomba niendelee na kazi"

"mmhh mmhh sawa baba lakini, kuna kitu nimekiona kiukweli nimeogopa sana mwanangu ndio maana nimekupigia simu"

"kitu gani hicho mama"

"ngoja akuambie baba ako mi siwezi kukuambia"

Chidi alijikuta anaacha hata kupika chipsi na kuanza kusikiliza hicho kilichoonekana huko kijijini ni kitu gani,

"haloo baba shkamoo mzee"

"marahaba ujambo mzee"

"sijambo baba…. Baba kuna kitu kasema mama kuwa kakiona ni kitu gani"

"ahaaahhhh hata mimi sina uhakika nacho ila ni mama yako ndio kakiona"

"kaona nini sasa mzee, niambie"

Mara chidi akaskia sauti ya mama yake ikimuambia mume wake kuwa

"mwambie mtoto asije akaivaaa bwana"

Sasa chidi akajiuliza, asije akaivaa nini, chidi hakuelewa ila ikabidi awe mpole,..

"aahhh mwanangu chidi hakuna lolote sema mama yako kuna ndoto kaiota usiku wa leo sasa anasumbua sumbua tu hapa"

Aliongea baba yake chidi….. huku Mama yake chidi akainyakuwa ile simu na kusema kuwa

"kama ni heshima wacha ivunjike kuliko mtoto wangu azulike,… Nipe nimuambie mwenyewe hata kama haistahili mimi kusema"

Aliongea mama yake chidi huku akiskika kuchukuwa simu kwa mume wake na kuongea na chidi

"halooo baba mwanangu hujambo wewe"

Sasa mama nae anaona aibu kusema mana huyo ni mtoto wake wa kiume na anampenda sana….

"mama kwani kuna nini"

"mwananguuuu…. Lakini si upo salama"

"ndio nipo salama mama kwani kuna nini"

Mama alipiga moyo konde liwalo naliwe kama ni aibu bora impate kuliko kipenzi cheke kizurike….

"baba mwanangu?… Jana usku nikiwa nimelala…

Katika dunia jua kuwa wewe hapo ulipo una miungu mitatu,… Wa kwanza ni mungu wako aliekuumba wewe,… Wa pili ni mama yako aliekuzaa wewe… Wa tatu ni baba yako aliekulea wewe mpaka kufikia hapo ulipo,… Wazazi ni watu wa kuwaeshim sana kuliko kitu chochote kile hapa duniani, lakini utamkuta mtu anamtukana mzazi wake,… Mama yupo kijijini analia shida ya shilingi elfu 10 tu, mtoto wa kiume huku mjini unahonga elfu 50, tena mama akikuomba pesa kuoitia simu unasunya kana kwamba ni usumbufu, lakini malaya wako akikuomba elfu 10 unamwongezea na elfu 10 nyingine,… Ndio mana hatufanikiwi, tunaishia kupata za kuhongea tu lakini za maendeleo hatupati, mana kuna miungu wawili ulioambiwa uje uwaheshim na kuwatunza, lakini mtoto wa kiume ndio kwanza unaona mama anakupa usumbufu,.. Kila siku wewe hela huoni inapokwenda lakini hujiulizi tu ni kwanini,. Kweli sikatai kuwa maisha ya mjini ni magumu kwa upande mwingine, lakini ndani ya mwezi mmoja huezi kukosa hata elfu 5 tu ya kutuma nyumbani angalao wanunue hata sukari, mtoto wa kiume kila juma pili ikifika unawaza umpigie demu gani kwa siku hio, mana unao wengi mno,… Acheni ulimbukeni wa mapenzi vijana, kumbukeni kule mlipotoka jamani… Ni kweli hata mimi sio kwamba natuma kila siku, bali pale wanapolalamika kitu, basi hata kama ile pesa ilikuwa ninunulie nguo unampa kwa moyo mmoja, afu angalia huo mwezi ujao au hata huo huo, pesa ndogo ndogo zitakavyo kutembelea,….

Kwahio pale unapompenda mama yako, basi hata yeye pia anakupenda zaidi kuliko hata wewe unavyompenda.. Na kila baya linalokukuta, mama yako anaweza kupata vision (maono) juu ya baya lako unalolipata, lakini vision hio inaweza kuja kupitia ndoto, na akishaiona anaweza akaipuuzia au akaichukulia Siriasi, sasa pale atakapoichukulia Siriasi ndipo atakapokwambia kuhusiana na ndoto hio, ila akiipuuzia na kuona ni ndoto tu ya kawaida, afu baada ya miaka kadhaa mbele ile ndoto inakuja kuwa kweli,.. Ndio anakumbuka kuwa alishawahi kupata vision kama hio na akaipuuzia, kwahio mama ni mtu mmoja wa kumueshim sana hapa duniani, gawaneni kile mlicho nacho na wazazi wenu..

Chidi akiwa anapoke simu ya wazazi wake na kutaka kumwambia kitu cha maana ambacho ni cha kweli, lakini wazazi hao walikuwa wakihofia kuwa watamkosea heshma mtoto wao pale watakapomwambia kitu kama hicho,…

"halooo baba mwanangu hujambo wewe"

Sasa mama nae anaona aibu kusema mana huyo ni mtoto wake wa kiume na anampenda sana….

"mama kwani kuna nini"

"mwananguuuu…. Lakini si upo salama"

"ndio nipo salama mama kwani kuna nini"

Mama alipiga moyo konde liwalo naliwe kama ni aibu bora impate kuliko kipenzi chake kizurike….

"baba mwanangu?… Jana usku nikiwa nimelala niliota unaumwa mwanangu"

Mama aliongea hivyo lakini sio neno alilotaka kusema, hio ilikuwa ni hekima ya mama kwa mtoto wake wa kiume, mama ikabidi apige chenga,.. Lakini kwenye simu iliskika sauti ya baba yake na chidi ikicheka, kana kwamba mama alimnyang'anya mumewe simu ili aongee lakini mama pia kashindwa,.. Hivyo mzee alikiwa anacheka tu na wakati huo mama kakasirika mana anakosa Confidence ya kuongea,..

"mama mimi nipo salama mama angu"

"sawa baba,… Lakini si utaoa tena"

Sasa mama baada ya kushindwa kuongea moja kwa moja ikabidi aanze kuongea kwa mafumbo,.. Mana hawezi kuongea jambo hilo mbele ya mtoto wake, mana chidi akisema hato Oa basi mama atajua moja kwa moja chidi kakutwa na tatizo,…

"ndio mama kwanini nisioe, na bado umri wangu unaruhusu mama"

"aahhh sawa ila niliuliza tu mana toka salma alipokukimbia mpaka leo sisikii fununu zozote huko"

Baba yake chidi alikuwa anacheka sana hapo pembeni kwa kitendo cha mke wake kukosa Confidence ya kuongea,..

"hakuna shida mama angu"

"haya baba mchana mwema"

"sawa mamy wangu"

Simu ilikata lakini chidi alibaki na maswali mengi juu ya wazazi wake kuuliza jambo kama hilo,.. Hakupata jibu

"Oya Omari chipsi zitaungua huku achana na simu hio"

Aliongea rafiki yake saidi huku akimseidia rafiki yake kugeuza gueza, mana kila mtu na kitengo chake japo pishi ni moja,.. Kuna anaekata viazi, kuna anaeosha, sasa chidi yeye ni kukaanga tu basi,..

Tukija huku kwa wazazi wake na kijana chidi Sasa huku kijijini, baba alikuwa akimcheka mke wake kwa kigugumizi alichokipata kuongea na mtoto wao

"sasa unacheka nini baba chidi,.. We unadhani ni jambo dogo hilo"

"unajua mama chidi wewe huna akili wewe,.. Mimi ndio ningeliweza kuongea nae yule mtoto, sasa wewe ukanipokonya simu, haya ona sasa kusudio lako limeshindikana"

"lakini baba chidi mimi sikubali, lazima nilifuatilie hili jambo"

"lakini mama chidi una uhakika na ndoto yako"

"sina uhakika sana lakini sio vizuri kama tutapuuzia baba chidi"

"ok sawa,.. Ila kwani wataka tufanye nini kwenye swala kama hilo"

Tukija huku mjini kule kwa mke wa Ibrahim akiwa chumbani kwa kijana chidi alikuwa anatafuta chupi yake, baada ya mume wake kuondoka, aliitafuta lakini hakuiona, ikabidi ampigie shem wake ili amuulize,

Wakati huo chidi alikuwa bize sana na chipsi, mana keshaambiwa kuwa apike chipsi kisha aondoke,.. Hivyo yupo bize sana na hata simu ilikuwa ipo mbali kidogo,…

Lakini alifanikiwa kuipokea japo yupo bize sana

"haloo shem vipi tena"

"poa shem,… Sasa mbona ile nguo siioni"

"nguo gani tena"

"chupiiiiii"

"aaahhh ipo hapo chini ya godoro"

"weeeee sheeeem, yaani chupi yangu umeiweka chini ya godoro"

"samahani shem, niliogopa kuiweka holela holela mana joy anaweza kuja kufanya usafi akaiona afu akahoji tushindwe cha kufanya"

"ooohhh basi sawa shem, nimekuelewa"

"poa mamy wangu"

"poa,… Baadae basi shem"

"poa shem"

Tukija huku kwa mama sarah akiwa yupo hotelini kwake, Alikuwa anaiangalia ile kondomu aliopewa na mganga ambayo chidi ndio anatakiwa kuitumia,.. Papo hapo mama sarah akanyanyua simu na kumpigia chidi wake,… Chidi nae akiwa ndio anaweka chipsi katika kabati spesho kwa ajili ya chipsi,.. Ghafla simu yake inaita, chidi kuangalia alikuwa ni mama sarah ndio aliokuwa akimpigia..

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)