MUUZA CHIPS (62)

0
Mwandishi: MoonBoy

SEHEMU YA SITINI NA MBILI
ILIPOISHIA...
Tukija huku kwa mama sarah akiwa yupo hotelini kwake, Alikuwa anaiangalia ile kondomu aliopewa na mganga ambayo chidi ndio anatakiwa kuitumia,.. Papo hapo mama sarah akanyanyua simu na kumpigia chidi wake,… Chidi nae akiwa ndio anaweka chipsi katika kabati spesho kwa ajili ya chipsi,.. Ghafla simu yake inaita, chidi kuangalia alikuwa ni mama sarah ndio aliokuwa akimpigia..

KUNA MATANGAZO YANATOKEA YAGUSE KILA UNAPOFUNGUA SIMULIZI ILI KUNIPA NGUVU YA KUENDELEA
INSTALL CnZ Media ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KILA INAPOKUWA TAYARI

SASA ENDELEA...
"haloo mamy"

"eee chidi wangu mambo"

"safi mamy"

"vipi ushamaliza kuandaa chipsi"

"ndio nimeshamaliza"

"ok nakupitia hapo basi"

"sawa"

Chidi alikata simu kisha akamaliza kazi yake na kwenda kuoga, mana hapo hapo kuna bafu,… Alipomaliza chidi alichukuwa chai fasta fasta na kuinywa,.. Mana ilikuwa ni kama saa nne hivi asubuhi inaenda saa tano,..

Haikupita muda mama sarah alikuwa keshafika katika hoteli ya akina Miriam, kisha akampigia simu mpenzi wake chidi..

Chidi hakuchelewa kutoka,… Haooo waliondoka zao

Wakiwa wapo njiani kuelekea nyumbani kwa chidi,.. Mama sarah alinyanyua simu yake na kumpigia mama saida

"haloo shosti"

Aliongea mama sarah huku chidi asijue chochote kinachoendelea hapo

"eee mama sarah vp tayari"

"hapana ila nataka ujiandae na hio nguo yako, mana ndio soon inakuwa poa"

"aaahhh ok ngoja nimuite mtoto wangu basi nae ajiandae"

"sawa"

Simu ilikatika huku mama sarah akiwa na furaha kubwa sana,

"inamaana mamy, umenitoa kazini kisa ni mapenzi tu"

Aliongea chidi huku akiwa natabasam kana kwamba bado hajui kinachoendelea,

"chidiiiii, huezi amini mwenzio nimekamatika eti, nina hamu mpaka basi"

Mama aliongea hivyo huku akimrembulia chidi na kujibinua binua mbele ya chidi,…

Haikupita muda walifika nyumbani kwa chidi, chidi nae japo jana alikuwa na shem wake lakini kwa mama bado pia anamtamani,.. Hivyo hata chidi alikuwa na hamu na mama sarah,.. Mama sarah alikuwa na haraka sana tena hata kuandaliwa alikuwa hataki, yani yeye alikuwa anataka kufanyiwa vitu tu na kikubwa zaidi anataka chidi aivae kondomu iliotoka kwa mganga,… Maskini chidi akiwa hajui lolote lile mama kapambua nguo zake zote, kitu ambacho sio kawaida yake, yaani hua wamezoea kuvua nusu nusu, lakini leo kavua zote…

"chidi,… Ila leo nataka uvae kondomu"

"ati nini… Kwanini leo nivae kondomu"

"chidiiiiii…. I think leo nipo kwenye siku zangu, afu nina hamu kweli na siwezi kuacha, hivyo naomba uvae kondomu,.. We ulifikiri na umri huu nibebe mimba kweli???"

Mijimama tunaipenda sana lakini ikitajiwa pesa tu, basi jua hapo hakuna mapenzi tena, yaani hapo anatafuta pesa tu, sasa huezi amini leo kijana chidi anakwenda kuingia katika mtego wa mama sarah au Grace,…

"chidi,… Ila leo nataka uvae kondomu"

"ati nini… Kwanini leo nivae kondomu"

"chidiiiiii…. I think leo nipo kwenye siku zangu, afu nina hamu kweli na siwezi kuacha, hivyo naomba uvae kondomu,.. We ulifikiri na umri huu nibebe mimba kweli???"

Aliongea mama sarah huku akimshika shika kijana chidi kama kumlegeza legeza ili akubali kufanya mapenzi na kondomu,

"hapana mamy, yaani nanutamu wako wote mi nitumie kondomu"

"kweli chidi mi mtamu ila leo sijielewi naomba tu please"

Wakati huo wakiongea hayo woote walikuwa kama walivyozaliwa na wapo kitandani, chidi alishuka kitandani na kujifanya anataka kuvaa nguo,.. Yaani chidi ni kama vile ana machale na sijui kama yatafanya kazi, mana mijimama kama ina vishawishi vingi sana, hata ufanyeje lazima akushawishi mpaka ukubali,…

Sasa chidi alipokuwa anataka kuvaa nguo, akakumbuka maneno ya rafiki yake chidi kuwa

"kile anachokitaka kataa, na ukifanye kwa pesa"

Chidi akajisemea kimoyomoyo

"Yes, sasa hapa nianze kuvuna nilichopanda"

Alijisemea kijana chidi huku akisuasua kuvaa nguo mana kama kapata wazo zuri

"bila milioni kumi hapa sikubali kuvaa kondomu"

Chidi bado alikuwa akijisemea kimoyomoyo huku akijipa moyo wa kupata pesa,..

"chidi mpenzi wangu usivae nguo"

"sitaki, mi nimeshasema sitaki"

"chidiiiiiiii, nikupe nini ili usinifanye bila kondomu"

"mi nakuambia hivi, hata unipe milioni 50 sitaki ng'ooo"

Chidi alijikuta tu anaropoka maneno hayo lakini hakudhamiria kusema hivyo, lakini hata mama sarah hakuonekana kushtushwa na maneno hayo kana kwamba yupo tayari kwa lolote,… Chidi alivaa boxer yake kisha akavuta suruali na kutaka kuivaaa,

"chidii mpenzi hata milioni mia (100) hutaki"

Heeeee chidi kuskia hivyo aligeuza shingo kama kichaa, huku akimuangalia mama sarah kwa hio pesa alioitaja,

"unasemaje?"

Chidi aliuliza mara mbili mbili huku akiwa katoa macho kweli kweli

"nakuandikia cheki ya milioni mia ukachukue, lakini nataka tutumie kondom"

Maskini ya mungu chidi mpaka huruma ikamjia, kana kwamba ni kweli mama huyo hakuwa akihitaji kufanywa bila kondom,…

"hata hio pesa asiponipa wacha nimfanye na hio kondomu, mana nimeamini kweli yupo kwenye siku zake"

Chidi alijisrmea kimoyomoyo huku akivua boxer,.. Hivyo chidi kukubali hata kama asipopewa hio pesa, lakini mama hajui kama chidi kakubali hata kama asipompa hio pesa,… Maskini ya mungu kijana chidi anaingia pabaya kisa ni pesa ama ukweli wa mama sarah,.. Bila hia chidi alikuwa kalala chali huku mama sarah akimvisha chidi kondom iliotoka kwa mganga,…

"aahhh mbona nywele zinanisisimka, kuna mchawi nini humu ndani"

Aliongea chidi huku mama akiendelea kumvalisha chidi kondomu, tena mama sarah mwenyewe ndio anaifanya kazi hio ya kuivalisha kondomu hio, mana aliambiwa na mganga kuwa umvalishe mwenyewe,… Mama sarah alifanikiwa kuivalisha kondom hio, lakini chidi alisisimkwa na nywele wakati kondom inavalishwa,… Lakini hakujua lolote kuwa kondom hio ilitoka kwa mganga, na chidi hakuvalishwa kondomu moja bali zilivalishwa mbili ili ikipasuka moja nyingine ibaki,… Baada ya kondomu hizo kuvalishwa mama hakuchelewa, alimpandia kwa juu na kuingiza zakaria ya chidi kwa mama sarah,… Chidi alishangaa sana kwanini leo mama sarah hataki kuandaliwa, chidi alijua ni hamu ya mama sarah ndio ilimfanya awe na haraka kiasi hicho,.. Mama sarah alikuwa juu ya kijana chidi, yaani mambo aliokuwa anayafanya mama sarah, hata chidi hakuwahi kufanyiwa na mama huyo, mama aligeuka kuwa mschana ghafla, yaani alikuwa hapo juu mithili ya feni, kondomu zilikuwa mbili lakini chidi alikuwa anahisi kupizi,… Maskini ya mungu kile kinachotakiwa ndio hichoo kinatoka,.. Kwa kawaida ukivaa kondomu zaidi ya moja basi hata kupizi itakuwa ngumu, utapizi lakini utachukua muda mrefu sana na pia hakutokuwa na raha yeyote pale utakapovaa kondomu zaidi ya moja,.. Lakini sasa mama sarah yeye anajua kuwa mwanaume akivaa zaidi ya kondomu moja, hakuna raha na hawezi kupizi kwa haraka, hivyo mama sarah ndio maana akaamua kuingia uwanjani na kuudhihirishia uma kuwa anaweza kucheza mpira vizuri,… Maskini chidi hapo kitandani alikuwa akitupa tupa tu miguu yake, kana kwamba yu karibu kutoa mbegu ambazo mama sarah anazitaka,…

Tukija Huku katika hoteli ya akina miriam ambako chidi ndiko anapofanyia kazi, miriam alitoka ofisini kwake na kuelekea jikoni, ila haijulikani alikuwa anafuata nini kule jikoni,… Alipofika aliwakuta wapishi wengine lakini chidi hamuoni

"omari.."

Miriam aliita mana hakujua kama chidi hayupo hapo

"omari hayupo boss"

"kaenda wapi na kapewa ruksa na nani"

"boss mkubwa ndio kampa ruksa"

"kwanini hakuniaga mimi… Na Kaondoka saaa ngapi"

"saa nne"

Aliokuwa akijibu alikuwa ni rafiki wa chidi mana wale wengine hawapo vizuri kwa chidi

"hivi huyu omari ana kichaa,.. Yaani kaanza kazi juzi tu sasa hivi kaanza utoro, ngoja aje hapa"

Aliongea miriam huku akiwa kama kakasirika hivi,..

"ndio boss, hata chipsi zake ni za kawaida tu"

Aliongea mfanyakazi mmoja ambae ni mpishi wa chipsi pia

"na wewe nyamaza, kama unaweza kupika hizo za kawaida kwanini usingepika"

"samahani boss"

"uache kiherehere chako mbwa wewe"

Miriam alijikuta anammalizia hasira huyo jamaa alioropoka kuhusiana na chidi,..

"sawa boss"

"we saidi.. Unajua chidi alipokwenda"

"hapana, ila aliniambia kuna mama anakuja kumchukuwa"

"Mama?… Mama gani"

"ata mimi simjui boss"

"ni mama yake au"

"hapana sio mama yake boss"

"ok poa endeleeni na kazi"

Miriam aliondoka na kuingia ofisini kwake huku akiwa na mawazo chungu nzima, yaani hata pesa zinakuja yeye anasaini na kuweka tu lakini hahesabu kama imeletwa kiasi gani,.. Miriam alijihisi mpweke sana kwa dakika chache tu za chidi kuondoka… Angelijua huko chidi alipo yupo pabaya,…

"huyu boy kaenda wapi… Na atarudi au,… Au atakuwa kuacha kazi"

Miriam alikuwa akijisemea mwenyewe bila kupata jibu,.. Lakini ghafla alipata wazo la kumtumia sms, mana namba yake anayo, na siku ile alimtumia sms kwa kutumia simu ya ofisini, sasa leo anatumia namba yake yenyewe…. Alichukuwa simu yake na kuanza kuandika SMS kwenda kwa chidi… Ili tu ajue yupo wapi…..

Tukija huku kwa akina chidi na mama sarah wake, Baada ya Dakika tano mbele mama sarah yupo hoi, mana yeye ndio aliokuwa anacheza mziki peke yake, kwasababu yeye ndio anajua alichokuwa akikifanya,

Wakati huo nanii ya kijana chidi ilikuwa bado inataka mzunguuka wa pili, yaani leo chidi alishangaa nanii yake haijalala, imekaza vile vile na mzunguko wa kwanza tayari keshaumaliza,.. Kana kwamba kilichotakiwa kiingie kwenye kondomu kimeshaingia,…

"mamy mi bado nataka"

"chidi boy wangu, nimechoka we huoni nilivyokuwa nakatika miuno"

"ni kweli ila mi bado si unaona"

"No, No wacha niwahi kazini chidi wangu, ngoja nikuvue hii kondomu uende ukaoge"

"mmmhhh sawa, ila si twende tukaoge wote"

"hapana tangulia, mi ngoja nilale lale"

Wakati huo wanaongea kondomu ipo mkononi mwa mama sarah, kana kwamba hapo kushikilia shilingi bilioni moja za kitanzani,… Yaani hapo yupo tayari hata kufa kuliko umnyang'anye hizo mbegu zilizopo kwenye kondomu,.. Maskini chidi bila kujua lolote anatoka na kuingia bafuni, na wakati huo hawazii pesa wala nini na wala hakuwa na shida na hio pesa aliokubali mama kuitoa,..

Sasa chidi akiwa bafuni, huku simu yake iliingia meseji,… Mama sarah alipoangalia alihisi hio namba anaifahamu, lakini sasa alikuwa ana haraka ya kuvaa nguo,… Hivyo aliachana na ile meseji ilioingia kwenye simu ya chidi, akaendelea na mambo yake,.. Kaona namba tu lakini sms hajaona ilivyo andikwa,…

Chidi akiwa bafuni anaoga taaratibu, bila shanka na wakati huo yupo mwepesiiii, bila shaka mtoto wa kiume anakoga maji yake,… Dakika kumi mbele anatoka bafuni huku akijifuta maji na taulo,

"haya nenda na wewe ukaoge twende"

Aliongea chidi huku akijifuta usoni, lakini alishangaa kutojibiwa na mtu, kana kwamba hakukuwa na mtu hapo ndani,.. Sasa kutoa taulo usoni,…. Ohooooo hakukuwa na mtu wala nguo,.. Chidi akatoka nje na kuangalia gari haipo, kana kwamba mama sarah kesha ondoa zake,

INAENDELEA...

Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendeleza Simulizi

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)